Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kuamua kujitegemea ni suala zuri. Lakini tangu uhuru tunapiga hizi blah blah kila mwaka. Mzungu anapochota mali zetu ni kwamba kapewa upenyo na sisi wazalendo wenyewe.Kwani hao Wazungu mnawasifu walianzaje?Kila kitu kinawezekana tukiamua,kuna Nchi kama Korea,Qba,Urusi,zimetembea kwenye vikwazo Mpaka Sasa wanaishi vizuri,sisi huku tuna kila raslimali lakini bado tunasema uwezi ishi pasipo mzungu, niujinga mtupu,hao mnaowausudu Ndio walioleta makampuni ya AcreCo, accecia wakawa wanachota mali zetu uku tukiwachekea, Watanzania tukiamua kujitegea tunaweza nisuala la utashi tu na uthubutu,Sema viongozi wetu ni empty vichwani,wanaona kila kitu akiwezekani
Huwa sipendi kumlaumu mzungu kwa makosa yetu ya kila siku. Walioiba pesa ya EPA ni waswahili wenzetu wakishirikiana na wafanyabiashara wa kihindi. Waliopa pesa ya GAPCO awamu ya kwanza ni waswahili wenzetu.
Wizi wote unaofanyika serikalini wahusika wakuu ni wajomba na shangazi zetu. Na ni hawa hawa baadhi yao wanakuja humu jukwaani na falsafa za kujitegemea, wanamlaumu SSH wakati wamechangia kuharibu uchumi tangu 1961.