Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
YeapHiki kirusi kinatutafuna sana kama taifa, kuna watu watapunguza bidii ya kazi kwa kuhisi hadi aibe au aloge ndio atajirike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeapHiki kirusi kinatutafuna sana kama taifa, kuna watu watapunguza bidii ya kazi kwa kuhisi hadi aibe au aloge ndio atajirike
Mafisadi tunawajua wanatajirika bila kuwa na biashara au chanzo cha mapato kinachojulikana. Mtuka anaingia madarakani qki a maskini, baada ya mda mfupi anamiliki mali nyingi kuliko wafanyabishara wanaolipa kodi. Waziri ananunua timu a mpira, ananunua wachezaji kutoka nje ya nchi kwa bei kubwa, anaajiri kocha mzungu , ananunua mabasi ya abiria 60 kwa mpigo.... Acha kutetea ufisadi labda kama wewe ni mmoja waoNchi hii mtu asiwe na uwezo tu anaitwa mwizi, magu kaacha doa kubwa sana kwa taifa hili aliefanikiwa anaonekana fisadi.....
Mbowe angekua ccm nae angeitwa fisadi vile yupo cdm,
Yaani maskini mtaani akifanikiwa anaitwa mchawi, akiwa kazini anaonekana fisadi, tuna safari ndefu sana....
Ujumbe umefika lakiniAcha uongo kijana, huu usemi wa freedom of speech siyo wa Museveni, ana quote wahenga.
Hata Idd Amin aliutumia sana kuua waliompinga kwa kusema yeye hawezi ku guarantee freedom after speech wakati Museveni yupo UD.
Watu wamejazwa ujinga ukawajaa kwelikweli.Nchi hii mtu asiwe na uwezo tu anaitwa mwizi, magu kaacha doa kubwa sana kwa taifa hili aliefanikiwa anaonekana fisadi.....
Mbowe angekua ccm nae angeitwa fisadi vile yupo cdm,
Yaani maskini mtaani akifanikiwa anaitwa mchawi, akiwa kazini anaonekana fisadi, tuna safari ndefu sana....
Wakuu habari za mchana?
Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja kwa moja amekuwa mzito kuchukua maamuzi sahihi na kwa wakati kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake ambapo pale inapoonekana wizara inalegalega katika utendaji waziri husika alikuwa anawajibishwa bila kupepesa jicho lakini kwa upande wake hali imekuwa tofauti kidogo
Mwanzo Wananchi waliona kama ukombozi umekuja kwa wakati sahihi ukizingatia hali ya kisiasa ambayo nchi ilipitia kayika miaka 5 nyuma. Aliitwa mponyaji na mleta maridhiano ya kitaifa na vyama vyote vya siasa nchini na tulishuhudia viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vikienda Ikulu kuzungumza na mkuu na nchi hadi kuibuka msemo uliopendwa na kuvuma zaidi ya "Mama anaupiga mwingi"
Tulitegemea Wasaidizi wake wangemsaidia kushinda mechi tena mapema tu lakini hali imekua tofauti ghafla kwa Watazamaji na Mashabiki wa timu kwani wanaona kama timu yao inazidi kulemewa na hata zile pasi zilizokuwa zinapigwa mwanzo hazipigwi tena kwa kifupi sasa ule wimbo wa Mama anaupiga mwingi hausikiki tena siyo kwa Wananchi wala wale viongozi wa vyama vya siasa.
NINI KILICHOTOKEA?
Hali ya utendaji wa baadhi ya wizara imekuwa kikwazo mnoo kwa maendeleo ya jamii na uongozi wa Mama kwa ujumla mfano suala la umeme kwasasa limekua tatizo kiasi kwamba wananchi wa hali ya chini wanaotegemea umeme kuendesha shughuli zao za uchumi wameshajikatia tamaa ya kesho yao, tozo za miamala, vifurushi vya simu na mfumuko wa bei ya chakula kila uchwao nayo imekuwa tatizo kubwa
Kuna lingine limefukuta na tayari limeacha jeraha kubwa sana suala la maji ndani ya Jiji la Dsm angalau mafuta yameshuka bei kimtindo
Changamoto hizo hapo juu zinamgusa Mwananchi wa hali ya chini moja kwa moja na mbaya zaidi wananchi wanaona kama Mama kawasaliti na kawaacha peke yao baada ya Baba Kufariki hawana tena tumaini hawajui kesho yao itakuaje, wamejikatia tamaa kabisa hakuna anayejua mawazo ya mwenziye kwasasa ndani ya Nchi kila kitu hakishikiki na mbaya zaidi wananchi wanakerwa na matamashi ya baadhi ya viongozi kuwa yq kuudhi na kukera badala ya kuyafanyia kazi malalamiko yao.
Wakulima walia na bei ya mazao na gharama kubwa ya pembejeo mabadiliko ya hali ya hewa nayo inaendelea kusababisha ukame unaopelekea mifugo kufa wakulima kushindwa kulima kwa wakati na hawajui hatama yao itakuaje.
Nadhani jo kipindi ambacho wasaidizi wa Rais wangemsaidia zaidi Rais kutatua kero za wananchi badala ya kuwa na majibu ya danganya toto wakati utekelezaji ni mdogo.Hii inajenga picha ya kuashiria labda pengine Rais ni dhaifu au anawaogopa wasaidizi wake kwa maana hawezi kuwawajibisha pale wanapokosea ama la tumeona na kusikia mambo mengi yanayotokea kila siku na uzembe mkubwa wa baadhi ya watendaji wa Serikali katika kutimiza wajibu wao kwa dhamana waliyopewa ya kumsaidia Rais.
Kuna shida shida ipo mahala ni wakati sahihi sasa wa kumsaidia Rais kwajili ya mustakabali mzima wa Taifa na watu wake sababu siyo Rais tu anayeharibikiwa ila Watanzania kwa ujumla na vizazi vyetu.Hii ni sauti Mzalendo wa kawaida na haya ni maoni yangu tu kwa ufupi tunaipenda Tanzania yetu kwa moyo wetu wote bila kujali vyama,kabila,dini wala rangi.
Karibuni tuchangie Wakuu.

Nakubaliana na wewe mkuuKatiba inabidi tuibadilishe sisi wananchi ikitokea rais aliyechaguliwa akafariki makamu aongoze miezi miwili au mitatu na kuitisha uchaguzi.kwa sasa had I amalize awamu yake inchi itakuwa matobo kila sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sanaMie nasema ni dhaifu tena sana...hiyo sana nimeiongeza baada ya majuzi kuitisha kikao cha dharura baraza la mawaziri eti kujadili ajali ya ndege iliyotokea kule Bukoba!.
hakuna kitu bi tozo anafanya zaidi ya kuhudhuria dhifa duniani tu.She's misfit to the position.mnapata shida sababu mlizoea rais kutembea na camera za mnato na video live mpaka makanisani, poleni sana.
Inawezekana Samia hakuwa amejiandaa kisaikolojia ku handle majukumu makubwa ya urais.Wakuu habari za mchana?
Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja kwa moja amekuwa mzito kuchukua maamuzi sahihi na kwa wakati kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake ambapo pale inapoonekana wizara inalegalega katika utendaji waziri husika alikuwa anawajibishwa bila kupepesa jicho lakini kwa upande wake hali imekuwa tofauti kidogo
Mwanzo Wananchi waliona kama ukombozi umekuja kwa wakati sahihi ukizingatia hali ya kisiasa ambayo nchi ilipitia kayika miaka 5 nyuma. Aliitwa mponyaji na mleta maridhiano ya kitaifa na vyama vyote vya siasa nchini na tulishuhudia viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vikienda Ikulu kuzungumza na mkuu na nchi hadi kuibuka msemo uliopendwa na kuvuma zaidi ya "Mama anaupiga mwingi"
Tulitegemea Wasaidizi wake wangemsaidia kushinda mechi tena mapema tu lakini hali imekua tofauti ghafla kwa Watazamaji na Mashabiki wa timu kwani wanaona kama timu yao inazidi kulemewa na hata zile pasi zilizokuwa zinapigwa mwanzo hazipigwi tena kwa kifupi sasa ule wimbo wa Mama anaupiga mwingi hausikiki tena siyo kwa Wananchi wala wale viongozi wa vyama vya siasa.
NINI KILICHOTOKEA?
Hali ya utendaji wa baadhi ya wizara imekuwa kikwazo mnoo kwa maendeleo ya jamii na uongozi wa Mama kwa ujumla mfano suala la umeme kwasasa limekua tatizo kiasi kwamba wananchi wa hali ya chini wanaotegemea umeme kuendesha shughuli zao za uchumi wameshajikatia tamaa ya kesho yao, tozo za miamala, vifurushi vya simu na mfumuko wa bei ya chakula kila uchwao nayo imekuwa tatizo kubwa
Kuna lingine limefukuta na tayari limeacha jeraha kubwa sana suala la maji ndani ya Jiji la Dsm angalau mafuta yameshuka bei kimtindo
Changamoto hizo hapo juu zinamgusa Mwananchi wa hali ya chini moja kwa moja na mbaya zaidi wananchi wanaona kama Mama kawasaliti na kawaacha peke yao baada ya Baba Kufariki hawana tena tumaini hawajui kesho yao itakuaje, wamejikatia tamaa kabisa hakuna anayejua mawazo ya mwenziye kwasasa ndani ya Nchi kila kitu hakishikiki na mbaya zaidi wananchi wanakerwa na matamashi ya baadhi ya viongozi kuwa yq kuudhi na kukera badala ya kuyafanyia kazi malalamiko yao.
Wakulima walia na bei ya mazao na gharama kubwa ya pembejeo mabadiliko ya hali ya hewa nayo inaendelea kusababisha ukame unaopelekea mifugo kufa wakulima kushindwa kulima kwa wakati na hawajui hatama yao itakuaje.
Nadhani jo kipindi ambacho wasaidizi wa Rais wangemsaidia zaidi Rais kutatua kero za wananchi badala ya kuwa na majibu ya danganya toto wakati utekelezaji ni mdogo.Hii inajenga picha ya kuashiria labda pengine Rais ni dhaifu au anawaogopa wasaidizi wake kwa maana hawezi kuwawajibisha pale wanapokosea ama la tumeona na kusikia mambo mengi yanayotokea kila siku na uzembe mkubwa wa baadhi ya watendaji wa Serikali katika kutimiza wajibu wao kwa dhamana waliyopewa ya kumsaidia Rais.
Kuna shida shida ipo mahala ni wakati sahihi sasa wa kumsaidia Rais kwajili ya mustakabali mzima wa Taifa na watu wake sababu siyo Rais tu anayeharibikiwa ila Watanzania kwa ujumla na vizazi vyetu.Hii ni sauti Mzalendo wa kawaida na haya ni maoni yangu tu kwa ufupi tunaipenda Tanzania yetu kwa moyo wetu wote bila kujali vyama,kabila,dini wala rangi.
Karibuni tuchangie Wakuu.
Imebidi nicheke tu
Hivi kweli watz mnangoja maendeleo Kwa Samia? Hili ni goal la kisigino, twende nae tu amalize muda wake, tuna mbebesha mzigo ambao ni mkubwa kwake, Mimi nadhani tufikiri jinsi ya kula na kupiga madeal hiki kipindi.