Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Anajua kuliko nyie,hakuna.katiba ya kuingiza machadomo madarakani Kwa sababu za njaa zenu
 
Kuna mtu alitegemea tofauti na kilichosemwa jana ?
 
Na wewe taahira Huwa unamtukana sana Rais,ni ushukuru uko kufua nepi za wazee wa Kizungu vinginevyo ungekuwa jela saizi
 
Watanzania wanamuelewa sana Rais samia na aliyoyazungumza Rais samia ndiyo msimamo wa mamilioni ya watanzania Ndio maana hakuna ambapo watanzania wamewahi kuandamana au kupiga Makele kusema wanahitaji katiba mpya kwa hali na mali,hakuna mtanzania amewahi kunyanyua mabango akisema anahitaji sana hiyo katiba.mahitaji ya watanzania ni Elimu bora, huduma bora za afya mahospitali, upatikanaji wa maji safi na salama,huduma bora za umeme , miundombinu ,mbolea n.k. mambo ambayo amekuwa Rais samia akiyatekeleza kwa weledi na kasi kubwa sana , ndio maana Watanzania wanaendelea kumuunga mkono mh Rais wakati wote.
 
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?

QHivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?

Hawa watu wakishashiba madaraka huwa wanajitoa ufahamu...

Sio kwamba hana uelewa wa anachokizungumza...
 
CCM ile brain kubwa hua inakaa nyuma kufaidi mema ya nchi. Halafu wale hohehahe ndio wanapewa nafasi za uongozi ili wajione nao ni kitu. Matokeo yake ndio hayo ndugu yangu. Yaani mtu mwenye hadhi ya raia namba moja anabeza umuhimu wa katiba kwenye maendeleo. Ni huzuni kubwa sana. Huyu mtu sasa tukisema uchumi umeshuka au umeoanda anaelewa chochote kweli?
 
Mwanamke ni kiumbe duni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kama unabisha nenda kasalishe masjid uone moto
Unataka kuniambia kuwa mama yako aliyekubeba Tumboni miezi Tisa ni dhaifu? Mama yako angekuwa dhaifu ungeqwzaje kukaa Tumboni kwake miezi tusa? Kwanini unakuwa na mawazo ya kibaguzi na chuki za kijinga zilizopofusha akili na uwezo wako wa kufikiri?
 
Kama Rais haamini katika katiba, anakosa uhalali wa urais wake maana kapatikana kwa zao la katiba hiyo hiyo.

Hapa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…