Sasa wewe ukijivunia peke yako na watu kama wewe kuna shida gani ?
Mbona kila siku kama unashinikiza watu wafuate msimamamo wako, huoni tunapoteza resources kwa kufuatilia mambo ya maana zaidi mfano ni vipi tunaweza kupambana na vyakula kupanda bei labda kwa kuzalisha zaidi n.k.?
Huenda wewe una muda wa ziada ila kurudia rudia hizi ngonjera huenda unapotezea watu muda wa kukujibu hapa wakati wangekuwa wanaongeza knowledge kwa vitu vya maana au hata kuongeza maisha kwa kufurahia uzi kule chit chat au Jukwaa la Michezo...