Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Ipo siku utakuja kuomba radhi kwa maneno yako baada ya kutambua kuwa mh Rais Samia alikuwa Ni zawadi kwetu watanzania kutokana na aina ya uongozi wake wa kutukuka na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutoa Uhuru kwa watu kujadili chochote kwa Uhuru na amaniUtumbo
Ipo siku utakuja kuomba radhi kwa maneno yako baada ya kutambua kuwa mh Rais Samia alikuwa Ni zawadi kwetu watanzania kutokana na aina ya uongozi wake wa kutukuka na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutoa Uhuru kwa watu kujadili chochote kwa Uhuru na amani.
Haitatokea kamwe.Ipo siku utakuja kuomba radhi kwa maneno yako baada ya kutambua kuwa mh Rais Samia alikuwa Ni zawadi kwetu watanzania kutokana na aina ya uongozi wake wa kutukuka na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutoa Uhuru kwa watu kujadili chochote kwa Uhuru na amani
Muda Ni mwalimu mzuri wa Historia, utakuja ujute hata Moyoni mwako tuHaitatokea kamwe.
Yaani Hawa chawa hawaeleweki Kama nywele.Juzi ulikiwa unatetea tozo Leo unaunga mkono kutolewa kwa tozo.
Nimelielezea kwa ufasaha suala Hilo post #11Yaani Hawa chawa hawaeleweki Kama nywele.
Pia nawewe heshim mawazo yakeHivi wewe unawezaje ukasema mwandishi nguli Kama Pascal ananjaa? Mimi Nazani unapaswa kuheshimu michango yake na kujifunza mengi kutoka kwake, wanasema kijana ukiwa mbele za wazee unapaswa kupenda kusikiliza kuliko kuzungumza maana ni katika kusikiliza utapata hekima na busara zao, usimtukane kila mtu anayetofautiana na wewe mawazo, jifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine ndio utakuwa bora
Heshimu matusi yake,,Wewe endelea na matusi yako maana ndio ulivyolelewa na kukuzwa
Matusi hayastahili kupewa heshima yoyote Ile na mtu hawezi kuheshimika kwa matusiHeshimu matusi yake,,