Haujiulizi kwa nini wao chakula organic kina bei kubwa kwao kuliko kawaida na wanakithamini sana chakula hicho organic, lakini unaletewa mbolea ya msaada, mbegu, na wanakushauri ufungue viwanda vingi vya mbolea, mwisho kabisa mara nguvu za kiume, linakua tatizo la kitaifa uwezo wa kuzalisha unapungua hapo tunakwenda taratibu kumbe ilitakiwa sera za kilimo tuziangalie ziendane na sisi wenyewe kwa kutumia akili kwamba wakulima wetu tunawafundisha kuzalisha vyakula organic kwa wingi sana ili kujenga afya ya watu wetu, lakini uvivu wa kufikiri kwa mtu mweusi GMO inaletwa linapokea kama jehu hivi