Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Nje ya hotuba ya kuandikiwa huwa ni mtupu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba ni instrument inajiendesha kwa kupitia walioapa kuilinda. Ndiyo maana kwa marekani Rais anapokiuka senate haisubiri inakaa Ina frame case anaitwa kujieleza.Ni tafsiri tu ya kile alichokisema...
Mh.Rais anaiheshimu katiba ila haijiendeshi.....inatafsiriwa na BINADAMU na inasimamiwa nao....
Katiba ni jengo ambalo ndani yake kuna shughuli na Maisha ya watu.....
MAENDELEO hufanywa humo ndani ya nyumba na hao binadamu.....
Si katiba itakayoleta hayo MAENDELEO bali ni hao wakazi wa hiyo nyumba.....
Binafsi nimemuelewa mh.Rais SSH [emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukimwangalia wakati anahutubia ni wazi kabisa haonyeshi staha kwenye body language.Kwa hiyo Rais Samia alitaka kusema nini?
Hakuna haja ya kuwa na vitabu vitakatifu au katiba?
Eti katiba ni kitabu hakileti maendeleo! Rais kafika mbali, kitabu anachokidharau ndio hicho kimemfanya awe Rais.Kuna tofauti kubwa sana kati ya kiongozi wa kuchaguliwa na kiongozi aliyekaimishwa madaraka kwa mujibu wa katiba.
Pamoja na mapungufu ya katiba ya 1977 iliyotoa mianya ya uvunjaji sheria na uporaji haki kwa wananchi, bado viongozi wanaaminika walichaguliwa bado waliheshimu katiba ya nchi, hawakuwahi kuikejeli.
Nini kimekipata chama hiki CCM kutoa zao la katiba kuwa kejeli kwa katiba hiyo,huku wapambe wakishangilia na simanzi kubwa kwa wazee wa Taifa hili.
Je, ni ulevi wa madaraka au kuyazoea madaraka na kuwapima wananchi ukomo wa mamlaka yao?
Kwenye kongamano la vyama vya siasa na wadau wa demokrasia kauli za kuidharau katiba inayotambua uwepo wa taasisi zao Kuna pelela ujumbe gani kwao.
Ni kweli katiba iliyoitwa kitabu haileti maendeleo katika nchi na kama haileti kulikuwa na haja gani ya kuwa na katiba?
Je, ni kweli kitabu hiki ni kwa ajili ya ethics na mambo mengine isipokuwa maendeleo ,na kama ndivyo hivyo kwani alikubali madaraka yaliyotokana na hicho kitabu.
Kama Rais haamini katika katiba, anakosa uhalali wa urais wake maana kapatikana kwa zao la katiba hiyo hiyo.
Ndiyo maana kwa hata mikataba tunayoingia kama nchi inaukiukwaji Mkubwa wa katiba yetu.
Kwa hili Rais anapaswa kujitafakari kama anastahili kuendelea kuwa Rais.
Makaratasi asiyoyaheshimu Mwenyekiti wako, na kuyaona sawa na yale yanayotumika kule chooni. Hii ndiyo tafsiri yenu ya katiba.Katiba ni nini?
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, na dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
NAKAZIA!Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.

Kumbe wewe ni miongoni mwa wasiojua maana ya katiba!Makaratasi asiyoyaheshimu Mwenyekiti wako, na kuyaona sawa na yale yanayotumika kule chooni. Hii ndiyo tafsiri yenu ya katiba.
CCM hiki kiburi na dharau sasa kimewafikisha pabaya. Ni kama akili zenu zimekwisha kabisa vichwani mwenu?
Mwenyekiti wa Chama na kiongozi wa nchi, anatoa hotuba ya namna ile mbele za watu, na kunakuwepo na watu wanashangilia kabisa na wengine kusifu kuwa ni hotuba bora kabisa ya mwezi wa September!
Hilo Group lote Kichwani huwa ni Weupe tupu. CCM mung'oeni 2025 awamu ya Kitabu chake imeisha.Nje ya hotuba ya kuandikiwa huwa ni mtupu sana
Naona umemtag mumeo