zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hivi tunacho debate ni Nini hasa? Kwahiyo sababu tu hatua hazijachukuliwa basi habari tuiamini?Hivi hakuna sheria hapa Tz ya kudhibiti vyombo vya habari kutoa habari za uongo??, je hakuna magazeti yaliyowahi kuchukuliwa hatua kwasababu ya kuandika habari za uongo au kuchafua nk??
Umeona habari hizo za YouTube? Je Nazo tuziamini sababu hazijafungiwa na TCRA??
Mbona unaweza google tu tofauti ya ministry na kanisa Wala hakuna haja ya kulumbana. ni hivi huduma sio Kanisa and that won't change whether you hold ur stance or not.