MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Mashallah mnyazi mungu anijalie pepo nikajilie vinono huko mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashallah mnyazi mungu anijalie pepo nikajilie vinono huko mbinguni
Anajua kuliko nyie,hakuna.katiba ya kuingiza machadomo madarakani Kwa sababu za njaa zenuHuyu mama amewahi kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba. Kama anadhani katiba siyo muhimu, alifata nini huko?
Aliapa kulinda na kutetea katiba, iliyopo kwa mujibu wa sheria, kama katiba siyo muhimu aliapa kuipinda kuitetea ya nini?.
Kwa hiyo anatuona sisi sooote tulioshiriki kutoa maoni ya katiba mpya mwaka 2012/13 hatuna akili?
Hiyu mama katudharau sana, yaana katuonyesha dharau ya kufa mtu.
Anazungumza jambo zito kama katiba kwa hoja dhaifu zisizo na mashiko kabisa. Yaani nimemshusha vibaya sana.
Hafai, hafai hata kulumangia!
Mleta mada na aneiunga mkono mada uelewa wenu na muono wenu hauvyki mapana na marefu ya pua zenu.Anayebishana na mada hii Akili zake fupi
Sawa dogo jinga, i hope ukiwa mkubwa utakuwa na akili timamu. PeaceMimi sipo Tayari kuendeleza majibizano na wewe unayeonyesha dhahiri kuwa kubwa jinga
Kuna mtu alitegemea tofauti na kilichosemwa jana ?Kwa hiyo Rais Samia alitaka kusema nini?
Hakuna haja ya kuwa na vitabu vitakatifu au katiba?
Hata tukiwa na hivyo vitabu bado hatupaswi kuvifuata?
Kuna vitu mtu mwenye heshima au mamlaka hupaswi kuvisema mbele za watu, maana ukivisema watu watagundua ujinga ulionao.
Tena bila ya hesabu.Mashallah mnyazi mungu anijalie pepo nikajilie vinono huko mbinguni
AminTena bila ya hesabu.
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
Pepo haiji kwa maombi tu, hufanyiwa kazi.Amin
Watanzania wanamuelewa sana Rais samia na aliyoyazungumza Rais samia ndiyo msimamo wa mamilioni ya watanzania Ndio maana hakuna ambapo watanzania wamewahi kuandamana au kupiga Makele kusema wanahitaji katiba mpya kwa hali na mali,hakuna mtanzania amewahi kunyanyua mabango akisema anahitaji sana hiyo katiba.mahitaji ya watanzania ni Elimu bora, huduma bora za afya mahospitali, upatikanaji wa maji safi na salama,huduma bora za umeme , miundombinu ,mbolea n.k. mambo ambayo amekuwa Rais samia akiyatekeleza kwa weledi na kasi kubwa sana , ndio maana Watanzania wanaendelea kumuunga mkono mh Rais wakati wote.Huyu mama amewahi kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba. Kama anadhani katiba siyo muhimu, alifata nini huko?. Au alifuata posho tu?
Aliapa kulinda na kutetea katiba, iliyopo kwa mujibu wa sheria, kama katiba siyo muhimu aliapa kuipinda kuitetea ya nini?.
Kwa hiyo anatuona sisi sooote tulioshiriki kutoa maoni ya katiba mpya mwaka 2012/13 hatuna akili?
Hiyu mama katudharau sana, yaana katuonyesha dharau ya kufa mtu.
Anazungumza jambo zito kama katiba kwa hoja dhaifu zisizo na mashiko kabisa. Yaani nimemshusha vibaya sana.
Hafai, hafai hata kulumangia!
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
QHivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Narudia kusema tena wewe huna akili na ni kubwa jinga tu unayepaswa kupuuzwa na husitahili kujibiwa kwa lolote lileSawa dogo jinga, i hope ukiwa mkubwa utakuwa na akili timamu. Peace
Imekuchapa za uso lazima uone aibu. Hatukushangai.Niliposikia kipande cha hiyo hotuba binafsi aibu niliona mimi
Sawa mjuviImekuchapa za uso lazima uone aibu. Hatukushangai.
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
Unataka kuniambia kuwa mama yako aliyekubeba Tumboni miezi Tisa ni dhaifu? Mama yako angekuwa dhaifu ungeqwzaje kukaa Tumboni kwake miezi tusa? Kwanini unakuwa na mawazo ya kibaguzi na chuki za kijinga zilizopofusha akili na uwezo wako wa kufikiri?Mwanamke ni kiumbe duni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kama unabisha nenda kasalishe masjid uone moto