Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenifanya nicheke sana. Asante kwa mchango wako wa kufurahisha. [emoji120]
 
Nimeishia kwenye kuburudisha macho.. nikaona utakuwa hauna tofauti na vile wanawake huchagua magari kwa kuangalia rangi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...

Wanaume lazima aulizie engine, Mama Samia kakushinda kwenye hili mkuu.
 
Ni eco-friendly na ni nzuri
Muonekano wake sio mzuri lakini ziko vizuri
Kampuni ni maarufu na ni kubwa hata [emoji631] wana kitengo huko
Siemens walisemekana wanataka kununua hii kampuni ila ikakanushwa

Train zao wameuza sehemu nyingi duniani ikiwamo Australia, turkey na kwingine
Kama vipi zikija tujifunzie hizo ili tutoe copy na bora zaidi

Hizi ni baadhi za trains zao ila tuwaambie watume hizo za juu au mnasemaje maana maamuzi ni sisi tuliomo humu
 
Acheni kupotosha , hii mikataba ilishaingiwa toka awamu wa tano,
Mkataba haukuingiwa kuleta maboksi badala ya treni za kisasa zinazotumia umeme. Umbo lililopo kwenye picha ni wazi haina uwezo wa kusafiri kwa kasi kwa kutokuwa na mizania ya upana na urefu lakini hata kukata upepo bila ukinzani hatarishi..

Usikimbilie kudai kuna upotoshaji
 
Hii nayo ni hyundai rotem..
 
LKN kwenye hiyo website hamna sehemu wamesema wateleta hiyo ya kwenye picha
Ndiyo hicho kitu ambacho tunategemea kuto tokea. Ikiwa hivi, mbona hatari. Mimi nilikwisha jigamba kwa marafiki zangu caucasians kuwa na sisi masokwe tutakuwa na kitu kama chao kikitereza kwenye reli yetu. Kwa mwonekano huu naomba wasijue. Maana watanicheka sana.

Ile station ya Tanzanite kwa kusema kweli ni kiboko hata huko makwao juu hawana na wala hawategemei kuwa nayo.
Wameipenda sana na walimsifu sana Hayati Magufuli wakati wa uhai wake.
 
Hiyo KTX juu ipo safi, lakini hizo nyingine za chini hapana aise
 
Mkuu wewe unataka muonekana ama ubora na ufanisi wa hiyo mashine?

Tulia vitu vifike hapa na kuanza kazi. Tanzania inajengwa na wenye mamlaka.

Sie tulipe kodi tu.
[emoji3][emoji3][emoji3] Vyote vyote. Mwonekano na quality pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…