Rais Samia nawe fanya mahojiano na waandishi wa habari kama anavyofanya Rais Mwinyi

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi

Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k

Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.
 
Wako karibu watakuja kukujibu. Ni hoja nzuri

FB_IMG_1643388699582.jpg
 
Msigwa anatimiza majukumu yake kikamilifu.

Mwacheni mama atuvushe kiuchumi kwanza.
 
Unajua ni jinsi gani wanafunzi huogopa 'suprise quizes'? hasa wale wazee wa kukariri aka 'wakukremisha', inakuwa ngumu kukremu kwa mshtuko.

Hao waandishi wa habari mmoja mmoja wanakuwa na maswahili mithili ya mitihani ya NECTA (mtahiniwa) anaehojiwa anavujishiwa paper kabla hivyo kuingia chumba cha mtihani akiwa na majibu full.

Sasa mnataka kuwe na jopo la waandishi wa habari na maswali yao wenyewe, hapo jibu pekee mtakalosikia ni kuwa nitalifikisha kwa wasaidizi wangu.

Na kuna baadhi ya maswali yataulizwa ndio yatakuwa kama taarifa kwa muhusika kutokujua kuwa kuna jambo kama hilo duniani. Unless maswali kama yatakuwa kuhusu movie ya Serengeti na maisha ya Uchifu.
 
Nasikia kabla ya mwaka huu haujapinduka ataibukia HARDtalk pale BBC.
 
Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi

Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k

Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.
Kwani Rais wa kike na Rais wa kiume ni sawa? Acha kila mmoja afanye kazi vile anaona inafaa.
 
Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi

Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k

Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.
Huyu yupo busy na wajukuu zake wanapiga picha kwenye daraja
 
Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi

Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k

Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.

Mama Tozo yuko na wajukuu zake usitake ateleze
IMG_0620.jpg
 
Na ndio maana bara term hii ndo wanalalamika muungano umewabana visiwana laenda fungu kubwa
 
Halafu Msemaji mkuu wa serikali atafanya kazi gani?
kuna tofauti kubwa kati ya msemaji mkuu na rais, msemaji hawezi kujibu kila kitu, atajibu tu lakini vingine ni majibu ya blah blah tu, Rais ndio muamuzi wa mwisho na hata akiulizwa na kusema kitu kitatendeka
Zanzibar msemaji wa serikali yupo, Kenya yupo, Marekani yupo, ila rais unamuona anafanya press na anajibu maswali ya waandishi
 
Back
Top Bottom