Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

Huyu nilijua atashindwa baada ya kuona amejizugushia mafisadi kama washauri wake wakuu. Fikiria Mwigulu kuwa waziri wa fedha, riz 1, Makamba, Rostam nk

Mama anafanya vema tumpe sapoti
 
Nenda kapime ache ujinga
 
Huyu nilijua atashindwa baada ya kuona amejizugushia mafisadi kama washauri wake wakuu. Fikiria Mwigulu kuwa waziri wa fedha, riz 1, Makamba, Rostam nk
Mwigulu, mtoe hapo
 
Huyu nilijua atashindwa baada ya kuona amejizugushia mafisadi kama washauri wake wakuu. Fikiria Mwigulu kuwa waziri wa fedha, riz 1, Makamba, Rostam nk
Nchi hii mtu asiwe na uwezo tu anaitwa mwizi, magu kaacha doa kubwa sana kwa taifa hili aliefanikiwa anaonekana fisadi.....

Mbowe angekua ccm nae angeitwa fisadi vile yupo cdm,
Yaani maskini mtaani akifanikiwa anaitwa mchawi, akiwa kazini anaonekana fisadi, tuna safari ndefu sana....
 
Maswali yako majibu yake ni mepesi sanaa, kama hata wewe huna majibu tuna safari ndefu sana kama nchi.
 
Kuna watu kwenye serikali aliyoiunda ambao hawezi kuwawajibisha hilo ndio tatizo la kwanza kubwa.

Sasa hao watu wanaharibu na bado wanaendelea kubaki.

Rais kama ana uchungu na nchi atawaondoa.

Ila kama hana wataendelea kubaki.

Uchaguzi ni wake.
Kama akina makonda na wenzie magu hakua na jeuri ya kuwagusa
 
Weny akili kama wewe wako wachache sana ..hongera kulitambua hilo

Leo wakili akitetea chadema anaitwa msomi hata awe na certificate.
 
Weny akili kama wewe wako wachache sana ..hongera kulitambua hilo

Leo wakili akitetea chadema anaitwa msomi hata awe na certificate.
Hiki kirusi kinatutafuna sana kama taifa, kuna watu watapunguza bidii ya kazi kwa kuhisi hadi aibe au aloge ndio atajirike
 
Kelele za mlango haziwezi kumtisha mwenye nyumba kuingia.

Museven huwa anasema Kuna freedom of speech ila freedom after speech itaitegemea umeongea Nini..

Rais anatakiwa kuanza na ku deal na Watu dizaini ya huyu wanaotumia Uhuru vibaya.
Acha uongo kijana, huu usemi wa freedom of speech siyo wa Museveni, ana quote wahenga.
Hata Idd Amin aliutumia sana kuua waliompinga kwa kusema yeye hawezi ku guarantee freedom after speech wakati Museveni yupo UD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…