Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #201
Mvua zimeanza kunyesha katika baadhi ya maeneo hivyo jiandae kulima ili uwe na chakula ndani Cha msimu mzima, lakini Tambua kuwa kilimo Ni biashara hivyo acha wakulima bao wafaidike na jasho laoSasa wewe ukijivunia peke yako na watu kama wewe kuna shida gani ?
Mbona kila siku kama unashinikiza watu wafuate msimamamo wako, huoni tunapoteza resources kwa kufuatilia mambo ya maana zaidi mfano ni vipi tunaweza kupambana na vyakula kupanda bei labda kwa kuzalisha zaidi n.k.?
Huenda wewe una muda wa ziada ila kurudia rudia hizi ngonjera huenda unapotezea watu muda wa kukujibu hapa wakati wangekuwa wanaongeza knowledge kwa vitu vya maana au hata kuongeza maisha kwa kufurahia uzi kule chit chat au Jukwaa la Michezo...
Sasa ungekuwa unaongea Hoja kama hizi za Kujenga tungeweza kufika mahali pazuri sio kila siku kugeuka kuwa Cheer LeaderMvua zimeanza kunyesha katika baadhi ya maeneo hivyo jiandae kulima ili uwe na chakula ndani Cha msimu mzima, lakini Tambua kuwa kilimo Ni biashara hivyo acha wakulima bao wafaidike na jasho lao
Mwaka huu wakulima tumefaidika na jasho letu kwa kuwa Bei ya mazao ilikuwa nzuri kuanzia kipindi Cha mavuno, Ikumbukwe Kuwa Bei lazima iwe nzuri kwa mkulima ikiwa mazao yanasoko zuri mahali yanakopelekwa, msimu huu mahindi yalikuwa na soko zuri na la uhakika nchini Kenya na hivyo kupelekea mkulima Naye kupata Bei nzuri Tangia wakati wa mavuno,kwa kuwa wafanyabiashara wakubwa walikuwa hawapati shida kupeleka mizigo yao ya mahindi nchini Kenya kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu iliyokuwa imeimarishwa na mh Rais wetu mpendwa mama SamiaSasa ungekuwa unaongea Hoja kama hizi za Kujenga tungeweza kufika mahali pazuri sio kila siku kugeuka kuwa Cheer Leader
Nadhani ungefuatilia sana mkulima wa kawaida hafaidiki hata kidogo wanaofaidika na hili suala ni Walanguzi yeye mkulima hata uwezo wa kufikisha mzigo sokoni hana na Sera mbovu zimeshindwa kumpelekea soko mpaka mlangoni
Naona umeamua kutokukubaliana na ukweli kwamba anayefaidika na bei ikipanda ni mlanguzi.., Mkulima wa Kitanzania (Majority) alishauza mpaka mbegu kitambo sana..., pia ana gunia chache tu hana hata bargaining power ya ku-negotiate bei nzuri wanaopata faida ni wale wanaonunua debe kwa debe nyumba kwa nyumbaMwaka huu wakulima tumefaidika na jasho letu kwa kuwa Bei ya mazao ilikuwa nzuri kuanzia kipindi Cha mavuno,
Nope.., tungekuwa na Sera nzuri wala bei isingepanda na kushuka kwa kiasi kikubwa sababu bei inapokuwa ndogo Serikali ingenunua kwa bei hio ndogo na kutunza kwenye maghala ili bei inapopanda waachie mzigo ili bei isifluctuate sanaIkumbukwe Kuwa Bei lazima iwe nzuri kwa mkulima ikiwa mazao yanasoko zuri mahali yanakopelekwa,
Kwahio bei ikiwa mbaya mkulima afanye nini ?, kwa mantiki hiyo nini kazi ya hawa watu kama hawana msaada kwa mkulima ? Kwamba Soko mpaka Kenya wanunue sisi hatuna matumbo au tumeshiba sana ? Last time I checked watu wanakula mlo mmoja kwa siku na nusu..., hivyo basi utaona hata purchasing power yao ni ndogo (again sababu ya Sera mbovu)msimu huu mahindi yalikuwa na soko zuri na la uhakika nchini Kenya na hivyo kupelekea mkulima Naye kupata Bei nzuri
Kwahio unadhani wafanyabiashara wakubwa wakinunua kwa bei ndogo wanampa mkulima nyongeza ? (Kwa taarifa yako wananunua wakati wa mavuno na kutunza kusubiri bei ishamiri ndio wauze....Tangia wakati wa mavuno,kwa kuwa wafanyabiashara wakubwa walikuwa hawapati shida kupeleka mizigo yao ya mahindi nchini Kenya kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu iliyokuwa imeimarishwa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia