Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

Lazima afanye kazi kwani si analipwa mshahara, Sasa hapa tumpongeze KWa lipi kwati ni wajibu wake ,ndo maana akakubali iyo kazi ,na ndo maana analipwa mshahara na kutunzwa KWa kodi za watanzania, Sasa pongenzi za nini hapa tena ,

We mwana ccm vipi tena
Wangapi wanalipwa mishahara minono lakini matokeo yanakuwa sifuri kazini? Kwanini Tusimpongeze Rais wetu mpendwa kwa kutimiza wajibu wake vyema?
 
Wangapi wanalipwa mishahara minono lakini matokeo yanakuwa sifuri kazini? Kwanini Tusimpongeze Rais wetu mpendwa kwa kutimiza wajibu wake vyema?
KWa kweli mwanaccm nikwambie binafsi siwezi kumpongeza Ili Hali chochote anachofanya ni kutimiza wajibu wake , Sasa pongeza pongeza hizi hazina tija ,
 
KWa kweli mwanaccm nikwambie binafsi siwezi kumpongeza Ili Hali chochote anachofanya ni kutimiza wajibu wake , Sasa pongeza pongeza hizi hazina tija ,
Zina tija kwa kuwa Ni kawaida kwa mwanadamu au kiongozi kupongezwa afanyapo vyema, ndio maana ya uanzishwaji wa tuzo mbalimbali Duniani Kama Tuzo za Nobel na Mo Ibrahim na nyingine nyingine
 
Zina tija kwa kuwa Ni kawaida kwa mwanadamu au kiongozi kupongezwa afanyapo vyema, ndio maana ya uanzishwaji wa tuzo mbalimbali Duniani Kama Tuzo za Nobel na Mo Ibrahim na nyingine nyingine
KWa iyo nyie ccm mmemuandalia tuzo GANI, ? Nikuonavyo hu mstarabu Sana na hustahili kubaki ccm , ccm sio nzuri hualibu vipaji vya watu
 
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na Rais, tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki.

Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona Watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na Watanzania tuliyobaki hapa nyumbani.

Ni kiongozi anayetamani kuona Watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa dunia. Anataka kuona Watanzania hatubaki nyuma wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakaoleta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu.

Kaiheshimisha sana Tanzania kwa sasa ndiyo maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini. Sasa uwekezaji unaongezeka siku hadi siku, hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana na mapato ya kodi yataongezeka.

Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa kiasi cha kutosha cha fedha kinachowekwa na watu kama akiba.

Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi, naona maisha ya Mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila Mtanzania na kila mmoja atakula. Kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, kila Mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya asali na maziwa.

Hakika Rais samai ni zawadi kwetu Watanzania, kiukweli anatukosha sana Watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu. Rais Samia ni mama wa taifa, mlezi bora wa Taifa na mama mwenye maono ya mbali. Hakika uongozi wake utaacha alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa, haya ni matunda ya Mama wa Taifa, Samia suluhu Hassani.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge.

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Siku;
Mafuta ya petroli yakiuzwa sh. 2000 lt
Sukari ikauzwa sh. 1800 kg
Mchele ukauzwa sh. 1200 kg
Mafuta ya kula yakauzwa 800 lt
Kipande cha sabuni kikauzwa sh. 300

Nami niite nipongeze juhudi za Mama!
 
Siku;
Mafuta ya petroli yakiuzwa sh. 2000 lt
Sukari ikauzwa sh. 1800 kg
Mchele ukauzwa sh. 1200 kg
Mafuta ya kula yakauzwa 800 lt
Kipande cha sabuni kikauzwa sh. 300

Nami niite nipongeze juhudi za Mama!
Mama yupo kazini hakuna jiwe litakalobaki pasipo kugeuzwa, kila mtu ataguswa na utumishi wa mama uliotukuka wa kutatua kero na changamoto za watanzania Kama ambavyo saizi sisi wakulima tunafurahia juhudi za mh Rais wetu mpendwa kutusaidia wakulima katika suala Zima la mbolea
 
KWa iyo nyie ccm mmemuandalia tuzo GANI, ? Nikuonavyo hu mstarabu Sana na hustahili kubaki ccm , ccm sio nzuri hualibu vipaji vya watu
Zawadi tunayomuandalia mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ni kumpa ushirikiano katika kutimiza majukumu yake, kumsemea kwa kazi zake nzuri anazozifanya kulitumikia Taifa letu na watanzania, hivyo tutampigia kura za kumpa Ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama chetu Cha CCM na kumpigia kampenii kila Kona ya nchi hii usiku na mchana kwa hoja nzito nzito bila kumtukana mtu Wala kumuumiza mtu Wala kumdhuru mtu maana siasa siyo uadui
 
Kweli Siasa sio uadui ,nakubaliana na wewe KWa hili for 100% ila mwenyekiti wako na Ccm 2025 hamtoboi, hili sio langu ila Mungu amekua akiniambia kila siku HIVYO mfikishikie mwenyekiti wako, Mungu anasema nyakati za Ccm kuliongoza taifa Kama chama zimekwisha, na anaonya ole wenu Kama UCHAGUZI ukifanyika muibe kura / lazimisha Mtashangaa. Ila hamjakatazwa kumpitisha gombea na kumnadi kila kona ya nchi

KWa kua Siasa sio uadui ,kauli ya Tulia wewe binafsi uliichukulia vipi kwamba wanachama wenu walale mbele KWa yoyote ainuae mdomo bila kujali ni mwanaccm au upinzani
 
Siyo kila sauti unayoisikia Ni ya Mungu, zingine Ni sauti za shetani kutokana na mawazo yaliyojaa katika kifua na akili yako, Mungu ametupatia Rais Samia Kama zawadi kwetu watanzania, Viongozi aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na hawapatikani kila nchi, ndio maana unaona namna Rais Samia anavyokubalika na Kuendelea kuungwa mkono na mamillion ya watanzania
 
Mwana CCM , from 2019 mpaka kuisha kipindi Cha mwenda zake niliyasema / Kama sio kutoa yapi yajayo, wapo walioniambia Kama wewe hata kubeza Kama wewe , jaribu pitia post zangu from 2019 utajua 4 7 mbatizaji ni nani katika ulimwengu wa roho wa kweli na sio katika ulimwengu wa shetani, maana shetani mwenyewe ananiogopa sijawahi ona

Note , Mimi sio mchungaji ,Sina kanisa, so chukua ujumbe wangu Kama ulivyo hapo juu, hutaki hulazimishwi,

KWa msisitizo,Mungu anasema nyakati za Ccm kuliongoza taifa Kama chama zimekwisha:

So fanya mfanyavyo ila kumbukeni ujumbe, utakuja niambia
 
CCM bado ipo Sana na utaendeleaa kuiona na kuongozwa na CCM
 
CCM bado ipo Sana na utaendeleaa kuiona na kuongozwa na CCM
Sawa mwana ccm ,KWa imani YAKO, mkuu juu ya chama Chako ila sio katika ulimwengu wa Mungu na bwana wa bwana Alie hai, nakwambia ndugu YANGU , tusibishane KESHO yetu inakuja na itakua na kishindo kikubwa , na utakuja jua nini naongea leo ,

Mungu akawe juu YAKO , thanks
 
Sawa mkuu Tuendelee kuomba uzima ili tuone Nani atakuwa sahihi Kati yangu na wewe
 
Mbona imekua ghafla, mama si alisema kila mbuzi ale urefu wa kamba
Alimaanisha kila mtu atosheke na like anachokipata kilichopo kwa mujibu wa Sheria, Asiwepo wa kuingia Tamaa na kutumia njia haramu kujipatia kipato haramu kwa manufaa take binafsi
 
Sasa wewe ukijivunia peke yako na watu kama wewe kuna shida gani ?

Mbona kila siku kama unashinikiza watu wafuate msimamamo wako, huoni tunapoteza resources kwa kufuatilia mambo ya maana zaidi mfano ni vipi tunaweza kupambana na vyakula kupanda bei labda kwa kuzalisha zaidi n.k.?

Huenda wewe una muda wa ziada ila kurudia rudia hizi ngonjera huenda unapotezea watu muda wa kukujibu hapa wakati wangekuwa wanaongeza knowledge kwa vitu vya maana au hata kuongeza maisha kwa kufurahia uzi kule chit chat au Jukwaa la Michezo...
 
Back
Top Bottom