Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Acha vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kutoa ripoti ya uchunguzi.Awamu hii ya Tano kipnd Cha pili imetia fora ktk utekaji,
Hadi mama zetu wanatekwa na kuumizwa,
KUTAPAMBAZUKA tu na,
HATOGOMBEA!!
Na kiukweli hii ni awamu ya 5 kipindi cha pili, siyo awamu ya 6Awamu hii ya Tano kipnd Cha pili imetia fora ktk utekaji,
Hadi mama zetu wanatekwa na kuumizwa,
KUTAPAMBAZUKA tu na,
HATOGOMBEA!!
Kama kukiteka chama chenu mmekiteka wenyewe na sasa kimeishiwa pumzi na kupoteza nuru na matumaini.ndio maana wenye akili wote wanaendelea kukihama maana wameshaona hakuna tumaini la uhai wa chama.Kwa kutumia Watekaji na wauaji
Hivi hivi vya akina Mafwele na Shemeji yake Awadh Haji? Wadanganye Wajinga sana!Acha vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kutoa ripoti ya uchunguzi.
Kweli wewe ni akili ndogo sana.Na kiukweli hii ni awamu ya 5 kipindi cha pili, siyo awamu ya 6
Vyombo vyetu ni imara sana na vyenye weledi mkubwa sana.na ndio maana ya kuona amani ,utulivu na usalama wa kutosha vikitamalaki hapa nchini.ndio maana hata wewe unafanya shughuli zako kwa amani na kupata hata muda wa kuingia hapa jukwaani bila hofu wala wasiwasi.Hivi hivi vya akina Mafwele na Shemeji yake Awadh Haji? Wadanganye Wajinga sana!
Acha yabubujike tu maana ni tiba ya moyo.Lucas Mwashambwa najikia kububujikwa na machozi ya furaha!!!!!!
Kama ambavyo vilivyo fanya kwenye mikasa ya Tundu Lissu, Kangoye,Ben Saanane, Ally Mbwana nkAcha vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kutoa ripoti ya uchunguzi.
CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.hii ni kwa kuwa imefanya kazi kubwa sana yenye kugusa maisha ya watu na kuleta Matumaini kwa mamilioni ya watanzania.Nuru kwa UWT na UVCC watekaji.
Tusubirie siku ya uchaguzi wenyewe ndio mtafuata watu majumbani. Maana kujiandikisha tu ilikuwa shughuli, tena siku saba.
asa siku hiyo moja ya Uchaguzi mtafungua shule wanafunzi wapige kura.
Wewe endelea kulipwa hela za uchawa ila hujui kitu, unatumika tuVyombo vyetu ni imara sana na vyenye weledi mkubwa sana.na ndio maana ya kuona amani ,utulivu na usalama wa kutosha vikitamalaki hapa nchini.ndio maana hata wewe unafanya shughuli zako kwa amani na kupata hata muda wa kuingia hapa jukwaani bila hofu wala wasiwasi.
Kwa sasa nipo shambani naendelea na maandalizi ya msimu mpya wa kilimo.Comredi Mwashambwa ulipotelea wapi siku mbili hizi?
Nilimiss kutokwa machozi ya furaha sababu ya nyuzi zako za kumsifia mama.
Hakika chozi la furaha linanidondoka sasa hivi kutokana na mng'ao wa nuru ya mama kwa taifa🤣🤣🤣
Usifikirie wote tunalipwa kuwepo humu jukwaani kama ambavyo umekuwa wewe ukifanya utoto na uzushi tu .Wewe endelea kulipwa hela za uchawa ila hujui kitu, unatumika tu
Acha kuihusisha serikali na matukio ya utekaji na upoteaji wa watu.serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama inafanya kazi kubwa sana katika kuimarisha ulinzi na usalama wa Taifa letu.ndio maana ya kuona watu wakifanya shughuli zao kwa amani.demokrasia ikiimarika ,uhuru wa watu kutoa maoni yao ukiendelea kuimarika kama ambavyo wewe mwenyewe binafsi umekuwa ukitoa maoni yako humu jukwaani.Chawa wana laana kubwa sana!!
Hakuna kipindi chochote katika uhai wa Taifa ambapo kumkosoa Rais au Serikali lilikuwa ni tendo la kuhatarisha uhai wako kwa kiwango kikubwa kama awamu hii. Taarifa ya TLS inasema wanaharakati wakosoaji wa Serikali na viongozi na wanachama wa upinzani waliotekwa na hawajulikani waliko mpaka sasa ni zaidi ya 60. Rais anasema eti hao waliotek a drama!!
Wayu wanatekwa na muawa, Rais anasrma eti kifo ni kifo tu, yaani kutekwa na kuawawa kwa sababu wewe ni mpinzani ni sawa na kufa kwa malaria!!
Pasina chembe ya shaka Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenz cha waTanzania wote ndiyo kwasasa dira, uelekeo, turufu muhimu na agenda ya Taifa kuelekea 2035🌹Ndugu zangu Watanzania,
ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umenena ukweli kabisa.Pasina chembe ya shaka Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenz cha waTanzania wote ndiyo kwasasa dira, uelekeo, turufu muhimu na agenda ya Taifa kuelekea 2035🌹
Uliwahi kuona wapi Dunia hii polisi ambaye ni mtuhumiwa, huyo huyo akajichunguza akiwa Ofisini?Acha vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kutoa ripoti ya uchunguzi.
Kua na akili timamu kuna gharama zakeNdugu zangu Watanzania,
Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Anaweza leta nuru ama giza katika Taifa na mioyoni mwa Watu,anaweza leta Matumaini au kuwavunja watu moyo ,etufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.