Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

Huyu mama mpumzisheni, msimchoshe na hizo academic recognitions zenu fake.
Ph.D za honoraria causa, sio academic recognition in implacable recognition na sio fake!, ila recipient hapaswi kubadili title kuitwa Dr., ila kwa vile JK aliitwa na hatukusema, Mzee Mengi pia aliitwa, na hatukusema, mwacheni Mama na yeye aitwe na tusiseme... Ila tumeshauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
 
Reactions: G4N
Huyu bibi mwambieni ukweli! Hatoshi nafasi anayoiomba.
Ataiweka ccm pabaya ikifika 2030/31
 
Hili la mimi kutafuta uteuzi, sio tuu nimelisema mara kibao, nimeliandikia mpaka makala! karibu mitaa hii Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Pascal, you can do it, real. Naangalia news zako nyingi sana, ila tu kinachonisikitisha huo uchawa wako! Ofcorse siyo lazima uwe critical kwa rulers ndiyo uwe "political correct" kwangu, lakini at least put a challenge. Wewe ni kusifia tua, hata Mwendazake ulimsifia kwa sababu ati havai "mask" wakati wa COVID, na Covid ikamchukua. Uchawa gani kuo? Stand for the right/truth.

Nchi bado ipo wazi kwa waandishi wenye talent kama wewe, siyo uchawa tu, virgin and vast opportunities to develop; professionally. Usiishie kuwa You-tuber wa uchawa, nenda beond that!!!

Unakataa kuwa wewe siyo chawa au msaka tonge, lakini maandishi yako mengi yanaonyesha hivyo, hasa ukiwa unaongea kwa comparison kati ya serikali (kwenye maslahi yako) na opposition. Badirika brother
 
Tuzidi kumuombea Rais Wetu tufike nchi ya Ahadi Gap la wenye nacho ma wasio nacho bado ni kubwa sanaπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Thanks, I take up the challenge
P
 
Tuone Uhuru na haki kwenye chaguzi zijazo 2024/2025 hapo Rais atakuwa amefaulu mtihani wa Demokrasia unayompigia chapuo
 
Huwezi dharau katiba ukawa mwana democrasia kaka.

Amka kichwa kitakuuma buree pascal mayala anakushangaa bila shaka
 
Huwezi dharau katiba ukawa mwana democrasia kaka.

Amka kichwa kitakuuma buree pascal mayala anakushangaa bila shaka
hayupo wa kudharau katiba, wala huwezi kumsigizia yeyote ati anadharau katiba ya wananchi, na wala hakuna wa kubabaika na mihemko yako, maoni na mtazamo wako juu ya hiyo katiba, ati inadharailiwa mahali fulani kwa tafsiri yako yoyote ile, hiyo ni haki yako tu na uhuru wako tu....

muhimu tu,
kama nilivyokushauri awali kwamba wether ni mtoto, kijana, au mzee, huna sababu kujitambulisha na kujionyesha kwenye platfomu hii kwamba wewe ni mtukanaji hodari kwa wenye mawazo na maoni tofauti na yako.....

kua free tu, wala huna sababu ya kuhitaji huruma ya mtu mwingine ilia akuungue mkono bali uwe na hoja za maana na kuungwa mkono na wengine.....

hakuna mwenye hekima na busara zake anaweza kukuunga mkono wakati unasukumwa na mihemko kuchangia hoja
 
Hukumbuki mama yako akisema katiba ni karatasi tuu.
Je huyu ndio prof wa democrasia.

Unajua hakuna haja ya kujifanya hatujui kinachoendelea nankufumbia macho kila kitu na kusifia hata asivyo stahili.

Hata jirekebisha,lile lilikua tusi kubwa sana kwa watanzanzania kama ulikua hujui.

Katiba hiyo hiyo ndio ilimuweka madarakani baada ya mtangulizi wake kufariki.

ni Aibu.
 
kama katiba sio karatasi ni nini basi, hebu elezea labda ni kitu kingine mwenzetu unakijua... ....

au ni maji?

we unababaika na tafsiri zako mwenyewe kuhusi hiyo katiba.....

wala huwezi mfumba wala kumfumbua macho yeyote kwa chochote...
mambo yanafanyika kwa uwazi mchana kweupe, wenye uelewa na ufahanu wa kutosha wameridhika na wala hawababaiki na tafsiri za wenye ghadhabu zinazosukumwa na uelewa wa tofauti juu ya katiba....

hakuna tusi popote, wala hakuna haja ya matusi kwasababu hayabadili wala kusaidia chochote, popote..
 
Kama upeo wenyewe ndio huu mtu mzima unaunga upumbavu kuwa katiba ni karatasi yanini nirumbane na mpumbavu mimi.Kwa heri ndugu.
 
Hivi vijana mnafikili kujipendekeza kila siku ili kutafuta teuzi. Ngoja niwashauri hizo nafasi za teuzi zipo ngapi na vijana mpo wangapi?? Wilaya 184 tuu. Vijana zaidi ya 45% ya waTanzania wote 67M. Badala mje na mikakati itakayiwasaidia katika kesho yenu. Maana vijana mpo leo, kesho na hata kesho kutwa mtakuwepo. Sisi wazee tulikuwepo jana na leo kesho hayupo!! Cha ajabu mnazidi kulamba sore za viatu vya wazee.
 
Bora wangekua wanasifia ukweli ni unafki mtupu.
Profesor wa democrasia alishaiita katiba ni karatasi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…