zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ministry ndio kanisa?? Ministry ni huduma tu ila kanisa ni TAASISI yenye katiba, uongozi, vikao rasmi n.k. so sio kweli kuwa Kuna KANISA linaunga mkono ushoga Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ministry ndio kanisa?? Ministry ni huduma tu ila kanisa ni TAASISI yenye katiba, uongozi, vikao rasmi n.k. so sio kweli kuwa Kuna KANISA linaunga mkono ushoga Tanzania.
Yes it's not a crime but a SIN.... So wanatakiwa waombewe, wapewe msaada wa kiroho n.k na sio kubaguliwa, kuuwawa n.k.Hivi unaelewa maana ya maneno; "Homosexuality is not a crime", isitoshe unajua CAPACITY ya pope kwa kanisa katoliki duniani??
Tuanzie hapo kwanza.
Mkuu mbona hatuelewani? Wapi nimekataa sio kiongozi wa Anglican? Hata Queen ni leader wa Australia na Canada ila ni ceremonious zaidi kuliko functional.Unahitaji ujifunze zaidi kuliko kubisha mambo usiyoyajua, angalia ili ujue Capacity ya Archbishop of Canterbury👇🏻
View attachment 2553384
Ministry ndio kanisa?? Ministry ni huduma tu ila kanisa ni TAASISI yenye katiba, uongozi, vikao rasmi n.k. so sio kweli kuwa Kuna KANISA linaunga mkono ushoga Tanzania.
Mkuu mbona hatuelewani? Wapi nimekataa sio kiongozi wa Anglican? Hata Queen ni leader wa Australia na Canada ila ni ceremonious zaidi kuliko functional.
Anglican sio kma Catholic..... Wao Kila kanisa mfano Anglican ya Uganda (Church of Uganda) ni communion inayojitegemea so wanaweza fanya maamuzi Yao bila kuingiliwa na Askofu aliyepo Canterbury.
So ndio uelewe kwamba ni kiongozi ila Hana mamlaka juu ya Nchi wanachama. Ni kama tu mratibu fulani hivi.
Mkuu dini na siasa havikai pamoja sijui kwanini tunapenda kuforce. Israel si mnaliita taifa teule ila linaongoza kwa ushoga na haki za kulinda mashoga ila mnasema Kila cku wamebarikiwa sijui Wana akili n.k.Narudia tena,
Serikali ikihalalisha NGOs za mashoga na kupitisha SHERIA za Kuhalalisha NDOA za JINSIA moja,
Itakosa uhalali na KIBALI kuongoza wananchi.
ANGALIZO; Mamlaka yeyote Duniani iwe OVU au nzuri, hupata KIBALI Kutoka Kwa Mungu.
Kuruhusu USHOGA na NDOA za JINSIA moja kisheria ni kuvuka mipaka, US Kwa mfano, soon itaanguka kirahisi tu Kwa maandamano, sababu kuu ni kuvuka mstari.
Sio Kila gazeti ni source!! Ingekua mwananchi au citizen hapo kidogo ningekuelewa sio vigazeti uchwara vya uswazi.Hilo swali muulize huyo muandishi kwenye hilo Gazeti
Eeh anaweza jiita anavyojiskia si ni HUDUMA tu!! Ila kusema ni kanisa Ina maana kamati kuu, baraza la maaskofu n.k walikaa vikao wakapitisha muswada wa kuunga mkono ushoga n.k. which is not true.bila shaka ni kasisi (priest) ama awe hana kanisa au analo lakini huwezi kuondoa mafungamano yake na Yesu na bila shaka alikuwa.na wafuasi na taratibu za kukutana mahali fulani na kufanya masuala ya kiimani, kimsingi hilo lilikuwa ni kanisa.
Anaratibu shughuli za makanisa wanachama wa "communion" za Anglican hivyo sio MKUU wa kanisa la ANGLICAN .... Ila papa ni Supreme leader wa Catholic church yaani kma Rais mwenye mamlaka kamili.Anaratibu nini??--- Kiongozi mkuu anaratibu nini??
Hoja Yako nn?Mkuu dini na siasa havikai pamoja sijui kwanini tunapenda kuforce. Israel si mnaliita taifa teule ila linaongoza kwa ushoga na haki za kulinda mashoga ila mnasema Kila cku wamebarikiwa sijui Wana akili n.k.
Marekani na uingereza nao Yale Yale tu ila nao kiuchumi wapo juu. So kama ushoga ndio litatuletea umasikini sijui israel na USA watasemaje.
Mind you dhambi sio ushoga tu, hata ufisadi unaofanyika inatosha kutuharibia hicho "kibali". Mind you wazinzi tunao wengi, wanaogeuza wake zao wapo wengi n.k eti Bado tuna kibali ila ushoga ndio kibali kitaondoka? Sikujua Mungu anachagua dhambi!
Sio Kila gazeti ni source!! Ingekua mwananchi au citizen hapo kidogo ningekuelewa sio vigazeti uchwara vya uswazi.
Anaratibu shughuli za makanisa wanachama wa "communion" za Anglican hivyo sio MKUU wa kanisa la ANGLICAN .... Ila papa ni Supreme leader wa Catholic church yaani kma Rais mwenye mamlaka kamili.
So sio kweli maoni yake ni msimamo wa kanisa Zima.
Hoja yangu ni kwamba eti US itaanguka sababu tu ya kusupport Ushoga ndio nikakuuliza mbona Israel mnaliita taifa teule au mbona Uingereza ama France Ina uchumi mkubwa licha ya kusupport Ushoga??Hoja Yako nn?
Lini Serikali imehalalisha lini UFISADI, Wizi, UZINZI, dawa za kulevya ktk SHERIA zake?
Kuwa CDM Si lazima upinge Kila kitu. Na CDM kama chama haikubaliani na vitendo vya kishoga kuhalalishwa kisheria.
Communion wanakutana maaskofu tu wa makanisa kutoka nchi wanachama ni sawa tu na Rais wa baraza la maaskofu hapa Tanzania. Anaongoza maaskofu ila hawezi ingilia majukumu ya Jimbo katoliki katika eneo husika Wana semi-autonomy. Same to Anglican duniani hawana KIONGOZI mmoja Bali yeyote anayekua askofu wa kanisa la Canterbury ndio anakua "ceremonious" figure kuratibu shughuli za jumuiya ya viongozi wa makanisa ya kianglikana duniani.Kuratibu ndio kitu gani??, toa mfano ili nijue anaratibu kitu gani na kivipi??
Sio kweli.... Hata kwenye research publications huwa tuna grade sources lazima zitoke kwenye journal kama Sage, Elsevier, Francis and Taylor n.k huwezi tu toa data kwenye kikaratasi Cha huko Tandahimba ukasema ndio FACT.Mwamba ngoma----, hilo gazeti ni registered kama Mwananchi na The Citizen hivyo hadhi zao ni sawa kisheria.
Na wanasheria mikataba muisome vizuri sio kuambiwa saini hapa tu hata kama ina kurasa nyingi wambieni Ngoako tukaisome kwanzaHatuna hata kurevenge, ni kuwaeleza, tena usoni, kuwa waafrika tuna thamani yetu kibinadamu.
So huelewi, hutaki kuelewa au hukufundishwa kuwa,Hoja yangu ni kwamba eti US itaanguka sababu tu ya kusupport Ushoga ndio nikakuuliza mbona Israel mnaliita taifa teule au mbona Uingereza ama France Ina uchumi mkubwa licha ya kusupport Ushoga??
Pia umesema mamlaka hutoka kwa Mungu ndio nakuuliza Toka lini dini na siasa zikaenda pamoja?. Mtu kaingia kwa kuiba kura au mapinduzi naye amewekwa na Mungu?
Bottom line ni kwamba unachokiita kibali kama Taifa hatuna sababu tayari Kuna ufisadi, ushirikina, na umalaya mwingi so sio mpaka sijui tuje kuhalalisha ushoga ndio so called kibali kiondoke.
Bali yeyote anayekua askofu wa kanisa la Canterbury ndio anakua "ceremonious" figure kuratibu shughuli za jumuiya ya viongozi wa makanisa ya kianglikana duniani.
Sio kweli.... Hata kwenye research publications huwa tuna grade sources lazima zitoke kwenye journal kama Sage, Elsevier, Francis and Taylor n.k huwezi tu toa data kwenye kikaratasi Cha huko Tandahimba ukasema ndio FACT.
Hivi huko YouTube umewahi ingia? Unakuta headline JPM GHAFLA AFUFUKA!! sijui TB JOSHUA AONEKANA NA MALAIKA n.k. ukifungua video hakuna lolote so sio gazeti ni la ku cite.
US ianguke Kwa maandamano? Are you serious? By the way hiyo Israel inalinda haki za Ushoga una maoni Gani? Je Mungu ataiangamiza?Kama unakubaliana nami ktk Hilo, hutobisha kwamba us itaanguka Kwa maandamano maana aliyeruhusu iwepo ndo ataiangusha.
Nani kaupigia chapuo? Mie nimeweka rekodi sawa tu kuwa dhambi zote ni sawa so hata usipofanya ushoga kama ni mzinzi au mlevi mna dhambi Sawa sawa tu na kibali kitaondoka kwenye taifa.USHOGA ni Tatizo Sugu, mbona mnaupigia chapuo sana?