Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

Imeniuma sana kuona bado nchi hii ina vijana waliozeeka akili, Taifa la kesho kama ndo akina wewe basi Yatosha.
 
Mpaka mda huu.. kuna tamko lolote ametoa kuhusu yanayojiri huko Zanzibar kuhusu hao wabaguzi wa dini?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Uhuru

Uhuru wako unapoishia ndio wa mwingine unapoanzia, Hivyo lazima utambue kuwa katiba imetoa Uhuru wa maoni lakini Uhuru huo una mipaka yake,
Dah
Kweli kukosa elimu (Ujinga) bado ni adui mkubwa wa Watanzania
 
Kojoa ukalale wewe toa kelele hapa 😡😡😡😡😡😡😡
 
Acha matusi ndugu yangu maana unaweza ukachangia na kueleweka bila matusi au lugha za kuvunjiana heshima
Hoja yako yenyewe ni matusi kwa wenye akili. Unazungumza kama vile umetumwa na Watanzania wote kama msemaji wao.
Jee mawazo yako uliyoandika ambayo ni upuuzi mtupu tulikutuma lini uandike?
Unatukqnwa kwa sababu unalazimisha wote tuonekane wajinga na wenye mawazo kama yako.
Uhuru ulionao ni wa kutoa mawazo yako sio kuwasemea wengine bila ridhaa yao.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Rubbish and more rubbish
 
Huu ni uzi wa hovyo kuwahi kuusoma mwezi October..
HOVYO HOVYO TENA WA KIPUUZI!
Hali mbaya kila Kona utasikia maji hakuna, madarasa yanapigiwa chapua lakini bado utata! Wanapigwa pesa kwenda mbele. Mtu anakuja hapa na eti Ni ZAWADI! HE..l
 
HOVYO HOVYO TENA WA KIPUUZI!
Hali mbaya kila Kona utasikia maji hakuna, madarasa yanapigiwa chapua lakini bado utata! Wanapigwa pesa kwenda mbele. Mtu anakuja hapa na eti Ni ZAWADI! HE..l
Wapi uliko huko ambako Hakuna madarasa?
 
Sasa wewe Nani aliikupa kibali Cha kuwasemea watanzania kuwa hawaikubali serikali wakati sisi tunaona namna serikali na mama Samia anavyokubalika na watanzania mpaka watu wanasema kuwa hakuna haja ya uchaguzi kwa ngazi ya Urais?
 
Imeniuma sana kuona bado nchi hii ina vijana waliozeeka akili, Taifa la kesho kama ndo akina wewe basi Yatosha.
Vijana tunajielewa na hatuwezi kuwaunga mkono wapinzani wa nchi hii waliojaa ubabaishaji pamoja na kukosa Sera na ajenda zenye kueleweka kwa wananchi,
 
Unawaza kulala badala ya kufanya kazi au unataka serikali ije ikufanyie kazi ambazo zinapaswa kufanywa na wewe
Kufanya kazi ni wajibu wangu sihitaji kukumbushwa na mtu, fanya yako yasio kuhusu yapite kama kinyesi
 
Kufanya kazi ni wajibu wangu sihitaji kukumbushwa na mtu, fanya yako yasio kuhusu yapite kama kinyesi
Sawa ndugu yangu Ni Jambo jema Kama unatimiza wajibu wako, Serikali yetu chini ya mama Samia nayo naamini itatimiza wajibu wake Kama inavyo fanya kwa Sasa katika kuwatumikia watanzania wanyonge,

kitu pekee unachopaswa kufahamu Ni kuwa changamoto na kero mbalimbali siyo kuwa zitakwisha kwa siku moja zote kwa pamoja, kikubwa Ni sisi wananchi Kuendelea kuiunga mkono serikali yetu Katika kuijenga nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…