Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hata katiba iliyopo ingefuatwa vizuri ingekuwa vizuri.Rais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!