Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

Huyu nilijua atashindwa baada ya kuona amejizugushia mafisadi kama washauri wake wakuu. Fikiria Mwigulu kuwa waziri wa fedha, riz 1, Makamba, Rostam nk

Mama anafanya vema tumpe sapoti
 
Maharage kuuzwa kilo elfu 4 kunahusiana vipi na camera za mtangulizi wake?

Mchele kuuzwa kilo elfu 3 kunahusiana vipi na camera za mtangulizi wake?

Tozo zinahusiana vipi na camera?

Kukamatwa dhahabu ya Tz kilo 61 huko India nako Kuna uhusiano na camera ?

Gharama za kuvuta umeme kutoka elfu 27 Hadi Malaki kadhaa nayo ni mazoea ya camera live hadi kanisani?

Gharama kubwa za Mbolea vipi inahusiana na camera?

Mliposema mwendazake amevuruga soko la korosho,leo mbona mambo ni magumu kuliko zamani?

Kukatika katika umeme mlikuja na excuses za wafanyakazi hawakufanya service mashine miaka 6 walikuwa wanamwogopa anko magu,vipi baada ya service mliyofanya umeme umeacha kukatika?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nenda kapime ache ujinga
 
Huyu nilijua atashindwa baada ya kuona amejizugushia mafisadi kama washauri wake wakuu. Fikiria Mwigulu kuwa waziri wa fedha, riz 1, Makamba, Rostam nk
Mwigulu, mtoe hapo
 
Huyu nilijua atashindwa baada ya kuona amejizugushia mafisadi kama washauri wake wakuu. Fikiria Mwigulu kuwa waziri wa fedha, riz 1, Makamba, Rostam nk
Nchi hii mtu asiwe na uwezo tu anaitwa mwizi, magu kaacha doa kubwa sana kwa taifa hili aliefanikiwa anaonekana fisadi.....

Mbowe angekua ccm nae angeitwa fisadi vile yupo cdm,
Yaani maskini mtaani akifanikiwa anaitwa mchawi, akiwa kazini anaonekana fisadi, tuna safari ndefu sana....
 
Maharage kuuzwa kilo elfu 4 kunahusiana vipi na camera za mtangulizi wake?

Mchele kuuzwa kilo elfu 3 kunahusiana vipi na camera za mtangulizi wake?

Tozo zinahusiana vipi na camera?

Kukamatwa dhahabu ya Tz kilo 61 huko India nako Kuna uhusiano na camera ?

Gharama za kuvuta umeme kutoka elfu 27 Hadi Malaki kadhaa nayo ni mazoea ya camera live hadi kanisani?

Gharama kubwa za Mbolea vipi inahusiana na camera?

Mliposema mwendazake amevuruga soko la korosho,leo mbona mambo ni magumu kuliko zamani?

Kukatika katika umeme mlikuja na excuses za wafanyakazi hawakufanya service mashine miaka 6 walikuwa wanamwogopa anko magu,vipi baada ya service mliyofanya umeme umeacha kukatika?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Maswali yako majibu yake ni mepesi sanaa, kama hata wewe huna majibu tuna safari ndefu sana kama nchi.
 
Kuna watu kwenye serikali aliyoiunda ambao hawezi kuwawajibisha hilo ndio tatizo la kwanza kubwa.

Sasa hao watu wanaharibu na bado wanaendelea kubaki.

Rais kama ana uchungu na nchi atawaondoa.

Ila kama hana wataendelea kubaki.

Uchaguzi ni wake.
Kama akina makonda na wenzie magu hakua na jeuri ya kuwagusa
 
It-is-dangerous-to.jpg
 
Nchi hii mtu asiwe na uwezo tu anaitwa mwizi, magu kaacha doa kubwa sana kwa taifa hili aliefanikiwa anaonekana fisadi.....

Mbowe angekua ccm nae angeitwa fisadi vile yupo cdm,
Yaani maskini mtaani akifanikiwa anaitwa mchawi, akiwa kazini anaonekana fisadi, tuna safari ndefu sana....
Weny akili kama wewe wako wachache sana ..hongera kulitambua hilo

Leo wakili akitetea chadema anaitwa msomi hata awe na certificate.
 
Hiki kirusi kinatutafuna sana kama taifa, kuna watu watapunguza bidii ya kazi kwa kuhisi hadi aibe au aloge ndio atajirike
 
Kelele za mlango haziwezi kumtisha mwenye nyumba kuingia.

Museven huwa anasema Kuna freedom of speech ila freedom after speech itaitegemea umeongea Nini..

Rais anatakiwa kuanza na ku deal na Watu dizaini ya huyu wanaotumia Uhuru vibaya.
Acha uongo kijana, huu usemi wa freedom of speech siyo wa Museveni, ana quote wahenga.
Hata Idd Amin aliutumia sana kuua waliompinga kwa kusema yeye hawezi ku guarantee freedom after speech wakati Museveni yupo UD.
 
Back
Top Bottom