Rais Samia ni nani hata mvua zimtii?

Rais Samia ni nani hata mvua zimtii?

Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu,

Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye,

Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika,

Uwepo wake huambatana na ishara mbalimbali kama hii ya mvua ghafla,

Mtakumbuka,hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando,

Wakati Mhe Rais akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video).

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu sasa akiwemo Mhe Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Mhe Bernard Membe,Mhe Freeman Mbowe na wengine wengi.

Pamoja na msako wao huo wa Urais wa JMT lakini hawajawahi kupata Urais hata wa TFF.

Chaajabu, Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye kirahisi tu,

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamsikia na kuachilia mvua papo hapo?

|[Mungu wa Elia& Elisha
tunaomba mvua yenye neema tunakutukuza wewe peke yako katika Utatu mtakatifu]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.
ukiwa chawa mbaka kwa mwanamke aibu
 
Soma hydrological cycle. Mambo ya wagalatia yatakutoa roho
 
Ni muhimu kuwa makini usije ukauchukua utukufu wa Mungu na hatimaye ukahukumiwa.
Kuna baadhi ya watu walishuhudiwa katika Biblia ya kwamba walichukua utukufu wa Mungu, mioyo yao ilipoinuka na kutukuka ambao baadhi yao waliadhibiwa na wengine kuuawa.
Mmojawapo aliyeuawa ni Herode ambaye alikuwa ni mfalme, aliposifiwa na watu wakati alipotoa hutuba.

Ufunuo 12:21-23 ".
Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hutuba mbele yao. Watu wakapinga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu. Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu, akaliwa na chango akatokwa na roho."

Na pia hapa kwetu MATAGA Mwendakuzimu mlianza kumpa sifa na Utukufu usio wa kwake, akavimba kichwa, Mungu akachukia, akamtenda kama alivyomtenda Herode.

Sasa fanyeni tu kumchonganisha Hangaya na Mungu, mtaona
 
Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu,

Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye,

Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika,

Uwepo wake huambatana na ishara mbalimbali kama hii ya mvua ghafla,

Mtakumbuka,hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando,

Wakati Mhe Rais akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video).

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu sasa akiwemo Mhe Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Mhe Bernard Membe,Mhe Freeman Mbowe na wengine wengi.

Pamoja na msako wao huo wa Urais wa JMT lakini hawajawahi kupata Urais hata wa TFF.

Chaajabu, Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye kirahisi tu,

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamsikia na kuachilia mvua papo hapo?

|[Mungu wa Elia& Elisha
tunaomba mvua yenye neema tunakutukuza wewe peke yako katika Utatu mtakatifu]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.
Ooooo ampenda Mungu baba, Yesu Kristo na Roho Mtakatifu....
Sijaelewa hapo.
Mungu yupi sasa? Huyo Yesu au huyo Roho Mtakatifu? Au huyo Baba?
 
Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu,

Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye,

Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika,

Uwepo wake huambatana na ishara mbalimbali kama hii ya mvua ghafla,

Mtakumbuka,hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando,

Wakati Mhe Rais akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video).

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu sasa akiwemo Mhe Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Mhe Bernard Membe,Mhe Freeman Mbowe na wengine wengi.

Pamoja na msako wao huo wa Urais wa JMT lakini hawajawahi kupata Urais hata wa TFF.

Chaajabu, Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye kirahisi tu,

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamsikia na kuachilia mvua papo hapo?

|[Mungu wa Elia& Elisha
tunaomba mvua yenye neema tunakutukuza wewe peke yako katika Utatu mtakatifu]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.
Labda ujui kama Makamu wa Rais hufanya kazi za Rais wakati Rais hasipokuwa ofisini
 
Zimtii kutokunyesha ama?
 
Hivi na wew unaitwa baba na unafamilia inakutegmea?
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Back
Top Bottom