Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Unakumbuka nilivyokubinuaga wewe bibi? Ila ukweli unajaaliwa rehema za mwenyezi Mungu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka nilivyokubinuaga wewe bibi? Ila ukweli unajaaliwa rehema za mwenyezi Mungu!
Sehemu nyingine huko Duniani hata pale kwa Unknown UK siyo kitabu!Hivi katiba siyo kitabu?
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
Katiba haileti ugali mezani pako. Kenya hao wanakaribia mpya na bado kila siku wapo mabarabarani kulia lia manjaa na maisha magumu kila uchwao.CCM ile brain kubwa hua inakaa nyuma kufaidi mema ya nchi. Halafu wale hohehahe ndio wanapewa nafasi za uongozi ili wajione nao ni kitu. Matokeo yake ndio hayo ndugu yangu. Yaani mtu mwenye hadhi ya raia namba moja anabeza umuhimu wa katiba kwenye maendeleo. Ni huzuni kubwa sana. Huyu mtu sasa tukisema uchumi umeshuka au umeoanda anaelewa chochote kweli?
Acha kutisha watu, Tanzania siyo North Korea.Na wewe taahira Huwa unamtukana sana Rais,ni ushukuru uko kufua nepi za wazee wa Kizungu vinginevyo ungekuwa jela saizi View attachment 2747191
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
Kosoa kwa staha na adabu na siyo kutumia lugha kama kichaa na mwendawazimu.Acha kutisha watu, Tanzania siyo North Korea.
Rais asikosolewe yeye ni nani?
Kaongeza Dola bilioni 15 kwenye uchumi kwa siku zake mbili madarakani...hao wenye uwezo ilikuaje!?Kwa jinsi alivyokuwa anaongea Napata shida kuelewa mtiririko wake wa fikra ulikuaje. Mwanamke nafasi yake ni jikoni
Wewe na anayesemwa hakuna tofauti. Kenya tatizo sio maisha magumu wala njaa. Wale ukabila ndio unawamaliza. Hayo mengine ni vichochoro tu, labda kama hujui siasa za Kenya.Katiba haileti ugali mezani pako. Kenya hao wanakaribia mpya na bado kila siku wapo mabarabarani kulia lia manjaa na maisha magumu kila uchwao.
Pumbavu nyie wajinga ndo mnamuaribia uyu mama , mkidhani mnajengaKatiba haileti ugali mezani pako. Kenya hao wanakaribia mpya na bado kila siku wapo mabarabarani kulia lia manjaa na maisha magumu kila uchwao.
Kenya wana katiba mpya na bado wanalia kila kama panya kila siku barabarani .Haya maneno ya katiba kwamba ndo itakuletea ugali, mara nyingi huzungumzwa na hao machawa wa ccm wasiojua mbele wala nyuma , sasa naye Rais sijui imekuaje bila kujua nafasi yake katika taifa na kuingia mzima mzima, na mbaya zaidi bora umesema katiba yeye kasema kitabu aiseee hapana
Kuwa dhaifu sio dhambi ni sifa, ni dhaifu kwenye suala la uongozi hususani wa jamii, mwanamke ni kiumbe anayepaswa kupewa favour sawa na mtoto si mtu wa kumtegemea kwenye maamuzi magumu yenye tijaUnataka kuniambia kuwa mama yako aliyekubeba Tumboni miezi Tisa ni dhaifu? Mama yako angekuwa dhaifu ungeqwzaje kukaa Tumboni kwake miezi tusa? Kwanini unakuwa na mawazo ya kibaguzi na chuki za kijinga zilizopofusha akili na uwezo wako wa kufikiri?
DohAcha kutisha watu, Tanzania siyo North Korea.
Rais asikosolewe yeye ni nani?
Acha makasiriko mkuu. Hoja hupingwa kwa hoja.Lione hili jinga kubwa nalo! Linadhani kunya kwenye sahani ya kulia chakula ni akili kubwa.
Mkuu ukipewa wale 72,nifanyie hisani japo watano tu,manake mi huko sitafikaMashallah mnyazi mungu anijalie pepo nikajilie vinono huko mbinguni
Hatuzungumzii dollar za zimbabwe hapa mkuuKaongeza Dola bilioni 15 kwenye uchumi kwa siku zake mbili madarakani...hao wenye uwezo ilikuaje!?
Ya Kenya hayatuhusu. Sisi tunashughulika na matatizo yetu. Acheni ujanja ujanja katiba mpya lazima.Kenya wana katiba mpya na bado wanalia kila kama panya kila siku barabarani .
Kwa hiyo warioba na mwamakula ndiyo kipimo chako Cha mtu kuongea mantiki!?..we mbona puto tu kichwani!!Aliongea pumba tupu!
Uliziona nyuso za Mwamakula na Warioba kamera zilipowaonyesha?
Samia hana hata uwezo wa kujistukia kuwa anachoongea ni pumba.
Mimi sina akili nyingi. Ila nina akili za kutosha walau kujistukia kuwa ninachokiongea ni pumba na hivyo ni bora kunyamaza tu.
Samia hata uwezo huo hana.