Na asikidanganye mtu Rais Samia nguvu ya yeye kuzuia ushoga hana na hatokua nayo milele, unazuiaje ushoga wakati wewe umesoma shule ya msingi ya kutwa na sekondari ulienda ukiwa na akili timamu lakini mtoto wako umempeleka shule ya bweni ambapo pamoja na mafundisho yote hua wana secret agenda na mara nyingi patron ndio hupewa maelekezo yote hivo watoto hufundishwa huko namna ya kuingiliana, ndio unakurupuka kufungia bweni za watoto leo ilihali walishaharibika mamilioni ya watoto kwa ujinga wa kuigaiga vitu vya watu wengine