hayupo wa kudharau katiba, wala huwezi kumsigizia yeyote ati anadharau katiba ya wananchi, na wala hakuna wa kubabaika na mihemko yako, maoni na mtazamo wako juu ya hiyo katiba, ati inadharailiwa mahali fulani kwa tafsiri yako yoyote ile, hiyo ni haki yako tu na uhuru wako tu....
muhimu tu,
kama nilivyokushauri awali kwamba wether ni mtoto, kijana, au mzee, huna sababu kujitambulisha na kujionyesha kwenye platfomu hii kwamba wewe ni mtukanaji hodari kwa wenye mawazo na maoni tofauti na yako.....
kua free tu, wala huna sababu ya kuhitaji huruma ya mtu mwingine ilia akuungue mkono bali uwe na hoja za maana na kuungwa mkono na wengine.....
hakuna mwenye hekima na busara zake anaweza kukuunga mkono wakati unasukumwa na mihemko kuchangia hoja