chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Kwani hukuona alivyofanya na wahaririSamia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi...
mara moja tu, Mwinyi anafanya kila mweziKwani hukuona alivyofanya na wahariri
Kwani Rais wa kike na Rais wa kiume ni sawa? Acha kila mmoja afanye kazi vile anaona inafaa.Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi
Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k
Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.
Huyu yupo busy na wajukuu zake wanapiga picha kwenye darajaRais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi
Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k
Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.
Ataongea nini huyu,kule Akipeleka kichwa chake, wanampiga spana za kesi ya MboweNasikia kabla ya mwaka huu haujapinduka ataibukia HARDtalk pale BBC.
Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi
Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais aulizwe, uwekezaji, kuhusu utendaji serikalini, vitu kupanda bei, kerto za maji na umeme kukatika, uhalifu n.k
Rais Samia angeitisha mkutano kama huo, sio hii ya mwandishi mmoja mmoja.
yaani hata kuongea na waandishi kisingizio kiwe tumuache atuvushe kiuchumi?Msigwa anatimiza majukumu yake kikamilifu.
Mwacheni mama atuvushe kiuchumi kwanza.
kivip mkuusio kwa kichwa kile
Halafu Msemaji mkuu wa serikali atafanya kazi gani?yaani hata kuongea na waandishi kisingizio kiwe tumuache atuvushe kiuchumi?
kuna tofauti kubwa kati ya msemaji mkuu na rais, msemaji hawezi kujibu kila kitu, atajibu tu lakini vingine ni majibu ya blah blah tu, Rais ndio muamuzi wa mwisho na hata akiulizwa na kusema kitu kitatendekaHalafu Msemaji mkuu wa serikali atafanya kazi gani?