Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misaada ikiambatana na eti haki za mashoga, tuikatae.
Hivi una noma gani na mimi,nini nimekuchukulia,mbona kunifatafata,kila muda kunisema sema,nhee unataka niondoke humu jf...acha ligi za kitoto,fanya mambo yako aiseeSikukosea kukuita lile jina.
Na sasa hivi naenda kukuongezea lingine.
Context ya hizo statements ni ulaya sio Africa Sasa kwanini ujumuishe ukristo as if waanglikana wa tukuyu Mbeya wameafiki?Pope sio kiongozi wa kanisa la Roma duniani??, anaposema; Homosexuality is not a crime akiwa kama kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani hapo unamuelewaje??, Archbishop wa Cantebury (Anglicans) anapoyataka makanisa yote ya Anglicans duniani kutambua ndoa za jinsia moja hapo unaelewa nini?
Sio kanisa la pentecostal Ile ni ministry sio KANISA mtofautishe haya mambo. So msimamo wa mtu mmoja usiingizwe kwa wakristo wote. Hta Kuna msikiti uliruhusu mashoga kusali ila je huo ni msimamo wa waislam wote?vipi kuhusu lile kanisa la Pentecoste lililofungiwa hapa nchini kwa tuhuma za kujihusisha na ushoga na limepewa altmatum ya kwanini lisifutwe, unasemaje hilo sio kanisa ndani ya Tz??-
Mashoga bhana mjue mnakera ile mbaya
Watu wakiwa machoko hayo mambo mengine ya msingi yatafanyikaje wakati nguvu kazi itakua inarembua macho na kua rojorojo? mambo ya msingi yanaanzia kwa kua na nguvu kazi yenye maadili mema na kumuogopa Mungu,kila jamii ina taratibu zake,kama jamii fulani inaukataa ushoga,kwanini ilazimishwe kuukubali na jamii zingine? lengo lao ni nini hasa?
Hawa wapinga ushoga wajinga sana ni kama hawaelewi wanachozungumza kabisa.Mtu mgeni anaweza kudhani kuwa huyo mama atakuja na kontena la mashoga, kumbe tunayo humu humu nchini miaka na miaka hatuwachuliii hatua wanatamba mitaani na mitandaoni huku tukiwalalamikia wazungu , bora hata Museveni yeye hana mzaha kwenye hilo jambo
AFANDEE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaweza kuta anayetakiwa kukamata shoga naye ni shoga.
TrueeeeUnaacha kukerwa na huduma mbovu unakerwa na jambo la hovyo.
Mtaani kuna mashoga wangapi? Afu jiulize lini mara ya mwisho mlipata maji na umeme wa uhakika kama hadi leo mnapewa misaada ya vyoo vya shule.
Hao mashoga ndo unatumia technology yao na wanakupa misaada yote wakati wewe straight man huna hata kiwanda cha toothpicks.
Mnatumia rungu kuua sisimizi. Hizi ndo akili za miafrika.
Uko right [emoji817] %
Mambo ya muhimu mfano Katiba iliyo bora, Tume huru ya uchaguzi, vita dhidi ya ufisadi, Elimu bora nk mambo ambayo yanagusa kabisa maisha ya kila siku ya kwao na watoto wao wako kimya kabisa na hata baadhi ya watu wakiwapigania wanaishia kuwabeza tuu lakini wamechotwa na suala la ushoga kama vile watu wanalazimishwa kwa mtutu wa bunduki.
Hii nguvu ya hadi mashehe na maandamano ingewekwa kwenye vitu nilivyo taja hapo juu hivi kweli taifa lingekuwa limeganda hapa lilipo?
Vita ya kupambana na ushoga ni sawa tuu na kupambana na mihadarati maana ni tabia na inaweza kupiganwa kwenye ngazi ya jamii tuu na watu walajikita ki nchi katika hayo mambo makuu kama ya kitaifa.
KweliiiiiiiMiafrika inatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi haifanyi.
Nguvu inayotumika kupinga ushoga, swala ambalo ni almost negligible, ni sawa na kuua nzi kwa nyundo. Kuna mambo mengi yanagusa jamii nzima kwa ujumla watu mmetulia tu ila ushoga kila mtu anatokwa povu. Nonsense.
Wazungu ni intelligent sana , wanajua wanachofanya , wameshasoma mindset zetu, kwamba ukitujaza ujinga tutaspend decades kuujadili , ni kama vile mbwa unavyompa fupa alilambe , hapati ladha na atapoteza muda wake wakati wewe unafanya yako.
Namamini hii kasi ya wao kuutangaza na kuukubali ushoga huko kwao , ni njia ya kutu provoke , tutatumia.muda na nguvu nyingi kupimga na kujadili huku wao wakisonga mbele zaidi ,
Tim cook , ni shoga lakini apple na Nike wanategemea kichwa chake kwa maendeleo ya kampuni
Point yangu ni kwamba kila nchi iwe huru kuamua mambo yake yenyewe,kama kuna nchi imehalalisha ushoga hayo ni matakwa yao,misaada isitumike kama silaha kwa wengine kufuata atakalo mtoa misaada.Mkuu upo nje ambako watu wana uhuru wote, umewahi kuona mtu kalazimishwa kuwa shoga? Nitajie mfano mmoja tu wa mtu kulazimishwa kuwa shoga au straight.
Kuna nchi ushoga ni halali kisheria kama South Africa na Spain au Canada nani kalazimishwa kuwa shoga huko? Nguvu kazi kwenye hizo nchi imepungua? Nchi gani zina uchumi mkubwa kati ya hizo na hizi shitholes coutries zetu huko Africa?
I'm not advocating for it wala sisemi TZ ihalalishe ushoga ila nasema wabongo or waafrika rather wanatumia nguvu kubwa kudiscuss mambo finyu sana yasiyo na tija kwenye jamii zao. Wanacheza ngoma zisizo wahusu
No, mwanasheria yule pamoja na Fatma ndo Wana urafiki na hao watu.ushoga ni sera ya ccm ndio maana democrats wanaounga mkono ushoga ni rafiki wa ccm.
Usipopambana na USHOGA, utalima vp?Hakika kabisa!!!
Wakati tunapambana na ushoga ,tunasahau kabisa vita ya umasikini na ujinga ,
Watu wanaumiza vichwa na kuvumbua na kutatua changamoto , ,ipo siku tutakunywa dawa ya maleria , mvumbuzi ni shoga huko USA.
Umekariri kila mtu atalima ili aishi, huyo Tim cook analima?.Usipopambana na USHOGA, utalima vp?
Shoga anaweza Lima hata tuta moja?