Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Jee wewe unataka train za Kadogosa?mtoa Uzi unataka bullet train za Japan!? On your dream
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jee wewe unataka train za Kadogosa?mtoa Uzi unataka bullet train za Japan!? On your dream
[emoji1][emoji1][emoji1] Kwani mwonekano wa treni unaweza ukapunguza nini kwenye uwezo wake?Naona unazidi kujionesha ulivyo kilaza! We unaangalia uwezo wa treni Au muonekano wa treni????
msukule wa Mwendazake
Kwanza siamnina hizo za kadogosa zitawezwez kufikia hata speed ya 100km/h achilia mbali hiyo 160km/h , air resistance itakuwa kubwa sana train gani ipo Kama nyumbu aisee[emoji1][emoji1][emoji1] Kwani mwonekano wa treni unaweza ukapunguza nini kwenye uwezo wake?
Tatizo lako ni kukosa uelewa wa kujua kuwa design na power vyote vinaenda pamoja.
Kwani hizo treni zenye mwuundo wa nyoka power yake ni ndogo kuliko zile zenye mwuundo container?
Kama umeyaelewa vizuri mahesabu ya energy consumption, utaona kuwa treni zenye mwuundo wa nyoka kwenye speed hiyo hiyo ya 160 km/h, zina efficience kubwa kuliko treni yenye mwonekano huo wa Container tulilo liona with the same performance or power. Unajua kwa nini?
Ukilijibu hilo swali njoo tena niambie kuwa mimi ni kilaza.
[emoji16][emoji16][emoji16] Uko right, lakini sasa mambo yatabadilika. Tutakuwa tunafuatilia miradi yote. Kila mwonekano wa picha au computer animation makandarasi watatuonyesha, tutahitaji matokeo sambamba na picha hizo. Kama jengo letu la Tanzanite. At least kwa nje linaonekana kama ilivyo kuwa kwenye michoro na picha zao.Tulieni dawa iwaingie, wabongo mbona mshazoea kupewa maelezo matamu yenye kuvutia lakini utekelezaji ni tofauti, manake ata zinazoitwa flyover mbona mlipewa maelezo ni vingine.
Asante mkuu zitromax kwa kumsaidia mkuu lord denning kuelewa kuwa Air resitance ni kubwa kwenye macontainer waliyo tununulia kuliko treni za mchongo wa nyoka na hivyo itasababisha treni yenye form hiyo kutumia energy kubwa kwa matokeo madogo. Shukran[emoji120]Kwanza siamnina hizo za kadogosa zitawezwez kufikia hata speed ya 100km/h achilia mbali hiyo 160km/h , air resistance itakuwa kubwa sana train gani ipo Kama nyumbu aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]Hizi ni design za mijini ....Trams, pamoja na ile waliyoweka kwenye tangazo lao ni aina ya train za mwendokasi wa kawaida. Kwa kasi ya wastani 160 km/saa ni lazima ichongoke kwa mbele. Sitegemei kabisa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Hizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Wewe ndio kama wale wahenga wanaosema "Mwanamke ni tabia" utadhani wakati wa kujiggy jiggy utakuwa unaangalia hizo tabia zake. Kwani zikinunuliwa zenye specifications nzuri na muonekano mzuri tatizo ni nini? After all, hizi trains huwa zinatengenezwa kwa order maalumu na kwa makubaliano maalumu ya specifications anazohitaji mteja. Kheri kununua vitu vizuri vya gharama kwa awamu kuliko kuleta lundo la mafinyofinyo ya treni mbaya kama za wakati wa ukoloni.Naona unazidi kujionesha ulivyo kilaza! We unaangalia uwezo wa treni Au muonekano wa treni????
msukule wa Mwendazake
Kwa mantiki yako ni kwamba SGR italeta umaskini kwa watanzania kwa sababu inagharimu fedha nyingi? Maana tungeweza kujenga hata sgr ya speed 80 km/hr. Kama SGR haitasabisha umasikini kwa watanzania hizo treni ambazo ni cheaper kuliko SGR ywnyewe ndio zitasababisha umaskini? UNA AKILI NA MAWAZO YA WAHENGA.Wewe kweli sokwe unaona aibu kuitwa maskini wakati ndio hali yako, nyinyi ndio wale mkifika ulaya mnajifutia makaratas wakati wa haja kubwa eti mufanane na wazungu mana ukinawa kwa maji utaonekana mbongo, Tanzania ni nchi maskini sana mpaka leo wananchi wanaishi kwa tabu kupata mlo 1 wa chakula lakini unataka upande treni za ulaya.
Vaa herini basi wenzako kule ulaya wamepiga hatua wanatoboa masikio wanavaa herini na bangili., pumbv
Naona umeshasahau kwamba Kadogosa aliitwa ikulu kuteta na mama kuhusu SGR yetu. Huenda haya tunayoyaona kwa sasa ni maagizo kutoka ikulu ambayo ni ngumu Kadogosa au waziri kuyapinga maana bado wanazipenda nafasi zao za utumishi. Hivyo tusiwalaumu sana Mkurugenzi wa TRC na Waziri wa Ujenzi. Mbona mambo mengi tu yamebadilishwa tangu Magufuli aende zake.Asante mkuu kwa mchango wako. Ni kweli tunamwomba Mama Samia Suluhu Hassan kuingilia hili swala. Ni kweli pia haitakubalika sisi kuwa na treni ambayo imepitwa na wakati. Tunataka vitu vinavyo endana na SGR yetu nasi tujidai kama wengine wanavyo fanya na vyao. Hela tunazao. Nchi yetu imejaliwa kuwa na rasilimali kem kem.
Viongozi husika na hasa waziri wa Ujenzi na Madini washughulikie haraka iwezekanavyo transformation ya madini yetu kwenye kuondoa umasikini wa watanzania.
Na pia tunamwomba Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa atuonyeshe kitabu kijulikanacho kwa watalaam wa mambo ya Rail Vehicle kama "Technical Requirement Document" ambacho aidha TRC Tanzania itakuwa imewapa kampuni ya Hyundai au kimetumika katika makubaliano ya vitu vinavyo paswa kuwepo kwenye hizo trains, ikiwepo mwuudo na kadhalika kama PDF document.
😀 😀 Uko vizuri mkuu. Endelea!Wewe ndio kama wale wahenga wanaosema "Mwanamke ni tabia" utadhani wakati wa kujiggy jiggy utakuwa unaangalia hizo tabia zake. Kwani zikinunuliwa zenye specifications nzuri na muonekano mzuri tatizo ni nini? After all, hizi trains huwa zinatengenezwa kwa order maalumu na kwa makubaliano maalumu ya specifications anazohitaji mteja. Kheri kununua vitu vizuri vya gharama kwa awamu kuliko kuleta lundo la mafinyofinyo ya treni mbaya kama za wakati wa ukoloni.
Muonekano aka umbile la kitu lina maana sana kisayansi - biology, physics and mathematics. Ulishajiuliza kwa nini ndege wanyama (birds) wanaoruka angani wana shape hiyo kimaumbile? Kwa nini samaki wa majini wana shape hiyo? Au kwa nini wanawake nyonga.zao (hips) ni pana kuliko za wanaume?Naona unazidi kujionesha ulivyo kilaza! We unaangalia uwezo wa treni Au muonekano wa treni????
msukule wa Mwendazake
Ndiyo hilo mkuu Wang Yi, hatujui nini kinaendelea. Maana hata hii taarifa ambayo mada yake tuna i-discuss humu JF ni taarifa iliyo tolewa na mshinda zabuni mwenyewe. Kwa maneno mengine tunaweza sema kama mshindi wa sabuni asinge toa taarifa hiyo kwenye Website yake, ina maana sisi mpaka siku hii ya leo, tungekuwa gizani. Mambo yote hivi sasa yanakwenda kinyemela nyemela. Ndiyo style mpya hiyo ya uongozi mpya. Patam hapo!Naona umeshasahau kwamba Kadogosa aliitwa ikulu kuteta na mama kuhusu SGR yetu. Huenda haya tunayoyaona kwa sasa ni maagizo kutoka ikulu ambayo ni ngumu Kadogosa au waziri kuyapinga maana bado wanazipenda nafasi zao za utumishi. Hivyo tusiwalaumu sana Mkurugenzi wa TRC na Waziri wa Ujenzi. Mbona mambo mengi tu yamebadilishwa tangu Magufuli aende zake.
😁😁😁Inshaallah!Mama hua anasikiliza malalamiko atayafanyia kazi. Inshaallah
Duuh! Mkuu, mbona umepiga sayansi ya hali ya juu sana! Ai ai ai ai mkuu Dr Akili. Aisee, unafikiri kama anashindwa kuelewa simple things anaweza akakuelewa wewe? Hatari sana. Sasa nakuelewa kwanini una title ya udokta. 👏👏👏Muonekano aka umbile la kitu lina maana sana kisayansi - biology, physics and mathematics. Ulishajiuliza kwa nini ndege wanyama (birds) wanaoruka angani wana shape hiyo kimaumbile? Kwa nini samaki wa majini wana shape hiyo? Au kwa nini wanawake nyonga.zao (hips) ni pana kuliko za wanaume?
Ulishajiuliza kwa nini gari wanazotembelea marais wengi duniani ni za muundo kama ule wa benzi tulilomzawadia Mzee Ruksa badala ya miundo kama za V8 ya Polepole? Centre of gravity ya V8 iko juu sana na hivyo at high speed ni rahisi sana ku overturn (hasa ukijaribu kukata corner), ukilinganisha na hilo benzi la Mzee Mwinyi.
Ndege (aeroplane) au treni yenye umbo la container ni ngumu sana kuweza kutembea kwa spidi kali inayozidi 100 kph. Ndiyo maana aeroplanes na high speed trains maumbo yake yanafanana na yale ya ndege (bird) original, umbo linalowezesha kukata upepo vizuri. Hivyo hivyo maumbo ya meli yanafanana na yale ya samaki kuwezesha kukata maji vizuri. Maumbo haya ndiyo yanaitwa bullet shape, yaani shape ya risasi. Bullet trains maana yake ni treni zenye umbo la risasi. Haimaanishi zina spidi kama ya risasi. Zinaweza kuwa na maximum speed ya kawaida tu. In fact bullet trains za mwanzo (miaka ya 1960s) maximum speed zake zilikuwa 100kph tu. Ila kama unataka maximum speed kali, shape ya bullet ni ya mhimu kama zilivyo wide hips za mwanamke kama unataka akuzalie watoto kwa urahisi bila caesarian section. Kadogosa anatuletea shape hii ya treni zetu, tujiandae kufanyiwa caesarian section mara kwa mara tutakapokuwa tunasafiri na treni hizo.
What so special Kama tuna SGR ya umeme ,kama tumejenga hiyo SGR ya umeme kwa commitment kubwa kwa nini hiyo commitment tusiitendeee haki Kwenye train yake ,mbona tuna dream linear ndege ambazo ni nashiriki machache yanamiliki
Naomba nifanye references kwa:..inabidi kuwe na balance.
..tunaweza kuitendea "haki" sgr lakini tusiwatendee "haki" walipa kodi.
..serikali inaponunua treni kwa ajili ya sgr ni lazima wazingatie hali ya kiuchumi wa nchi na wananchi kwa ujumla kama tunaweza kumudu gharama za manunuzi, matumizi, na matunzo.
..haiwezekani zinunuliwe treni za bei ghali kama zile za nchi zenye uchumi wa juu wakati nchi yetu ni masikini ya " uchumi wa chini wa kati. "
..Ushauri wangu ni kwamba serikali iwe makini ili sgr iendeshwe kibiashara na kwa faida. Hatutaki kusikia kuwa mkopo wa ujenzi umeshindikana kulipwa.
Tofauti na ujenzi wa sgr huko Kenya, sisi sgr yetu tunaijenga kwa pesa zetu za ndani. Mikopo kidogo tunachukua kwenye benki za biashara na tulishaanza kuzilipa kwa pesa zetu za ndani. Hiyo biashara ya kuuza tiketi haituhusu na si lengo letu kwenye hii miradi ya kimkakati eg bwawa la Nyerere, daraja la kilomita 3.5 la Kigongo - Busisi hukowanza, daraja la tanzannite huko DSM,ndege na viwanja vya ndege pamoja na radars kibao, mtandao mkubwa wa barabara.za lami kila kona ya nchi, mtandao wa umeme kila mahali mjini na vijijini etc...inabidi kuwe na balance.
..tunaweza kuitendea "haki" sgr lakini tusiwatendee "haki" walipa kodi.
..serikali inaponunua treni kwa ajili ya sgr ni lazima wazingatie hali ya kiuchumi wa nchi na wananchi kwa ujumla kama tunaweza kumudu gharama za manunuzi, matumizi, na matunzo.
..haiwezekani zinunuliwe treni za bei ghali kama zile za nchi zenye uchumi wa juu wakati nchi yetu ni masikini ya " uchumi wa chini wa kati. "
..Ushauri wangu ni kwamba serikali iwe makini ili sgr iendeshwe kibiashara na kwa faida. Hatutaki kusikia kuwa mkopo wa ujenzi umeshindikana kulipwa.