Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake.
Suala la ajira mama ameliweza kwa sababu anatoa ajira bila hiyana japo mchakato mzima unaharibiwa na majitu yaliyoko huko Tamisemi na utumishi ,haya majitu yamejaa roho mbaya na uroho haiwezekani mtu aliemaliza chuo 2021 apate ajira na aliemaliza 2018 akose.
Mwizukulu mgikuru 12/06/2023