Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Hiyo ‘Pepo’ imekuondoa kwenye Ukristu au Ukristo wowote, Wewe Mzenji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufuru ipo wapi?Kufuru zimeanza. Mtakipata mnachokitafuta
Mungu anaitwa Neno au sijakuelewa,usianze kuvuruga watu asubui hii.John 1:1-3
[1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God...
Hilo linawezekana ni ujanja tu,mi mbona nikiomba mvua ilikuwa inanyesha ila watoto wadogo waliniona kama nina miujiza kumbe ,nikishaona wingu zito na radi za hapa na pale zimeanza basi huwaita wasio na akili timamu na kuwambia ngojeni niombe mvua,sijamaliza mvua hio.Sasa iweje sifa umpe mwanasiasa badala ya kuwapa hao viongozi wa dini walioomba?...
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.John 1:1-3
[1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu...
Njaa inawasumbuaChawa pro max mmeshaanza
Na wewe ficha ujinga, mwenzako amequote scripture! Kama huamini ungefungua kwanza hiyo Yohana chapter 1!!Mungu anaitwa Neno au sijakuelewa,usianze kuvuruga watu asubui hii.
Aafu bora usiendelee naona unaelekea motoni.
Embu mtafute ndugu yako anaesoma dalasa la tano kisha msomee aafu muulize amefahamu kitu gani ? Ndio utajua maana ya kuburuzwa.
HANGAYAChawa kama chawa ila kunakaukweli
Usinishike,kwa maana sijapaa kwenda kwa baba,baba yangu ambae ni baba yenu,mungu wangu mungu wenuAndiko jingine lanena:
John 1:18 “No one has ever seen God, but the one and only Son, who is himself God and is in closest relationship with the Father, has made him known...
😀Subiri wafuasi wa lissu nao usikie ufunuo wao!
Ukweli ndio utakaowaweka kuwa huru ,utafuteni.Na wewe ficha ujinga, mwenzako amequote scripture! Kama huamini ungefungua kwanza hiyo Yohana chapter 1!!