Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?


..tunatofautiana.

..ndio maana wewe unaitwa " dr akili. "

..wakati mimi naitwa " jokaKuu. "

..sasa usitegemee kuwa kila mtu amebarikiwa akili nyingi kama zako.
 



There is different physics kwenye train speed. Sio kila train ya umeme inaweza endeshwa kwenye kila line, zingine zinahitaji special lines.

Ujazungumzia usalama wa raia; bongo dual carriage ya Mbagala imeaua mpaka wameiwekea uzio; kuna footbridge mtu anaona inampotezea muda akatize barabarani na anaona gari linakuja speed anajipeleka tu. Barabara imeua hatari mpaka ikawekewa uzio.

Mwingine majuzi Arusha kauliwa na tembo alieingia kwenye maeneo ya raia, yeye kamfata karibu kabisa apige nae selfie.

Sasa fikiria the higher the speed the longer it takes to stop; hizo nchi za ulaya train za speed wameziwekea uzio sehemu zenye wanyama pori.

Imagine Tanzania maeneo mangapi yanawanyama pori, achilia hao kuna wafugaji na mifugo yao, kuna raia wa selfie, kuna wale ambao unajua sehemu za rail crossing watapitisha magari hata kama taa nyekundu imeweka and so forth.

Mie nadhani serikali imeshauriwa namna sahihi ya kuanza huo mradi; hizo train awajakurupuka it’s an informed decision.

UK mpaka leo maximum train speed ni 140 mph kwa sababu za usalama kutokana na miundombinu iliyopo. Train ya 300 mph Tanzania halafu njia aina uzio dah hatari.
 
Suala siyo umbo la treni bali ubora wa bidhaa hiyo.
 
Ndo hivyo utakuta hizi zimenunuliwa hata kwa 320B kwa kila moja
 
mtoa Uzi unataka bullet train za Japan!? On your dream
What so special Kama tuna SGR ya umeme ,kama tumejenga hiyo SGR ya umeme kwa commitment kubwa kwa nini hiyo commitment tusiitendeee haki Kwenye train yake ,mbona tuna dream linear ndege ambazo ni nashiriki machache yanamiliki
 
Mkuu wewe unataka muonekana ama ubora na ufanisi wa hiyo mashine?

Tulia vitu vifike hapa na kuanza kazi. Tanzania inajengwa na wenye mamlaka.

Sie tulipe kodi tu.
Hakuna cha ubora wa vile, revolution ya treni inaonyesha hiyo ni old model ama hills tren kwenye ma terrains barafu huko sio kwenye smooth environment huku

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
KAMA HATUMUDU VENYE UBORA HAPAKUWA NA MAANA YA KUTENGENEZA SGR TUNGEONGEZA RELI YA KAWAIDA AU KUONGEZA MABARABARA! ME NAAMINI VIONGOZI HAWAJAFANYA MAKOSA KWNYE HILO..😟
 
What so special Kama tuna SGR ya umeme ,kama tumejenga hiyo SGR ya umeme kwa commitment kubwa kwa nini hiyo commitment tusiitendeee haki Kwenye train yake ,mbona tuna dream linear ndege ambazo ni nashiriki machache yanamiliki
Ndiyo kitu ambacho mimi kinanishangaza pia. Nilimwona Kadogosa mzalendo mkubwa enzi za Hayati Magufuli, lakini kumbe ni ovyo namna hii? Sikutegemea!

Mkurugenzi Kadogosa, hizo hela mnazo zitaka kwa ajili ya matumbo yenu zitawasaidia nini katika maisha yenu? Kama mishahara mizuri na hela za posho si mnapata? Yaani bado hamridhiki mpaka muwaibie watanzania hela zao?

Kadosa weka legacy. Ili vizazi vijavyo vikuombee kwa mungu akupe rehema kubwa atakapo kuhitaji zaidi. Acha ubinafsi na uafrika usio na tija. Wasaidie watanzania kupata kile wanacho kihitaji na kukipenda.

Watanzania watakukumbuka daima!
 
Haya ndio mambo ningependa kuyaona yakitendeka Tanzania, uwezo upo na reli inajengwa.... Sasa akina Chamliho na Kadogisa hawatakiwi kupepesa macho kwenye hili.... Waagize mashine hizi.
 
Haya ndio mambo ningependa kuyaona yakitendeka Tanzania, uwezo upo na reli inajengwa.... Sasa akina Chamliho na Kadogisa hawatakiwi kupepesa macho kwenye hili.... Waagize mashine hizi.
Haya ndiyo Matangazo yao ambayo Mkurugenzi wa TRC Mh. Kadogosa na watangazaji wake wawili machachari sana Ben Mwanantala na Jamila Mbaruku wamekuwa wakituletea.

Models za treni ambazo wamekuwa wakizinadi kwetu ni zile za mwonekano wa ICE za ujerumani.



Alafu leo tuna ambiwa kuwa wanatuletea treni zenye mwonekano ambao NAZIs wa Hitler Germany walikuwa wanazitumia kuwabeba wayahudi na kuwapeleka kwenye Concentration Camp, Auschwitz.

Sijui Kadogosa atawaambia nini vijana wa kitanzania walio hamasika kumiminika kwenye jengo lao la maonyesho uwanja wa sabasaba Kurasini mwaka 2020. Pamoja na janga la Corona. Ilikuwa ni balaa.
 
Unawez kuta tofauti kati ya bullet na na hayo Makopo ni hela zisizo zidi bilioni 50 ,hala anakuja mtu anakwaaambie unataka train za ulaya utaweza kununua,
 
Unawez kuta tofauti kati ya bullet na na hayo Makopo ni hela zisizo zidi bilioni 50 ,hala anakuja mtu anakwaaambie unataka train za ulaya utaweza kununua,
Yes, ndivyo hivyo ilivyo. Jamaa ni wapuuzi sana kwa tamaa zao. Mimi wananiudhi!
 
Naona unazidi kujionesha ulivyo kilaza! We unaangalia uwezo wa treni Au muonekano wa treni????

msukule wa Mwendazake
 
Kwa kujibu statement ya paragraph yako ya kwanza ni kwaba sio kweli unacho kisema.
Wajerumani wana Treni nyingi za High-Speed mpaka Max. 330 km/h, lakini nyingi zinapita kwenye lines ambazo uwezo wake ni wa speed ndogo kama 250 km/h mpaka 280 km/h
Wewe unafikiri ukigongwa na gari lenye speed ya 30 km/h utapona? Na kama unaweza kufa unajua ni kwanini? Ukilielewa hili, hapo ndipo utajua kuwa physics ndiyo inapo anza.

Watoto wengi wanakufa mitaani pia, lakini barabara hazina uzio.

Ni kawaida hata sisi treni yetu tutaiwekea uzio sehemu zenye wanyama pori wengi. Na hata maeneo ambayo binadam wengi wanaishi.

Risk ya wafugaji iko kila nchi. Sisi sio wa kwanza. Inabidi tukabiliane nalo kama tunataka maendeleo ya kweli, vinginevyo ni kujidanganya wenyewe.

Waingereza na waamerika wali-mind sana individual life, yaani kila mtu kuwa na gari lake na ndiyo maana wakayaweka magari mbele. Kitu ambacho hawakutambua wakati ule ni hathari zinazotokana na magari kwenye kuharibu mazingira.

Sasa hivi is too late kwao kuwekeza kwenye technojia ya kisasa. Watapata vikwazo vingi sana vya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…