johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee wewe Katiba unaielewaje? Ni nini?Kwa hiyo Rais Samia alitaka kusema nini?
Hakuna haja ya kuwa na vitabu vitakatifu au katiba?
Hata tukiwa na hivyo vitabu bado hatupaswi kuvifuata?
Kuna vitu mtu mwenye heshima au mamlaka hupaswi kuvisema mbele za watu, maana ukivisema watu watagundua ujinga ulionao.
Mali bila Daftari hutumika bila taarifa,nenda kamwambie mama Samiah ajisahihishe hata huo urais kaupata kwa sababu ya Kitabu,bila Kitabu mama Samia asingekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Rais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Daftari siyo KitabuMali bila Daftari hutumika bila taarifa,nenda kamwambie mama Samiah ajisahihishe hata huo urais kaupata kwa sababu ya Kitabu,bila Kitabu mama Samia asingekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndiyo lakini ni kumbukumbu.Daftari siyo Kitabu
Hahaha! Hata watu wakiulizwa ni kifungu gani cha sheria au hata bajeti zinazosomwa bungeni wanakijua watajibu nini? Kwa hiyo, wakisema hawajui ina maana hadi hapo watakapojua hivyo vifungu vya sheria au bajeti ndipo serikali itunge sheria au ipeleke bajeti bungeni? Na je nani atapita amuulize kila mtu kupima huo uelewa na pengine mtu akisahau je ina maana hiyo elimu inarudiwa tena?Rais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Kumbukumbu ni Historia Kwahiyo!Ndiyo lakini ni kumbukumbu.
Kwani Historia ni nini zaidi ya kumbukumbu?Unajua John mara nyingine uwe unatumia five senses kuweka mambo sawa.Katika mfumo dume wa nchi nyingi za Afrika na Masharti mengi ya Dini zetu huyo mwanamke asingekuwa Rais bila ya Kitabu anachokidharau.Akumbuke kuwa nchi nyingine Rais akifariki madarakani hufanyika uchaguzi mwingine na watu wanamchagua mtu wanayeona anafaa kwa wakati huo.Kumbukumbu ni Historia Kwahiyo!
😂😂🔥Kwani Historia ni nini zaidi ya kumbukumbu?Unajua John mara nyingine uwe unatumia five senses kuweka mambo sawa.Katika mfumo dume wa nchi nyingi za Afrika na Masharti mengi ya Dini zetu huyo mwanamke asingekuwa Rais bila ya Kitabu anachokidharau.Akumbuke kuwa nchi nyingine Rais akifariki madarakani hufanyika uchaguzi mwingine na watu wanamchagua mtu wanayeona anafaa kwa wakati huo.
Ila Kitabu chetu cha Jamhuri wa Muungano wa Tanzania cha 1977 kilimfanya apate Uraisi wa mbeleko au wa kuokota.Usipende kubeza vitu ambavyo vinakufanya wewe ustawi na familia yako.Bila hicho Kitabu Askari hawawezi kamwe kumlinda.Tafadhari sana jitahidini kuwa wazalendo kuliko kuwa mapuppet.
Kwani hivyo vitabu vya dini ni vitakatifu kwa kila mtu, ama ni kwa ajili ya kuleta maendeleo? Inaonekana yeye ndio hajui katiba, hivyo anadhani katiba ni muongozo wa mradi fulani wa uzalishaji mali.Rais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Pweinti!Hapa mama kaanza kuwa yeye sasa. Rais Magufuli alikuwa akiongoza kwa kutumia vipaji vyake vya asili na ndio maana alikuwa kiongozi bora kabisa hii nchi iliwahi kupata. Kitendo cha mama kuanza ku"question" motives za wanasiasa zinaonyesha jinsi ambavyo ameanza kung'amua kuwa usipotumia common senses zako katika uongozi wako utajikuta unaendeshwa tu kama lirobot. Ndio, umuhimu wa vitabu katika kuongoza nchi upo lakini nimependa jinsi ambavyo mama ameweza kufikiria kama yeye.
Tuwaweke yeye na Lissu nani anajua katiba na sheria huyu haujui hata hiyo katiba yenye. Angejua wala asingeuza Bandari zetu.Rais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Kwamba TEC wasimsumbue...mbona ata wao Biblia hawaifati 100%. ...Ata na yeye akiivunja katiba hapa na pale ...watulie tuu.Huyu mjinga mnayemwita raisi hivi hapa alikuwa anataka ****'nisha nini
Tuwaweke yeye na Lissu nani anajua katiba na sheria huyu haujui hata hiyo katiba yenye. Angejua wala asingeuza Bandari zetu.
Nadhan ndio ilikua point yake kubwaTuwaweke yeye na Lissu nani anajua katiba na sheria huyu haujui hata hiyo katiba yenye. Angejua wala asingeuza Bandari zetu.