Rais Samia ndani ya Dubai EXPO 2020 kutangaza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania

Bahati mbaya hautaki kujishugulisha na historia so, unataka kuona all tz citizens wanapiga makofi, kitu ambacho ni impossible.
Hivi hadi jambo jema kama hili ni la kupinga/kuponda?
Watanzania ni wajinga na wabinafsi sana huku wakijificha kwenye koti la Uzalendo.. Hakuna cha uzalendo ila ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga na wabinafsi..
Hao wanaopinga ni kwa sababu zao binafsi ila kwa hili analolifanya mama juu ya maonyesho ya DubaiExpo 2020 anahitaji pongezi na kupewa moyo. Ni mtu mjinga tu hatoona faida ya anachofanya mama.
Hongera mama, endelea kufungua nchi.
 
✓Fursa ya kuvutia uwekezaji nchini kwa sababu yananakutanisha wafanyabiashara, watoa huduma na wawekezaji kutoka mataifa mengi kwa wakati mmoja

✓Fursa ya kutangaza na kuonesha mazao, bidhaa, utamaduni, sanaa na huduma zinazozalishwa na kutolewa nchini hivyo kufungua na kupata masoko mapya kwani yanakutanisha nchi nyingi na makampuni mengi ya kibiashara kwa wakati mmoja

✓Fursa ya kukuza chapa ya Nchi yetu (Brand) kwa sababu yanakutanisha nchi nyingi na yanafuatiliwa na watu wengi duniani

#CCMImara
#TunaifunguaNchiKimataifa
#TunaifunguaNchiKiuchumi
#KaziIendeleeView attachment 2130955
CCM hii iliyotawala miaka 60 na bado inahubiri umaskini,kweli ccm mmejaa wajinga,vilaza,majambazi tu hakuna jipya
 
Huyu Rais Samia anajua kuendesha nchi, Tanzania sio kisiwa ni lazima iende na Dunia ili maendeleo makubwa zaidi yaje nchini. Huo utajiri tunaojisifu nao kama hatujautangaza na kuleta Wafanyabiashara wa kufanya nao kazi itakuwa bure. Heko Rais Samia kwa kuendelea kuifungua nchi zaidi. Kwa mwendo huu wa Mama, soon hii nchi itakuwa mbali sana sana.

Acheni utapeli wa kijinga, mama kaenda kufanya shopping Dubai, saa hii mnatulisha propaganda za kijinga. Amekuwa mgeni rasmi maana hakuna rais serious kuhudhuria hayo maonyesho.
 
Wenye akili na maono wanatajirika, wale wenye nongwa na wasioweza kuona mbali wanabakia maskini tu.

Wanaotajirika ni viongozi na familia zao kwa kugawana pesa za mikopo na sio kwa kuhudhuria exhibition huko Dubai.
 
Na Bwanku M Bwanku.

Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na biashara ya Dubai Expo 2020 huko Dubai.

Kesho Februari 26, 2022 ni Siku ya Tanzania (Tanzania Day) kwenye maonyesho hayo ambapo nchi zote 192 zilizopo hapo pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji wakubwa watakuwa Wageni wa Tanzania na kuelezwa kila fursa iliyopo Tanzania kwa uwekezaji na biashara.

Rais Samia hiyo kesho Jumamosi ndiye atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maonyesho hayo makubwa kabisa na ataeleza kwa undani fursa zilizopo nchini na kuitangazia Dunia kuja nchini kuwekeza.

Pata NAKALA ya Gazeti sasa uone namna maonyesho hayo yalivyo makubwa Duniani kote yakikusanya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka kila pembe ya Dunia na uone ushiriki wa Rais Samia kutangaza fursa zilizopo nchini utakavyoshusha Uwekezaji mkubwa nchini.

bwanku55@gmail.com

View attachment 2130578

View attachment 2130579

View attachment 2130580

8724C459-0F38-4D62-8B9A-698D7AC9B523.jpeg
 
Upuuzi mtupu, hawa watu walioingia madarakani kihuni wanaendesha nchi kiubabaishaji
 
Rais anaenda kwenye maonesho Waziri wa biashara ana kazi Gani!!

Anatakiwa akae nyumbani atafakari jinsi ya kutatua kero za nchi zisizohitaji kuombewa fedha kutoka kwa waarabu!! Wananchi wanakufa kwa ugumu wa maisha na kuuana hovyo mama mwenye Nyumba unakwenda kuzurula Kweli!! Hiyo kazi ya utalii si ingefanywa na mawaziri husika?
 
Hivi hadi jambo jema kama hili ni la kupinga/kuponda?
Watanzania ni wajinga na wabinafsi sana huku wakijificha kwenye koti la Uzalendo.. Hakuna cha uzalendo ila ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga na wabinafsi..
Hao wanaopinga ni kwa sababu zao binafsi ila kwa hili analolifanya mama juu ya maonyesho ya DubaiExpo 2020 anahitaji pongezi na kupewa moyo. Ni mtu mjinga tu hatoona faida ya anachofanya mama.
Hongera mama, endelea kufungua nchi.
..
.
Hivi ile filam aliyerekodi inazinduliwa lini? Maana tuliambiwa itaitangaza Nchi ikizinduliwa 🤣🤣🤣 Kweli Watanganyika tumepatikana, Mpaka Rais anakwemda kwenye maonyesho!yetu macho
 
mawaziri kwasasa ni kama madiwani tu safari zote anaenda yeye
 
Wanaotajirika ni viongozi na familia zao kwa kugawana pesa za mikopo na sio kwa kuhudhuria exhibition huko Dubai.
Tindo na malalamiko ni kama uji na mgonjwa. Exhibition ina faida kwa wenye viwanda, kwa wawekezaji.

SSH yupo tofauti na JPM, ana taste nzuri ya biashara na ana lugha nzuri, hivi vitu viwili vitainua uchumi wa Tanzania kama sio leo basi kesho.
 
Wapuuzi nyie enzi ya dikteta mlikuwa mnashangilia kuwa anabana matumizi hasafiri

Unapokuwa na mabalozi wenye weledi huna haja ya kwenda kwenye shuhuri kama hizi unless wewe ndio GUEST OF HONOUR!! Unapoteua mabalozi kwa upendeleo bila kufuata weledi matokeo yake ndio hayo inabidi viongozi wafanye kazi za kibalozi hivyo kuwa mzigo kwa nchi!! Msiteue watu kufuatana na undugu wenu mtaiua nchi ; you better be MERITOCRATIC in order to develop your country.
 
Tindo na malalamiko ni kama uji na mgonjwa. Exhibition ina faida kwa wenye viwanda, kwa wawekezaji.

SSH yupo tofauti na JPM, ana taste nzuri ya biashara na ana lugha nzuri, hivi vitu viwili vitainua uchumi wa Tanzania kama sio leo basi kesho.
Acha ujinga mwekezaji yupi atakuja kuweza kiwanda chake kwenye Nchi ambayo aina umeme wa uhakika pamoja na mali gafi ya kutosha? Nyinyi mnafikiri wawekezaji wajinga kama nyinyi,Samia angelijikita Kwanza kuamashisha uzalishaji,kilimo,na umeme wa uhakika,hao wawekezaji anaowafuatafuta wangelikuja wenyewe, Maana kuna wawekezaji ambao hawaitaji rongorongo, sanasana hao anaowafuatafuta atakutana na matapeli, Kama aliokuwa anaturetea jk.
 
Unajuaje kuwa hakuna linalofanyika hivi sasa huko kwenye sekta ya umeme?. Hakuna mwekezaji anayekuja mwenyewe, biashara ni matangazo.
 
Naona Wewe haujawahi fanya biashara, Mfanyabisha halisi asubiri kutangaziwa furusa, Mfanyabisha au mwekezaji anatarifa zote za bidhaa anazoitaji kuwekeza hata kabla ya kutangaziwa,hivi unaweza kuniambi Kuna mfanyabishara au Mwekezaji yeyeto ambaye ajui tanzanian kuna madini au aridhi kwa ajili ya kuwekeza kilimo, Mpaka Samia haende kuwatafuta?Sema Samia kaenda kusaini mkataba wa kuuza aridhi ya Loliondo .
 
Imani potofu zile zile za kuona unaibiwa. JPM aliwapata wa aina yako, wanaodhani siku zote mwafrika anaibiwa. Yeye hachangii uchumi wa dunia ila likija suala la kuibiwa ni wa kwanza!.

Wawekezaji wanatafutwa mpaka na kina Trump na Biden sembuse Samia. Masoko huenda yakibadilika, matakwa ya biashara huenda yakibadilika, dunia haibaki kuwa ni ile ile ya miaka kumi au ishirini nyuma.
 
Back
Top Bottom