Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi we Mndali mnafiki Huna Kazi ya kufanya zaidi vichekesho Hivi unvyoleta??Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Anaweza leta nuru ama giza katika Taifa na mioyoni mwa Watu,anaweza leta Matumaini au kuwavunja watu moyo ,anaweza wafanya watu kuona leo ni afadhali ya jana au kuona kesho yenye Matumaini.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umepuuzwa wewe.Nyuzi zako zimeanza kupuuzwa.
Ukiwa chawa tafadhali uwe na kiasi.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Awa madaraka na wanaotoa ulimi nje kutamani kiti cha Urais kwa njia yoyote ileView attachment 3131063
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hawa ndio mashetani yenyewe. Wanafurahia na kushangilia mateso na vifo vya binadamu wenzao, alimradi kama hao watu ni wapinzani au wanamkosoa Rais.Upendo unaonekana kwenye utekaji na mateso ya bi Mwenezi wa Chadema?
Hivi wewe una akili hata kidogo?
Sawa,endelea kutetea Chama kinachoumiza raia wake na Kumuhusisha Mungu ukijua fika Mungu atakulipa hapa hapa duniani.Dhambi unazo wewe uliyejaa chuki binafsi na unafiki.
Luka mtu kafika bei mpe haja ya moyo wakeLukasi
Labda Nuru ya Utekaji
Nyinyi machawa wawili wapumbavu sana.Dhambi unazo wewe uliyejaa chuki binafsi na unafiki.
Wewe inaonyesha ni mtu mnafiki sana na mwenye roho mbaya kama shetani ambaye unatamani Rais wetu mpendwa asisemwe wala kusemewa kwa mazuri makubwa aliyoyafanya .ambayo kila mwenye akili Timamu anayaona. Baki na ujinga wakoUshauri kwa Mama Samia hawa hawa wanaokusifu leo watakusema vibaya sana siku ukitoka mamlakani!!!
Nchi hii imejaaliwa watu wanafiki mnoo.
Wazuri kujipendekeza wanaojali maslahi ya matumbo tu mmoja ni huyu.
Kwani yeye ndiye anateka? Vijimatukio hivi vichache visiwafanye mkasahau kazi kubwa inayofanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kuimarisha ulinzi na usalama NchiniMwambie hizi habari za kutekana zinamuaibisha
CCM ndio chama pekee chenye uchungu na Maisha ya watanzania.ndio maana kinamthamimi na kumjali kila mtanzaniaSawa,endelea kutetea Chama kinachoumiza raia wake na Kumuhusisha Mungu ukijua fika Mungu atakulipa hapa hapa duniani.
Inafahamika wazi kuwa wengine mpo hivyo wakati wote kuwa pinga pinga wa kila kitu Utafikiri watu msiotumia ubongo.Ila wewe jamaa una mtindlo wa ubongo huwezi kuandika uharo km huu unasoma comment lakn mwambie na mama yako asome aone hiyo feedback ya kila anachokutuma kumuumbia sifa mitandaoni.
Nilishakwambia acha mawazo ya kijinga ya habari za ukabila.Hivi we Mndali mnafiki Huna Kazi ya kufanya zaidi vichekesho Hivi unvyoleta??
NIKUPONGEZE KUWACHEKESHA WALIONUNA 🤣🤣🤣
Ungejitahidi uondoe huo ujinga uliokujaa kichwani mwako na kupofushwa akili kwa mawazo ya ubaguzi.Tanganyika kumajaa binadamu lakini kuna watu wanataka huyu muhamiaji apigiwe kura na awe rais wa Tanganyika. Ujinga ulikithiri huu, Matumain akawape Wazanzibari, Tanganyika tutachaguana wenyewe.
Mimi siyo chawa.Ukiwa chawa tafadhali uwe na kiasi.