Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

Sio dhaifu tu, uwezo wake kiakili na kiutendaji ni mdogo sana, Hana uwezo kung'amua mambo nyeti ya serikali ya mtaa achana na ya nchi.
 
Mie nasema ni dhaifu tena sana...hiyo sana nimeiongeza baada ya majuzi kuitisha kikao cha dharura baraza la mawaziri eti kujadili ajali ya ndege iliyotokea kule Bukoba!.
 
Mafisadi tunawajua wanatajirika bila kuwa na biashara au chanzo cha mapato kinachojulikana. Mtuka anaingia madarakani qki a maskini, baada ya mda mfupi anamiliki mali nyingi kuliko wafanyabishara wanaolipa kodi. Waziri ananunua timu a mpira, ananunua wachezaji kutoka nje ya nchi kwa bei kubwa, anaajiri kocha mzungu , ananunua mabasi ya abiria 60 kwa mpigo.... Acha kutetea ufisadi labda kama wewe ni mmoja wao
 
Watu wamejazwa ujinga ukawajaa kwelikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio
 

Mimi tangu afanye kikao Cha dharula Cha baraza la mawaziri na mwisho wa siku akatoka na azimio la wananchi wawe watulivu, nilimuona ni dhaifu sana.
 
Mie nasema ni dhaifu tena sana...hiyo sana nimeiongeza baada ya majuzi kuitisha kikao cha dharura baraza la mawaziri eti kujadili ajali ya ndege iliyotokea kule Bukoba!.
Inasikitisha sana
 
Kuongoza watu unatakiwa uwe na vision pamoja na mission.
Sio ndiyo tu kwenye kila jambo?
Una tupa hofu hata sisi tuliopo chini yako.
Rais Bendera?
Mawaziri Bendera?
Wabunge Bendera?
Madiwani Bendera?
At the end of the day, a whole system is Bendera.
Hakika atulinde Mola na aiweke salama kwenye mikono salama Tanzania yetu.
 
Huyu mama yuko very ambitous kuipeleka nchi mbele na amejitahidi sana toka mwanzo, haya majanga ya kudorora kwa uchumi wa dunia kutokana na covid, vita ya ukraine, mabadiliko ya tabia nchi ambayo sasa yanaleta hali ya ukame kwenye nchi yanamharibia pakubwa. Kwa jinsi jamii zetu za kiafrika zilivyojijenga kwenye mfumo dume inaweza ikawa pia kikwazo kwa kiongozi mwanamama kuweza ku consolidate power na kutekeleza vision yake kwa uthabiti mkubwa.​
 
Hivi kweli watz mnangoja maendeleo Kwa Samia? Hili ni goal la kisigino, twende nae tu amalize muda wake, tuna mbebesha mzigo ambao ni mkubwa kwake, Mimi nadhani tufikiri jinsi ya kula na kupiga madeal hiki kipindi.
 
Inawezekana Samia hakuwa amejiandaa kisaikolojia ku handle majukumu makubwa ya urais.
 
Hivi kweli watz mnangoja maendeleo Kwa Samia? Hili ni goal la kisigino, twende nae tu amalize muda wake, tuna mbebesha mzigo ambao ni mkubwa kwake, Mimi nadhani tufikiri jinsi ya kula na kupiga madeal hiki kipindi.


Msipoangalia mtakuja kuzitapika kitakapokuja chuma chenye kariba kama ya Kayafa [emoji28][emoji14]

Kumbe Somo halikueleweka?!

Adoado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…