Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

Umekariri kila mtu atalima ili aishi, huyo Tim cook analima?.
Halafu for the sake of the best both worlds penda sana kupambana vita utakayoshinda , mashoga wapo wengi sana ni vile tu hatutaki ku admit tatizo
Tatizo Si idadi ya mashoga, JAMII na familia vinapambana kutatua tatizo Hilo.

Tusichokitaka ni kutambua na Kuhalalisha NDOA za JINSIA moja kisheria na kiserikali.

Huo ndo USHETANI tunaoulaani, na kiongozi yeyote akisuport atapingwa na Kila mtanzania mwenye HOFU ya Mungu.
 
Tatizo letu ni kutaka kuamini matatizo yanayotukabili yatamalizwa na mtu mwingine , sishangai maana ujamaa ndo umetuleta hapa
Ushoga katika hatua ya awali kabisa unatakiwa upingwe kwenye ngazi ya familia , hatupambani huko bali tunataka viomgozi wapambane kwa niaba yetu.
Zanzibar mashoga kibao watu wapo kimya .
 
Ndo ajenda yake kuu,
Kenya, Uganda washazitembelea.
Wana wqshwa Sana wapo moto Sana hao jamaa
 
Kila mwanaume aliechanjwa chanjo ya corona baada ya miezi kumi na mbili atakua anawashwawashwa hivo atahitaji kukunwa, kwa hiyo hapo ndio watalii watamiminika maradufu, sababu tayari wana partners wao,
 
Miafrika inatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi haifanyi.

Nguvu inayotumika kupinga ushoga, swala ambalo ni almost negligible, ni sawa na kuua nzi kwa nyundo. Kuna mambo mengi yanagusa jamii nzima kwa ujumla watu mmetulia tu ila ushoga kila mtu anatokwa povu. Nonsense.

Ushoga ni worse zaidi kuliko hata hayo mengine thus unapigwa vita
 
Kila mwanaume aliechanjwa chanjo ya corona baada ya miezi kumi na mbili atakua anawashwawashwa hivo atahitaji kukunwa, kwa hiyo hapo ndio watalii watamiminika maradufu, sababu tayari wana partners wao,
Ile chanjo nilisema sichanji ilikuwa na ajenda za kishetan nyuma yake.
Nashukuru Mungu kutochanja
 
Tatizo letu ni kutaka kuamini matatizo yanayotukabili yatamalizwa na mtu mwingine , sishangai maana ujamaa ndo umetuleta hapa
Ushoga katika hatua ya awali kabisa unatakiwa upingwe kwenye ngazi ya familia , hatupambani huko bali tu ataka viomgozi wapambane kwa niaba yetu.
Zanzibar mashoga kibao wstunwapo kimya .
Wewe umepambana kiasi Gani kwenye familia na ukoo wako?

Tunataka ktk level ya kiserikali wapinge na kutunga SHERIA Kali juu ya wahusika wa vitendo hivyo.
 
Tatizo Si idadi ya mashoga, JAMII na familia vinapambana kutatua tatizo Hilo.

Tusichokitaka ni kutambua na Kuhalalisha NDOA za JINSIA moja kisheria na kiserikali.

Huo ndo USHETANI tunaoulaani, na kiongozi yeyote akisuport atapingwa na Kila mtanzania mwenye HOFU ya Mungu.
With due respect MTUMISHI,

Mimi nafikiri wengi wameshindwa kupata suluhu ya ushoga kwa sababu ya MIHEMKO au kutokuwa na ufahamu wa ushoga.

Huwezi kupambana na kitu usichokielewa huku umejaa MIHEMKOO.

Lazima watu watambue undani wa "tatizo" kabla ya kuwarukia na kuwaparua mashoga.
 
Wazungu walifanya kila mbinu kuhakikisha dunia inapokea tamaduni zao na walitumia gharama kubwa, yaani walitoka kwenye ofisi za uongozi kwa kuwakabidhi ofisi kwa makaratasi na kuwaruhusu mpandishe bendera zenu lakini walihakikisha wanarudi kwanza kama watoa misaada, wawekezaji, wahubiri, wanamichezo, watalii, lakini pia walihakikisha wanacontrol code ya rasilimali zote za africa kwa mfano leo hii wao waseme hawanunui dhahabu na haina tena thamani unahisi dhahabu yako utampelekea nani?
 
Wewe umepambana kiasi Gani kwenye familia na ukoo wako?

Tunataka ktk level ya kiserikali wapinge na kutunga SHERIA Kali juu ya wahusika wa vitendo hivyo.
Napambana nitakavyo weza na likishindwa nimeshindwa ,siwezi kuwa mjinga kutegemea mtu anaisaidie tatizo.ambalo linaanzia kwangu.
Ushoga upo na utaendelea kuwepo , penda kupambana vita utakayoishinda.
 
With due respect MTUMISHI,

Mimi nafikiri wengi wameshindwa kupata suluhu ya ushoga kwa sababu ya MIHEMKO au kutokuwa na ufahamu wa ushoga.

Huwezi kupambana na kitu usichokielewa huku umejaa MIHEMKOO.

Lazima watu watambue undani wa "tatizo" kabla ya kuwarukia na kuwaparua mashoga.
Undani wa tatizo ndo Serikali hiyo hiyo kushindwa kusimamia maadili, Tamaduni na HOFU ya Mungu Kwa raia wake.

Wananchi wanaiamsha Serikali ichukue hatua stahiki.

Sheria zetu hatutaki zitambue HAKI za kishetani.
 
Kwahiyo in a serious note inahitaji akili kudeal na hawa jamaa maana akili zao ziko mbele zaidi ya mtu mweusi, huwezi ukasema tunapinga ushoga wakati kuna mitandao hadi ya kuchukua wamasai wanaume kuwapeleka zanzibar na mombasa kwa kisingizio cha kazi za ulinzi ilihali nyuma ya pazia wanakwenda kufirwa, lazima tutumie akili
 
Undani wa tatizo ndo Serikali hiyo hiyo kushindwa kusimamia maadili, Tamaduni na HOFU ya Mungu Kwa raia wake..
Labda utakuwa haujazisoma vizuri sheria ya nchi.

Serikali ilishatunga sheria ya kuzuia UFIRAJI chini ya kifungu namba 154 cha sheria ya Kanuni za Adhabu sura ya 16.

Japo sheria hiyo ni mbaya na ya kibaguzi kutokana na kwamba haijazungumza kuhusu USAGAJI, lakini nimeona serikali imetumia busara kwa muda mrefu kutokamata mashoga na kuwatia hatiani.

Tangu sheria hiyo iwepo, hakuna shoga yoyote aliyeshitakiwa au kufungwa.

Halafu unataka serikali itunge tena sheria nyingine?? WHY?

Ni wazi serikali imeona hakuna MANTIKI YOYOTE ya kuzuia watu KUPAKUANA VINYESI.
 
Watanzania Jaman mjifunze kufikiri na bila kukurupuka tu; uyo Kamala anakuja kisiasa Ndio na anaweza kusema tu Km Obama Kenya kuhusu haki za mashoga bla bla bla lakini sheria za TZ zipo tayari and it's against the law ingawa hao mashoga wapo na wanafanya yao mpende au msipende. Pili sio Democrats tu ndo wanatetea haki za mashoga unajua kuna tofauti ya kutetea haki ya mtu na ku support au kupenda anachofanya. Wenzetu Ughaibuni wanatambua umuhimu wa kuiweka serikali mahali pake na kuheshimu faragha zako either upende usipende so ivyo basi sio kila mtu akisema fulani ana haki ya hii it means anataka wote mfanye Km Muislamu akikubali Mkristo ana haki ya kula nguruwe basi na yeye ale; hii topic inatufanya so paranoid mpk inachosha. Either way Wewe jiulize una nguvu gan kuzuia Kamala asiseme nn au nn zaidi ya Samia mw? We subiri tuone tu
 
Back
Top Bottom