Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Bi Mchele hana huo uwezo!! Usituchumie janga!Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi
Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k
Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.