stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Siri fichuka.Ni shetani katika maumbile ya binadamu hana hata chembe ya utu ndani yakeView attachment 3506646

Aachie mapema, (Ingawaje sio rahisi) walio nyuma yake wakiona ngoma inaenda na maji she will be left alone with a handful of choices and options!Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu kutekwa na kuuawa, kuwa na tume huru bandia ya uchaguzi, mauaji ya maelfu ya watanganyika, kubambikiwa watu kesi, uovu huo wote, chanzo ni yeye.
Binadamu halisia, aliye mwadilifu wa nafsi, kamwe huwezi kukubali wewe kuwa chanzo cha vifo na mateso ya watu mamilioni. Rais Mwinyi akiwa waziri wa mambo ya ndani, polisi walipoua tu wananchi (nadhani walikuwa watu 3) huko Shiyanga, japo yeye hakuhusika kwa kutoa amri, nafsi yake iliumia kwa kushindwa kuisimamia taasisi ya polisi kufanya kazi yake inavyostahii, aliamua kujiuzulu.
Kule Uingereza waziri wa elimu alionekana kwenye mitaa ya malaya, wananchi wakaanza kulalamika, akaona asiwe chanzo cha wananchi kukosa furaha kutokana na vitendo vyake, aliamua kujiuzulu, lakini huyu wa kwetu, pamoja na vitendo vya kiharamia vya kiwango cha ajabu kabisa, pamoja na kuambiwa na mataifa na taasisi mbalimbali Duniani kuwa yeye siyo kiongozi halali, ameng'ang'ania tu! Tena fikiria huyu mtu, watu wanauawa, yeye wakati wote anasimama na wauaji. Alipouawa kiharamia Ali Kibao, yeye akasema kifo ni kifo tu. Watu wanatekwa na kuuawa, yeye akasema kuwa hizo ni drama, kwa maelfu wananchi wameuawa, yeye anasema eti hao siyo watanzania, kama vile wangekuwa wageni, ni halali kuwaua!
Inajulikana kabisa kuwa watanzania hawakupiga kura kumchagua, bila aibu anatoka na kusema kuwa eti anawapongeza wananchi kwa kumpa kura nyingi! Yaani inaonekana roho yake imejaa uovu wa ajabu, na wala hajutii kabisa uovu mbalimbali uliofanywa na unaoendelea kufanywa kwa amri na maelekezo yake.
Bila watanganyika kuinuka na kuhakikisha nchi inakuwa chini ya utawala halali, huyu mtu atawamaliza Watanganyika. Kila siku watanganyika watauawa au kama utakuwa manusura, utakuwa ni mtu wa kusikia habari za kuhuzunisha za watu kutekwa, kuuawa na kubambikiwa kesi. Tutaishi kwentlye nchi ya namna hiyo mpaka lini? Huyu mtu siamini kama kwake Watanganyika anawaona ni wanadamu sawa na yeye au wale wa familia wake. Labda anawaona Watanganyika ni sisimizi, maana aliwahi kutamka kuwa yeye hajawahi kuua wanadamu, labda sisimizi, ina maana katika nafsi yake anawaona watanganyika ni sisimuzi?
SADC wametamka wazi huyu ni kiongozi haramu aliyepatikana kutokana na uchaguzi bandia ulio haramu.
Umoja wa Afrika umetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Taasidi ya Thabo Mbeki imesema yeye ni rais haramu.
Umoja wa Ulaya umesema yeye ni rais haramu.
Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa mataifa, imetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Kagame alisema hawezi kumpongeza kwa sabahu huyu mtu ni muuaji.
Rais mstaafu wa Botswana amesema huyu mtu ni rais haramu.
Waziri mkuu mstaafu wa Switzerland amesema huyu mtu ni rais haramu.
Watanganyika kwa ujumla wanamwona huyu mtu ni muuaji na haramia wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
Kwa uovu wake wote ulioanikwa wazi, tena kwa vielelezo thabiti, kwa mtu wa kawaida, siamini kama utabakia umeng'ang'ania katika uharamia wako.
Huyu amekuwa kama mamba, maana wanasema mamba aking'ata mguu wa mwanadamu, hata ufanye nini hawezi kuachia, hata umoige na kumjeruhi kiasi gani, utamwulia hapo hapo, na hata akifa meno yake hubakia yameng'ata. Huyu mtu ni kama amefunga kila kitu, hajali mateso ya watu wala uhai wa binadamu yeyote. Maneno au ushauri wowote wa hekima kwake havina nafasi yoyote. Ina maana huyu mtu anataka kuondolewa kwa sululu, na siyo kwa kauli?.
Hadi miaka 5 iishe utavunjika vidole kwa kuandika magazeti
Naomba tufanye jambo uingie lebaNi zaidi ya mamba, huwa najiuliza kweli anaujua uchungu wa mtoto??
Mimi sijaingia leba ila nasikia maumivu mtu akipiga mtoto wa mwingine, vipi kwa wanaosimulia kuzaa kunauma?!!
Au uchungu unatofautiana wengine mnazaa kwa raha?
Huyu ni ibilisi kamiliFikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu kutekwa na kuuawa, kuwa na tume huru bandia ya uchaguzi, mauaji ya maelfu ya watanganyika, kubambikiwa watu kesi, uovu huo wote, chanzo ni yeye.
Binadamu halisia, aliye mwadilifu wa nafsi, kamwe huwezi kukubali wewe kuwa chanzo cha vifo na mateso ya watu mamilioni. Rais Mwinyi akiwa waziri wa mambo ya ndani, polisi walipoua tu wananchi (nadhani walikuwa watu 3) huko Shiyanga, japo yeye hakuhusika kwa kutoa amri, nafsi yake iliumia kwa kushindwa kuisimamia taasisi ya polisi kufanya kazi yake inavyostahii, aliamua kujiuzulu.
Kule Uingereza waziri wa elimu alionekana kwenye mitaa ya malaya, wananchi wakaanza kulalamika, akaona asiwe chanzo cha wananchi kukosa furaha kutokana na vitendo vyake, aliamua kujiuzulu, lakini huyu wa kwetu, pamoja na vitendo vya kiharamia vya kiwango cha ajabu kabisa, pamoja na kuambiwa na mataifa na taasisi mbalimbali Duniani kuwa yeye siyo kiongozi halali, ameng'ang'ania tu! Tena fikiria huyu mtu, watu wanauawa, yeye wakati wote anasimama na wauaji. Alipouawa kiharamia Ali Kibao, yeye akasema kifo ni kifo tu. Watu wanatekwa na kuuawa, yeye akasema kuwa hizo ni drama, kwa maelfu wananchi wameuawa, yeye anasema eti hao siyo watanzania, kama vile wangekuwa wageni, ni halali kuwaua!
Inajulikana kabisa kuwa watanzania hawakupiga kura kumchagua, bila aibu anatoka na kusema kuwa eti anawapongeza wananchi kwa kumpa kura nyingi! Yaani inaonekana roho yake imejaa uovu wa ajabu, na wala hajutii kabisa uovu mbalimbali uliofanywa na unaoendelea kufanywa kwa amri na maelekezo ya utawala wake.
Bila watanganyika kuinuka na kuhakikisha nchi inakuwa chini ya utawala halali, huyu mtu atawamaliza Watanganyika. Kila siku watanganyika watauawa au kama utakuwa manusura, utakuwa ni mtu wa kusikia habari za kuhuzunisha tu za watu kutekwa, kuuawa na kubambikiwa kesi. Tutaishi kwenye nchi ya namna hiyo mpaka lini? Huyu mtu siamini kama kwake Watanganyika anawaona ni wanadamu sawa na yeye au wale wa familia wake. Labda anawaona Watanganyika ni sisimizi, maana aliwahi kutamka kuwa yeye hajawahi kuua wanadamu, labda sisimizi, ina maana katika nafsi yake anawaona watanganyika ni sisimizi?
SADC wametamka wazi huyu ni kiongozi haramu aliyepatikana kutokana na uchaguzi bandia ulio haramu.
Umoja wa Afrika umetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Taasidi ya Thabo Mbeki imesema yeye ni rais haramu.
Umoja wa Ulaya umesema yeye ni rais haramu.
Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa mataifa, imetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Kagame alisema hawezi kumpongeza muuaji.
Rais mstaafu wa Botswana amesema huyu mtu ni rais haramu.
Waziri mkuu mstaafu wa Switzerland amesema huyu mtu ni rais haramu.
Watanganyika kwa ujumla wanamwona huyu mtu ni muuaji na mwenye uharamia wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Fikiria watu wameuawa, wafiwa wanazuiwa hata kupata maiti za wapendwa wao. Tumeshuhudia kule Gaza au Ukraine, pamoja na uhasama wa mataifa husika, lakini wanabadilishana miili na mateka, sisi ndani ya nchi, watu wanayimwa mpaka miili ya wapendwa wao baada ya kuuliwa kinyama!
Kwa uovu wote ulioanikwa wazi, tena kwa vielelezo thabiti, kwa mtu wa kawaida, siamini kama utabakia umeng'ang'ania katika uharamia wako. Ni amani gani unaipata rohoni kuyatwaa madaraka kwa gharama za uhai wa binadamu wenzako?.
Huyu amekuwa kama mamba, maana wanasema mamba aking'ata mguu wa mwanadamu, hata ufanye nini hawezi kuachia, hata umpige na kumjeruhi kiasi gani, utamwulia hapo hapo, na hata akifa meno yake hubakia yameng'ata. Huyu mtu ni kama amefunga kila kitu, hajali mateso ya watu wala uhai wa binadamu yeyote. Maneno au ushauri wowote wa hekima kwake havina nafasi yoyote. Ina maana huyu mtu anataka kuondolewa kwa sululu, na siyo kwa kauli za hekima?.
Shujaa wetu watanzania tunajivunia
Hata shetani ana nafuu!Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu kutekwa na kuuawa, kuwa na tume huru bandia ya uchaguzi, mauaji ya maelfu ya watanganyika, kubambikiwa watu kesi, uovu huo wote, chanzo ni yeye.
Binadamu halisia, aliye mwadilifu wa nafsi, kamwe huwezi kukubali wewe kuwa chanzo cha vifo na mateso ya watu mamilioni. Rais Mwinyi akiwa waziri wa mambo ya ndani, polisi walipoua tu wananchi (nadhani walikuwa watu 3) huko Shiyanga, japo yeye hakuhusika kwa kutoa amri, nafsi yake iliumia kwa kushindwa kuisimamia taasisi ya polisi kufanya kazi yake inavyostahii, aliamua kujiuzulu.
Kule Uingereza waziri wa elimu alionekana kwenye mitaa ya malaya, wananchi wakaanza kulalamika, akaona asiwe chanzo cha wananchi kukosa furaha kutokana na vitendo vyake, aliamua kujiuzulu, lakini huyu wa kwetu, pamoja na vitendo vya kiharamia vya kiwango cha ajabu kabisa, pamoja na kuambiwa na mataifa na taasisi mbalimbali Duniani kuwa yeye siyo kiongozi halali, ameng'ang'ania tu! Tena fikiria huyu mtu, watu wanauawa, yeye wakati wote anasimama na wauaji. Alipouawa kiharamia Ali Kibao, yeye akasema kifo ni kifo tu. Watu wanatekwa na kuuawa, yeye akasema kuwa hizo ni drama, kwa maelfu wananchi wameuawa, yeye anasema eti hao siyo watanzania, kama vile wangekuwa wageni, ni halali kuwaua!
Inajulikana kabisa kuwa watanzania hawakupiga kura kumchagua, bila aibu anatoka na kusema kuwa eti anawapongeza wananchi kwa kumpa kura nyingi! Yaani inaonekana roho yake imejaa uovu wa ajabu, na wala hajutii kabisa uovu mbalimbali uliofanywa na unaoendelea kufanywa kwa amri na maelekezo ya utawala wake.
Bila watanganyika kuinuka na kuhakikisha nchi inakuwa chini ya utawala halali, huyu mtu atawamaliza Watanganyika. Kila siku watanganyika watauawa au kama utakuwa manusura, utakuwa ni mtu wa kusikia habari za kuhuzunisha tu za watu kutekwa, kuuawa na kubambikiwa kesi. Tutaishi kwenye nchi ya namna hiyo mpaka lini? Huyu mtu siamini kama kwake Watanganyika anawaona ni wanadamu sawa na yeye au wale wa familia wake. Labda anawaona Watanganyika ni sisimizi, maana aliwahi kutamka kuwa yeye hajawahi kuua wanadamu, labda sisimizi, ina maana katika nafsi yake anawaona watanganyika ni sisimizi?
SADC wametamka wazi huyu ni kiongozi haramu aliyepatikana kutokana na uchaguzi bandia ulio haramu.
Umoja wa Afrika umetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Taasidi ya Thabo Mbeki imesema yeye ni rais haramu.
Umoja wa Ulaya umesema yeye ni rais haramu.
Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa mataifa, imetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Kagame alisema hawezi kumpongeza muuaji.
Rais mstaafu wa Botswana amesema huyu mtu ni rais haramu.
Waziri mkuu mstaafu wa Switzerland amesema huyu mtu ni rais haramu.
Watanganyika kwa ujumla wanamwona huyu mtu ni muuaji na mwenye uharamia wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Fikiria watu wameuawa, wafiwa wanazuiwa hata kupata maiti za wapendwa wao. Tumeshuhudia kule Gaza au Ukraine, pamoja na uhasama wa mataifa husika, lakini wanabadilishana miili na mateka, sisi ndani ya nchi, watu wanayimwa mpaka miili ya wapendwa wao baada ya kuuliwa kinyama!
Kwa uovu wote ulioanikwa wazi, tena kwa vielelezo thabiti, kwa mtu wa kawaida, siamini kama utabakia umeng'ang'ania katika uharamia wako. Ni amani gani unaipata rohoni kuyatwaa madaraka kwa gharama za uhai wa binadamu wenzako?.
Huyu amekuwa kama mamba, maana wanasema mamba aking'ata mguu wa mwanadamu, hata ufanye nini hawezi kuachia, hata umpige na kumjeruhi kiasi gani, utamwulia hapo hapo, na hata akifa meno yake hubakia yameng'ata. Huyu mtu ni kama amefunga kila kitu, hajali mateso ya watu wala uhai wa binadamu yeyote. Maneno au ushauri wowote wa hekima kwake havina nafasi yoyote. Ina maana huyu mtu anataka kuondolewa kwa sululu, na siyo kwa kauli za hekima?.
Huyu mama yenu hatoboi miaka mi5, anapelekewa moto kila pande ya dunia!Hadi miaka 5 iishe utavunjika vidole kwa kuandika magazeti
Ana roho chafuuuuu na anapendaaaa madaraka juu ya damu za watu.Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu kutekwa na kuuawa, kuwa na tume huru bandia ya uchaguzi, mauaji ya maelfu ya watanganyika, kubambikiwa watu kesi, uovu huo wote, chanzo ni yeye.
Binadamu halisia, aliye mwadilifu wa nafsi, kamwe huwezi kukubali wewe kuwa chanzo cha vifo na mateso ya watu mamilioni. Rais Mwinyi akiwa waziri wa mambo ya ndani, polisi walipoua tu wananchi (nadhani walikuwa watu 3) huko Shiyanga, japo yeye hakuhusika kwa kutoa amri, nafsi yake iliumia kwa kushindwa kuisimamia taasisi ya polisi kufanya kazi yake inavyostahii, aliamua kujiuzulu.
Kule Uingereza waziri wa elimu alionekana kwenye mitaa ya malaya, wananchi wakaanza kulalamika, akaona asiwe chanzo cha wananchi kukosa furaha kutokana na vitendo vyake, aliamua kujiuzulu, lakini huyu wa kwetu, pamoja na vitendo vya kiharamia vya kiwango cha ajabu kabisa, pamoja na kuambiwa na mataifa na taasisi mbalimbali Duniani kuwa yeye siyo kiongozi halali, ameng'ang'ania tu! Tena fikiria huyu mtu, watu wanauawa, yeye wakati wote anasimama na wauaji. Alipouawa kiharamia Ali Kibao, yeye akasema kifo ni kifo tu. Watu wanatekwa na kuuawa, yeye akasema kuwa hizo ni drama, kwa maelfu wananchi wameuawa, yeye anasema eti hao siyo watanzania, kama vile wangekuwa wageni, ni halali kuwaua!
Inajulikana kabisa kuwa watanzania hawakupiga kura kumchagua, bila aibu anatoka na kusema kuwa eti anawapongeza wananchi kwa kumpa kura nyingi! Yaani inaonekana roho yake imejaa uovu wa ajabu, na wala hajutii kabisa uovu mbalimbali uliofanywa na unaoendelea kufanywa kwa amri na maelekezo ya utawala wake.
Bila watanganyika kuinuka na kuhakikisha nchi inakuwa chini ya utawala halali, huyu mtu atawamaliza Watanganyika. Kila siku watanganyika watauawa au kama utakuwa manusura, utakuwa ni mtu wa kusikia habari za kuhuzunisha tu za watu kutekwa, kuuawa na kubambikiwa kesi. Tutaishi kwenye nchi ya namna hiyo mpaka lini? Huyu mtu siamini kama kwake Watanganyika anawaona ni wanadamu sawa na yeye au wale wa familia wake. Labda anawaona Watanganyika ni sisimizi, maana aliwahi kutamka kuwa yeye hajawahi kuua wanadamu, labda sisimizi, ina maana katika nafsi yake anawaona watanganyika ni sisimizi?
SADC wametamka wazi huyu ni kiongozi haramu aliyepatikana kutokana na uchaguzi bandia ulio haramu.
Umoja wa Afrika umetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Taasidi ya Thabo Mbeki imesema yeye ni rais haramu.
Umoja wa Ulaya umesema yeye ni rais haramu.
Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa mataifa, imetamka kuwa yeye ni rais haramu.
Kagame alisema hawezi kumpongeza muuaji.
Rais mstaafu wa Botswana amesema huyu mtu ni rais haramu.
Waziri mkuu mstaafu wa Switzerland amesema huyu mtu ni rais haramu.
Watanganyika kwa ujumla wanamwona huyu mtu ni muuaji na mwenye uharamia wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Fikiria watu wameuawa, wafiwa wanazuiwa hata kupata maiti za wapendwa wao. Tumeshuhudia kule Gaza au Ukraine, pamoja na uhasama wa mataifa husika, lakini wanabadilishana miili na mateka, sisi ndani ya nchi, watu wanayimwa mpaka miili ya wapendwa wao baada ya kuuliwa kinyama!
Kwa uovu wote ulioanikwa wazi, tena kwa vielelezo thabiti, kwa mtu wa kawaida, siamini kama utabakia umeng'ang'ania katika uharamia wako. Ni amani gani unaipata rohoni kuyatwaa madaraka kwa gharama za uhai wa binadamu wenzako?.
Huyu amekuwa kama mamba, maana wanasema mamba aking'ata mguu wa mwanadamu, hata ufanye nini hawezi kuachia, hata umpige na kumjeruhi kiasi gani, utamwulia hapo hapo, na hata akifa meno yake hubakia yameng'ata. Huyu mtu ni kama amefunga kila kitu, hajali mateso ya watu wala uhai wa binadamu yeyote. Maneno au ushauri wowote wa hekima kwake havina nafasi yoyote. Ina maana huyu mtu anataka kuondolewa kwa sululu, na siyo kwa kauli za hekima?.
Wa ajabu sanaFikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu kutekwa na kuuawa, kuwa na tume huru bandia ya uchaguzi, mauaji ya maelfu ya watanganyika, kubambikiwa watu kesi, uovu huo wote, chanzo ni yeye.