BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Na Bwanku M Bwanku.
Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na biashara ya Dubai Expo 2020 huko Dubai.
Kesho Februari 26, 2022 ni Siku ya Tanzania (Tanzania Day) kwenye maonyesho hayo ambapo nchi zote 192 zilizopo hapo pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji wakubwa watakuwa Wageni wa Tanzania na kuelezwa kila fursa iliyopo Tanzania kwa uwekezaji na biashara.
Rais Samia hiyo kesho Jumamosi ndiye atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maonyesho hayo makubwa kabisa na ataeleza kwa undani fursa zilizopo nchini na kuitangazia Dunia kuja nchini kuwekeza.
Pata NAKALA ya Gazeti sasa uone namna maonyesho hayo yalivyo makubwa Duniani kote yakikusanya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka kila pembe ya Dunia na uone ushiriki wa Rais Samia kutangaza fursa zilizopo nchini utakavyoshusha Uwekezaji mkubwa nchini.
bwanku55@gmail.com