zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hivi tunacho debate ni Nini hasa? Kwahiyo sababu tu hatua hazijachukuliwa basi habari tuiamini?Hivi hakuna sheria hapa Tz ya kudhibiti vyombo vya habari kutoa habari za uongo??, je hakuna magazeti yaliyowahi kuchukuliwa hatua kwasababu ya kuandika habari za uongo au kuchafua nk??
Sio kazi yangu kukufundisha uongozi wa Church of England ila niko hapa kuweka rekodi sawa kwenye misinformation zako. Kwa kuhitimisha Anglican ni autonomous so Kila kanisa linajitegemea kimaamuzi so hakuna kiongozi mwenye kufanya maamuzi kwa niaba ya kanisa lote ulimwenguni.Ni shughuli zipi hizo zinazoratibiwa na huyo ceremonial leader??.
Wewe utazunguka weeee lakini swali lipo palepale na hujalijibu.
Wewe ni shoga?US ianguke Kwa maandamano? Are you serious? By the way hiyo Israel inalinda haki za Ushoga una maoni Gani? Je Mungu ataiangamiza?
Nani kaupigia chapuo? Mie nimeweka rekodi sawa tu kuwa dhambi zote ni sawa so hata usipofanya ushoga kama ni mzinzi au mlevi mna dhambi Sawa sawa tu na kibali kitaondoka kwenye taifa.
Jibu swali Hilo taifa teule la Israel Lima support ushoga kuliko USA je lini litaangushwa?? Jibu hili swali usikimbie kimbie.Wewe ni shoga?
Hao Wana AHADI na Mungu, wanafuata TORATI ya Musa, walimkataa Yesu, wataokolewa Kwa MOTO.Jibu swali Hilo taifa teule la Israel Lima support ushoga kuliko USA je lini litaangushwa?? Jibu hili swali usikimbie kimbie.
View attachment 2551469
Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania
Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania.
Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania.
Hapa nchini watakuwa wameisha fika marais watatu kwa kumbukumbu zangu, Rais Bush, Rais Obama na sasa Makamu Kamara Harris.
Ila kwa vuguvugu la huu ushetani unaoongozwa na serikali ya Marekani, hasa chama cha Democrats, kutetea ushoga, mimi binafsi natofautiana na Wamarekani.
Kwa sisi waafrika ushoga ni mwiko, haramu, chafu.
Naomba Mama Samia mkaribishe mama Kamara Harris ambaye tabasamu lake ni la kukata na shoka, nalipenda sana.
Lakini ushoga mwambie si sera ya CCM, wala CHADEMA, wala ACT.
Sera za ushoga mwambie zisije na Airforce Two.
Umenena vema.Hao Wana AHADI na Mungu, wanafuata TORATI ya Musa, walimkataa Yesu, wataokolewa Kwa MOTO.
Taifa la Israel ni Wana wa Uasi, wanamsubiri masihi wao Masih jadal, Mpinga kristo. Walimkataa Yesu ndomana Hapajatulia Hadi Leo. Ndomana unashuhudia unayosema.
Tanzania ndilo Taifa la AGANO. Mungu amelichagua Taifa hili Ili kuwapokea Wana wa Mungu ktk siku hizi za mwisho Dunia yote, wamwaminio YESU.
Tanzania Ina makabila zaidi ya 130 bt tunaishi Kwa Amani, Amani na Utulivu ulioko Tanzania Si wa Bahati mbaya.
Utasikia Kila aina ya mitikisiko, vita na machafuko bt Tanzania itaendelea kutulia. Nchi hii ndo imeibeba Dunia nzima ktk Ulimwengu wa Roho.
Hutosikia USHETANI huo ukisimama kisheria ktk Nchi hii.
Soon atainuka mtawala hapa Tanzania atakayesimamia Mapenzi ya Mungu duniani.
Kuyaelewa nisemayo, akili ya kipepo ikutoke kwanza.
Ushoga umejificha kwenye neno Demokrasia [(Demo-demos =Watu) + (Krasia-Kratos =Utawala)]=Serikali ya Watu na asili yake ni Ugiriki tangu karne ya 5 kabla ya kristo (BC)Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania
Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania.
Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania.
Hapa nchini watakuwa wameisha fika marais watatu kwa kumbukumbu zangu, Rais Bush, Rais Obama na sasa Makamu Kamara Harris.
Ila kwa vuguvugu la huu ushetani unaoongozwa na serikali ya Marekani, hasa chama cha Democrats, kutetea ushoga, mimi binafsi natofautiana na Wamarekani.
Kwa sisi waafrika ushoga ni mwiko, haramu, chafu.
Naomba Mama Samia mkaribishe mama Kamara Harris ambaye tabasamu lake ni la kukata na shoka, nalipenda sana.
Lakini ushoga mwambie si sera ya CCM, wala CHADEMA, wala ACT.
Sera za ushoga mwambie zisije na Airforce Two.
Hawa Jamaa wamehamia bandari sasa...Sio kazi yangu kukufundisha uongozi wa Church of England ila niko hapa kuweka rekodi sawa kwenye misinformation zako. Kwa kuhitimisha Anglican ni autonomous so Kila kanisa linajitegemea kimaamuzi so hakuna kiongozi mwenye kufanya maamuzi kwa niaba ya kanisa lote ulimwenguni.
I rest my case