Rais Samia ni chaguo la Mungu na aliandaliwa na Mungu kuongoza Taifa letu

sijui unachoumwa, ila itoshe tu kukupa pole. pole sana mkuu kwa ugonjwa huu
 
Kwahiyo Mungu alikuwa na chaguo lake akaamua kumuua Magufuli ili chaguo lake liingie madarakani.
Tumewasikia vijukuu vya mtume.
Mungu haui, ndiye muumba, yaani mleta na mtaa!. Mungu ndiye ndiye huweka serikali za mataifa, hata JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! tena alikuwa nabii Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika hivyo ni Bwana alitoa, alipokamilisha majukumu yake ni Bwana akamtaa, kumpangia majukumu mengine kule, kisha Bwana akatupatia Samia.

Tuliwakumbusha watu humu mahali Magufuli alipo kwa sasa Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani na kuwakumbusha Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…