Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

Bila NGO hapatakuwa na ushoga?
Serikali IPO kutokana na ridhaa ya wananchi.

Ikipitisha SHERIA kubariki na kutambua USHOGA na NDOA za JINSIA moja itakosa uhalali wa kuongoza wananchi.

Wambie wajaribu waone.
 
Nitajie Moja

Screenshot_20230316-091746.png
 
Sasa hapo kahalalisha ndoa za jinsia Moja? Alichosema wasibaguliwe kma tu ambavyo wauaji, wabakaji, wanaogeuza wake zao, walevi n.k hawabaguliwi licha ya maovu Yao.

Hivi unaelewa maana ya maneno; "Homosexuality is not a crime", isitoshe unajua CAPACITY ya pope kwa kanisa katoliki duniani??

Tuanzie hapo kwanza.
 
Serikali IPO kutokana na ridhaa ya wananchi.

Ikipitisha SHERIA kubariki na kutambua USHOGA na NDOA za JINSIA moja itakosa uhalali wa kuongoza wananchi.

Wambie wajaribu waone.
Mtafanya nini? Mngekuwa kweli mnauchukia ushoga hapo sawa ila mnachofanya nyinyi ni kuwabagua tu basi hao mashoga.
 
Sio kweli hakuna "askofu mkuu".... Anglican sio unified church kwamba sauti ya mwisho ipo Canterbury huyo ni ceremonial leader tu.

Unahitaji ujifunze zaidi kuliko kubisha mambo usiyoyajua, angalia ili ujue Capacity ya Archbishop of Canterbury👇🏻

Screenshot_20230316-093317.png
 
Kwani huyo mama anajihusisha na hayo majambo au una wasiwasi kama anakuja kufanya?
 
Mtafanya nini? Mngekuwa kweli mnauchukia ushoga hapo sawa ila mnachofanya nyinyi ni kuwabagua tu basi hao mashoga.
Narudia tena,

Serikali ikihalalisha NGOs za mashoga na kupitisha SHERIA za Kuhalalisha NDOA za JINSIA moja,

Itakosa uhalali na KIBALI kuongoza wananchi.

ANGALIZO; Mamlaka yeyote Duniani iwe OVU au nzuri, hupata KIBALI Kutoka Kwa Mungu.

Kuruhusu USHOGA na NDOA za JINSIA moja kisheria ni kuvuka mipaka, US Kwa mfano, soon itaanguka kirahisi tu Kwa maandamano, sababu kuu ni kuvuka mstari.
 
Hapa sio siasa wala udini bali ni TUNU za taifa letu. Ushoga hapana. Na viongozi wajue, dunia inatuangalia.

Waombaji tumwambie Mungu adhibiti ziara hii
 
Narudia tena,

Serikali ikihalalisha NGOs za mashoga na kupitisha SHERIA za Kuhalalisha NDOA za JINSIA moja,

Itakosa uhalali na KIBALI kuongoza wananchi.

ANGALIZO; Mamlaka yeyote Duniani iwe OVU au nzuri, hupata KIBALI Kutoka Kwa Mungu.

Kuruhusu USHOGA na NDOA za JINSIA moja kisheria ni kuvuka mipaka, US Kwa mfano, soon itaanguka kirahisi tu Kwa maandamano, sababu kuu ni kuvuka mstari.
Yani mashoga wawepo kwenye jamii na wengine ni watu maarufu kabisa kwenye hiyo jamii,wengine mnawakodisha kwenye masherehe yenu na wengine video zao zimevuja mnatumiana kabisa kwa furaha mnaita connection na kutaniana kwa kufananishana nao mashoga. Sasa jamii ya hivyo ndio et inapinga kuhalalishwa ushoga.
 
Serikali ijiweke mbali na mtego huo,

Ikatae pia mikopo yenye Masharti ya aina hiyo,

Huo USHETANI mnaofanya ktk sherehe zenu binafsi Si kawaida Kwa umma wa Watanzania.

Tanzania ni Nchi ya AGANO, umependwa sana na Mungu.

Amen
 
Visa vya kwenye vitabu vya imani zetu vinaelezea jamii zilivyoadhibiwa kutokana na uwepo wa maasi kwenye hizo jamii, hata hili la ushoga inafahamika kisa chake nini Mungu alifanya kama adhabu pale uovu huo ulipo kithiri kwenye jamii. Sasa hapa nchini mashoga wapo na ushoga upo wa kutosha tu ila wewe unaona hilo Mungu analifurahia, ila kama nchi kukubali kuhalalisha ushoga ambao upo kwenye jamii na jamii yenye haina inachofanya unaona ndio kosa kwa Mungu!

Ni mawazo ya ajabu sana, huo ushoga ukihalalisha haina maana utaletewa mashoga kutoka nje ya nchi, hapana, mashoga wapo humu humu na ushoga upo.
 
JAMII na viongozi mbalimbali tunapambana kuvikemea na kutokomeza vitendo hivyo,

Pasipo jitihada hizi, Hali ingekuwa even worse.

Nashauri Acha USHOGA na acha kutetea USHETANI.

Serikali yetu ni sikivu,

Itakataa kuruhusu SHERIA zake kuhusishwa na USHETANI.
 
Naomba nielimishwe. Hivi NGO za kishoga zikoje? Na ni NGO zipi ambazo ziko kwa ajili ya masuala ya mashoga peke yake?

Amandla...
 
Suala binafsi, kwanza wasizungumzie, pili wasituchagulie marafiki, mwisho atambue sisi ni watu wazima licha na taifa huru!
 
Back
Top Bottom