Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Lakini yeye si ndiyo "mama", ulitegemea nini zaidi ya hapo? Wamama uwongo wao kwa wanao huwa ni indisputable facts, regardless of their level of ignorance and stupidity. Kwahiyo Samia is just rolling with her role kama "mama" wa taifa.
 
Jibu swali Katiba ndio inaleta maendeleo? Vinginevyo ishia kuokota ma box huko huko hakuna Cha diaspora Tzn
Njaa ya tumboni imewaondolea heshima ya kuitwa watu sasa mko tayari hata kuwaza kama kondoo..

Katiba Duniani kote zinaheshimka kama mwongozo wa maendeleo na ustawi wa binadamu. Labda kama nyie ni nyani hamjali katiba sawa.
 
Duh...!.
P
 
Hakika hii kauli yake ilimvua nguo mpaka tumemjua uwezo wake wa kufikiri ni ndogo sana

Kama vicoba na vikundi mbalimbali vya kijamii vina Katiba sembuse nchi🤷
 
Ulinitafuta kuniuliza maoni yangu na nikakuambia kinyume na nisemavyo hapa?
 
Naliona kabisa fuko la shangazi kaja liko pale ikulu.

Hivi hayo madarasa ya kufundishwa hii Katiba iliyopo yatakuwa chini ya miembe nchi nzima?

Wahudhuriaji wa hivyo vipindi watakuwa wanahudhuria muda gani? au vipindi vitakuwa usiku kama wachawi?!

Au kwenye TV na huu umeme wa Maharage ya kande?!

Na hao walimu wa hii Katiba mbovu wataokotwa wapi kuja kutufundisha ubovu wa hii Katiba iliyopo?

Samia ni jinga sijawahi kuona!.
 
Heading imeshamaliza kila kitu. Tuna Raisi wa ajabu kuwahi kutoka duniani
 
Wa kulaumiwa ni jenerali Mabeho aliyewagomea wale waliokuwa wanamjua vizuri kuwa ni inept, hawezi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Mafisadi wanampenda kwa sababu wanaendesha wizi wao bila kuguswa. Lake oil
 
Hatari nikuwa watendaji wakuu wote sio big and smart brains... Golden boys/girls huwa excellent toka ngazi za chini mpaka vyuo vikuu!!
Sasa tizama,
R sa100 - alifeli fomfoo akaenda somea ukarani baadae akaunga unga kiujanjajanja vyuo vyajuu
W/M kasim - alifeli fomfoo akaenda ualimu wa praimari baadae akaungaunga kiujanja ujanja vyuo vyajuu
NW/M doto - alifeli fomfoo akaenda ualimu praimari badae akaunga unga kiujanja vyuo vyajuu.
Tena huyu ashtakiwe maana alikuwa hafanyi kazi anabeba mshahara alafu anaunganisha tuu vyuoni wakati kisheria inapaswa kukaa kituoni miaka mitatu ndiyo ukaongeze elimu!!!
Kazi tunayooo, wataacha kugawa mabandar hawa bila kikomo!!
 
Kumbe wewe ni miongoni mwa wasiojua maana ya katiba!
Maana ya katiba unaijua wewe na rais wako, ndiyo maana mnataka sisi sote wengine tufundishwe hiyo katiba yenu kwa miaka mitatu.
Swali ni je, tukishafuzu, tutapewa vyeti?

Nyinyi mnaoifahamu katiba, mlijifunzia wapi? Tuonyesheni hivyo vyeti vyenu vya kufuzu elimu mliyopata.
 
Mimi anafikiri wewe mtoa mada ndio una uwezo mdogo ndio maana umeshindwa kuelewa alicho kisema Mh.Rais...

Rais yupo sahihi. Alicho kisema Mh.Rais ni kikubwa kuliko uwezo wako wa kuelewa.
Period
 
Mama mbona alisema yeye ni Raisi wa kikatiba kwamba inapotokea nini kinafuata nini kikatiba. Naapa kwamba Nitailinda.Nitaitetea na kuiheshimu katiba ya Jmt eeeh mwenyezi Mungu naomba unisaidie. Au hawaapi hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…