Hana akili kivipi? angalia Mwekezaji wa nje Mambo anayofanyiwa akija kuwekeza, kwanza anapewa miaka 5 yakuangalia biashara yake,halipi chochote hiyo Miaka ikiisha biashara haijachanganua anaongezewa 5tena, sasa nenda kwa mzawa biashara haujaanza TRA tiyari wameisha kukukadilia,uwezi anza biashara pasipo malipo ya hiyo biashara,mzawa ana mda wa uangalizi, alafu eti ushindane na mgeni, Watanzania Sio wavivu Kama unavyosema, mbona akina Mo,Backressa na wengi wanafanya vizuri tu hata kimataifa?nenda kwenye madini makampuni ya wazawa na wazawa wameingiza pato kubwa selikalini kuliko hayo makampuni ya wazungu mnaowakimbilia,Nchi inajengwa na wazawa tu mwekezaji ni mfanyabishara tu,anakuja kuchuma,hayo Mambo ya kufirisi miladi ni usimamizi na uongozi mbaya,watu wanapeana vyeo kwa kijuana, mfno angalia Tanesco tumekaa Miaka 5 matatizo ya umeme tulikuwa tumeisha sahau na makusanyo yakiwa yameongezeka.Kaingia utawala mwingine kafukuza menejiment yote kuanzia Waziri hadi wakurugenzi wa bodi, Watu waliokuwa wakifanya vizuri miaka 5 kaweka wapya angalia ambao hawana hata utahalamu wa Mambo ya umeme,wamewekwa wataalamu wa biashara eti wandeshe shirika kama tanesco inayoitaji kuendeshwa kitaaramu,
Moi hipi Mpaka Kikwete anaondoka madarakani Muhimbili wagonjwa walikuwa wanakosa hadi vitanda,wajawazito ndio usiseme,rushwa ilikuwa imekidhiri Mama alikuwa hawezi jifungua mpaka atoe rushwa kwa nesi au Dakota,Samia atapata wawekezaji Kama aliopata Kikwete akina AgreeCo na IPIL makampuni ya kinyonyaji tu, Sasahivi naona ameisha anza biashara ya kuuza mbuga.Subiri muone, Watu mgejifunza tu Kikwete alibinafishisha Shirika la Reli lilifika wapi,kama Sio kuokolewa na wazawa?