Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

Kama vile ulikuwa mawazoni mwangu yaani huyo mama na masuala hayo ya ushoga kwenye kampeni zake alikuwa akiongea waziwazi chondechonde rais wetu utamaduni wetu unajulikana msije mkaleta hiyo kitu nchini kwetu.
Walete ushoga hapa kwani haupo mpaka sasa??
 
Miafrika inatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi haifanyi.

Nguvu inayotumika kupinga ushoga, swala ambalo ni almost negligible, ni sawa na kuua nzi kwa nyundo. Kuna mambo mengi yanagusa jamii nzima kwa ujumla watu mmetulia tu ila ushoga kila mtu anatokwa povu. Nonsense.
Hakika kabisa!!!
Wakati tunapambana na ushoga ,tunasahau kabisa vita ya umasikini na ujinga ,
Watu wanaumiza vichwa na kuvumbua na kutatua changamoto , ,ipo siku tutakunywa dawa ya maleria , mvumbuzi ni shoga huko USA.
 
Hakika kabisa!!!
Wakati tunapambana na ushoga ,tunasahauvkabisa vita ya umasikini na ujinga ,
Watu wanaumiza vichwa na kuvumbua na kutatua changamoto , ,ipo siku tutakunywa dawa ya maleria , mvumbuzi ni shoga huko USA.

Tunywe mara ngapi mkuu mbona tayari.

Waache kutumia iphone kwanza ambazo CEO wake is openly gay.
 
Watu wamedungwa chanjo na kiongozi wetu mwenyewe kutwa kutembea na barakoa ili awafurahishe hao mabeberu ndio litakua jambo kama hilo ambalo watu wanafanya vyumbani mwao??
 
Haji kwa ajili ya
ushoga. Anakuja kwa sababu inadhaniwa( by some people kwamba Joe Biden is,to put it mildly,senile- yaani,labda anazeeka vibaya. )
Na huyu Kampala Harris is very unpopular kule Marekani.
Kwa hiyo wanamleta hapa,they want ti make a big hype out of it, waseme,"Tazama,hapa yupo woman president,anaongoza,na mambo yanakwenda vizuri. Kwa hiyo,why not us?(in America).
 
Kama vile ulikuwa mawazoni mwangu yaani huyo mama na masuala hayo ya ushoga kwenye kampeni zake alikuwa akiongea waziwazi chondechonde rais wetu utamaduni wetu unajulikana msije mkaleta hiyo kitu nchini kwetu.
Tatizo lenu mmezidi kuomba omba, hivi maskini anaweza mpangia bosi wake. COVID 19 tu mlishindwa kutengeneza chanjo zenu mpaka mpewe misaada ndio sembuse muwapinge? Wakisusa mtatoa wapi Hela 🤣🤣🤣🤣.

Tujitegemee kama nchi ndio tutaweza kuwa na jeuri hiyo. JPM mwenyewe kwenye kampeni ya Makonda dhidi ya mashoga alimkana maana hakua tayari kwa vita na wadhamini.
 
Ajabu siku hizi imekuwa ngumu kitenganisha kati ya makanisa na Ushoga
Acha kuchanganya dini na tamaduni. Kuna kanisa gani Afrika limeruhusu ushoga? Au umesikia wakristo wote ni wazungu? Huko america kusini au Asia Kuna wakatoliki wengi tu umesikia wamekubali hizo mambo?

Kama culture ni ya wazungu basi ukielezea jikite Kwa wazungu sio kujumuisha dini. In fact ukristo haukuanzia Kwa wazungu ulitokea mashariki ya kati na kuenea kwingineko.
 
Hatuna hata kurevenge, ni kuwaeleza, tena usoni, kuwa waafrika tuna thamani yetu kibinadamu.

Utakuwepo kuongea nae sasa?
Mwenye mamlaka hiyo hawezi kuongea kwa uthubutu huu na tatizo linaanzia hapo.
Sitaki lakini nataka hela zenu [emoji16]
 
Acha kuchanganya dini na tamaduni. Kuna kanisa gani Afrika limeruhusu ushoga? Au umesikia wakristo wote ni wazungu? Huko america kusini au Asia Kuna wakatoliki wengi tu umesikia wamekubali hizo mambo?

Kama culture ni ya wazungu basi ukielezea jikite Kwa wazungu sio kujumuisha dini. In fact ukristo haukuanzia Kwa wazungu ulitokea mashariki ya kati na kuenea kwingineko.


Kwahiyo makanisa yapo Africa tu?

Pope sio kiongozi wa kanisa la Roma duniani??, anaposema; Homosexuality is not a crime akiwa kama kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani hapo unamuelewaje?

Archbishop wa Cantebury (Anglicans) anapoyataka makanisa yote ya Anglicans duniani kutambua ndoa za jinsia moja hapo unaelewa nini??, vipi kuhusu lile kanisa la Pentecoste lililofungiwa hapa nchini kwa tuhuma za kujihusisha na ushoga na limepewa altmatum ya kwanini lisifutwe, unasemaje hilo sio kanisa ndani ya Tz??

--- siku za nyuma masuala ya Ushoga tuliyasikia mitaani nk lakini siku za hivi karibuni makanisa yanahusika sana, kwanini???
 
View attachment 2551469

Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania.
Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania.

Hapa nchini watakuwa wameisha fika marais watatu kwa kumbukumbu zangu, Rais Bush, Rais Obama na sasa Makamu Kamara Harris.

Ila kwa vuguvugu la huu ushetani unaoongozwa na serikali ya Marekani, hasa chama cha Democrats, kutetea ushoga, mimi binafsi natofautiana na Wamarekani.
Kwa sisi waafrika ushoga ni mwiko, haramu, chafu.

Naomba Mama Samia mkaribishe mama Kamara Harris ambaye tabasamu lake ni la kukata na shoka, nalipenda sana.

Lakini ushoga mwambie si sera ya CCM, wala CHADEMA, wala ACT.
Sera za ushoga mwambie zisije na Airforce Two.
Mtu mgeni anaweza kudhani kuwa huyo mama atakuja na kontena la mashoga, kumbe tunayo humu humu nchini miaka na miaka hatuwachuliii hatua wanatamba mitaani na mitandaoni huku tukiwalalamikia wazungu , bora hata Museveni yeye hana mzaha kwenye hilo jambo
 
Huo mtazamo wako me siwezi kukupinga..ila kama unataka kufirwa njoo,nikujuze kwanini mungu aliweka matundu mawili....
Nakulambalamba huo mkuondu mpaka hizo pumbu zinarudi ndani...
Nakuahidi utajisikia raha ya ajabu
Soma mada uiekewe, usilete mihemuko yako ya kishoga.
 
Back
Top Bottom