Rais Samia ni nani hata mvua zimtii?

 
#TUNAKUUNGA MKONO RAIS SAMIA
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
😆😆 hovyo sana, yani watu wanaona mawingu yametanda alafu wanaomba mvua chap chap.
😆😆
 
Wewe ni Bora ufe mapema ili kuwaepusha watoto wako na laana ya kishenzi uliyonayo,ukiendelea kuishi Duniani wewe ni zigo la mavi kwa familia yako.
Pathetic kabisa, mvua ya Mungu haiwezi kumtii hayawani yoyote wa CCM , mvua huwa zinanyesha kila mwaka hazijaanza leo,juha kweli wewe
 
Daaah, Mkuu huamini kuwa dunia inaweza kuinama mbele ya Mtumishi wa Mungu?

Mvua ni kitu kidogo sana na kinamasikio kikiitwa kinakuja
 
Daaah, Mkuu huamini kuwa dunia inaweza kuinama mbele ya Mtumishi wa Mungu?

Mvua ni kitu kidogo sana na kinamasikio kikiitwa kinakuja
Mkuu, Rais Samia siyo mtumishi wa Mungu,bali ni mwanasiasa katili wa Chama pumbavu CCM,ingekuwa ni mada ya mtumishi wa Mungu wala nisingepinga
 
😂😂😂😂nilifikiri kusifia ingeisha kumbe bado inaendelea
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Huo ni ukubwa wa Mungu kwamba Lowassa ameusaka urais kwa miaka zaidi ya kumi na kaukosa. Huyu Mama kaupata kiurahisi tu, huo ni mpango wa Mungu kwa maana halisi.
 
Kwa maana yako Mungu wa mbinguni alimpa urais kwa gharama ya kifo cha Magu?

Kabla ya kumsingizia Mungu jambo au shetani, tafakarini kwanza.
Magufuli angetaka angekuwa hai mpaka leo hii. Alitakiwa aende Ulaya kwa matibabu akaona hawezi kwani kawatukana sana wazungu.

Aliamua lolote na liwe na likawa kweli.
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Hapo kwenye red -
Hakunaga binadamu yoyote aliyesafi! Aliye safi/mwema ni mmoja tu - Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu!
Hata kama ungelishika amri zote tangu utotoni, still utakuwa na mapungufu tu. Kujigamba kuwe wewe ni mkristo safi ni makosa makubwa. Nenda kamuulize kilichompata yule Farisayo aliyekuwa akijigamba kuwa yeye ni safi - kwamba anafuata torati yote, anafunga mara mbili kila week, anatoa zaka, anasaidia mayatima... n.k. Pia kamuulize yule tajiri/mtawala kijana yaliyompata.

Kuhusu Mungu wa Mbinguni kumchagua Mama yetu SSH hapo pia umechemka.
Katiba ya JMT ndiyo iliyomweka pale. Pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…