PostGE2025 Rais Samia ni Mtu wa Ajabu Sana, Sijui Rohoni Mwake Amebeba nini!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aachie mapema, (Ingawaje sio rahisi) walio nyuma yake wakiona ngoma inaenda na maji she will be left alone with a handful of choices and options!

Haihitaji uelewa mpaaana sana kuona adui mkubwa sasa kwa regime sio genz tena, ni wa ndani kwa ndani na hawatakubali kirahisi chama kizame kama kinavyozama kulinda maslahi ya a group of fellas!

Thou its bound to go down,kuna watu obviously watatolewa kafara to clear the atmosphere ambayo tayari imechafuka mnoo!

Hekima inayohitajika ni ya hali ya juu, God bless our country!
 
Toka Lini shetani akawa na roho nzuri?? Mtu analoga na kutumia waganga kama wote mnategemea nini kuyoka kwake
 
Ni zaidi ya mamba, huwa najiuliza kweli anaujua uchungu wa mtoto??

Mimi sijaingia leba ila nasikia maumivu mtu akipiga mtoto wa mwingine, vipi kwa wanaosimulia kuzaa kunauma?!!

Au uchungu unatofautiana wengine mnazaa kwa raha?
Naomba tufanye jambo uingie leba
 
Huyu ni ibilisi kamili
 
Wakati tukiendelea kumshangaa huyu shetani, kumbuka hayupo peke yake, tuendelee kuwashangaa na wale wabunge waliojaa pale. Wanamuwakilisha nani??

Hapo utapata jibu CCM ni chama cha mashetani, ili nchi iende mbele inapaswa kifutike kabisa, na haki ikianza kutendeka lazima kifutike, ndio maana wanang'ang'ania kuendelea kuwepo
 
Ametekwa...hajui cha kufanya anacho fanya yeye pia ni harakati za kuinusuru Roho yake...body language yake na anayo zungumza haviendani...!

Msaada pekee watanzania tulijaribu kumpa ili ajinasue ni yale maandamano tu...pale ilikuwa achomoke kutoka kwa watesi wake...ila ndio hivyo tena​
 
Hata shetani ana nafuu!
 
Ana roho chafuuuuu na anapendaaaa madaraka juu ya damu za watu.

Siku ile ya wazee wake, akaanza mpaka kuzungumzia wagombea wa 2030 maana yake anaona hata hii miaka 5 ni michache sana kwake
 
Wa ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…