Walete ushoga hapa kwani haupo mpaka sasa??Kama vile ulikuwa mawazoni mwangu yaani huyo mama na masuala hayo ya ushoga kwenye kampeni zake alikuwa akiongea waziwazi chondechonde rais wetu utamaduni wetu unajulikana msije mkaleta hiyo kitu nchini kwetu.
Wakati wamejaaa kibao tuWalete ushoga hapa kwani haupo mpaka sasa??
Ni halali au haramu? Kwa sheria gani ushoga unatambulika nchini, bangi ipo nchini lakini je inaruhusiwa?Walete ushoga hapa kwani haupo mpaka sasa??
Hakika kabisa!!!Miafrika inatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi haifanyi.
Nguvu inayotumika kupinga ushoga, swala ambalo ni almost negligible, ni sawa na kuua nzi kwa nyundo. Kuna mambo mengi yanagusa jamii nzima kwa ujumla watu mmetulia tu ila ushoga kila mtu anatokwa povu. Nonsense.
Hakika kabisa!!!
Wakati tunapambana na ushoga ,tunasahauvkabisa vita ya umasikini na ujinga ,
Watu wanaumiza vichwa na kuvumbua na kutatua changamoto , ,ipo siku tutakunywa dawa ya maleria , mvumbuzi ni shoga huko USA.
Ha ha ha !Kwa tabasamu hilo akikuambia ushoga "yes" utakataa??😀😀
Lete ushahidi ulioenda shule!Una hakika?!
Duh ni mkuu Gagnija nayemfahamu? Au account imevamiwa? This is so low of you. Sikujua kama Platinum Member anaweza sambaza misinformation.Una hakika?!
Tatizo lenu mmezidi kuomba omba, hivi maskini anaweza mpangia bosi wake. COVID 19 tu mlishindwa kutengeneza chanjo zenu mpaka mpewe misaada ndio sembuse muwapinge? Wakisusa mtatoa wapi Hela 🤣🤣🤣🤣.Kama vile ulikuwa mawazoni mwangu yaani huyo mama na masuala hayo ya ushoga kwenye kampeni zake alikuwa akiongea waziwazi chondechonde rais wetu utamaduni wetu unajulikana msije mkaleta hiyo kitu nchini kwetu.
Acha kuchanganya dini na tamaduni. Kuna kanisa gani Afrika limeruhusu ushoga? Au umesikia wakristo wote ni wazungu? Huko america kusini au Asia Kuna wakatoliki wengi tu umesikia wamekubali hizo mambo?Ajabu siku hizi imekuwa ngumu kitenganisha kati ya makanisa na Ushoga
Hatuna hata kurevenge, ni kuwaeleza, tena usoni, kuwa waafrika tuna thamani yetu kibinadamu.
Mkuu, taarifa sahihi ni ipi? Hii mitandao inatuchanganya.Duh ni mkuu Gagnija nayemfahamu? Au account imevamiwa? This is so low of you. Sikujua kama Platinum Member anaweza sambaza misinformation.
Acha kuchanganya dini na tamaduni. Kuna kanisa gani Afrika limeruhusu ushoga? Au umesikia wakristo wote ni wazungu? Huko america kusini au Asia Kuna wakatoliki wengi tu umesikia wamekubali hizo mambo?
Kama culture ni ya wazungu basi ukielezea jikite Kwa wazungu sio kujumuisha dini. In fact ukristo haukuanzia Kwa wazungu ulitokea mashariki ya kati na kuenea kwingineko.
Mtu mgeni anaweza kudhani kuwa huyo mama atakuja na kontena la mashoga, kumbe tunayo humu humu nchini miaka na miaka hatuwachuliii hatua wanatamba mitaani na mitandaoni huku tukiwalalamikia wazungu , bora hata Museveni yeye hana mzaha kwenye hilo jamboView attachment 2551469
Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania
Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania.
Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania.
Hapa nchini watakuwa wameisha fika marais watatu kwa kumbukumbu zangu, Rais Bush, Rais Obama na sasa Makamu Kamara Harris.
Ila kwa vuguvugu la huu ushetani unaoongozwa na serikali ya Marekani, hasa chama cha Democrats, kutetea ushoga, mimi binafsi natofautiana na Wamarekani.
Kwa sisi waafrika ushoga ni mwiko, haramu, chafu.
Naomba Mama Samia mkaribishe mama Kamara Harris ambaye tabasamu lake ni la kukata na shoka, nalipenda sana.
Lakini ushoga mwambie si sera ya CCM, wala CHADEMA, wala ACT.
Sera za ushoga mwambie zisije na Airforce Two.
Na shida ushoga ni kuwa unaweza kuta anayetakiwa kukamata shoga naye ni shoga.Tunywe mara ngapi mkuu mbona tayari.
Waache kutumia iphone kwanza ambazo CEO wake is openly gay.
Soma mada uiekewe, usilete mihemuko yako ya kishoga.Huo mtazamo wako me siwezi kukupinga..ila kama unataka kufirwa njoo,nikujuze kwanini mungu aliweka matundu mawili....
Nakulambalamba huo mkuondu mpaka hizo pumbu zinarudi ndani...
Nakuahidi utajisikia raha ya ajabu