The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
...alipoingu madarakani😳😳😳 akapelekewa 🤔🤔 na lundo😞😞😞lafaili la migogoro...!Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waisilamu.
Akasema kwa bahati mbaya nilipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe.
Naomba kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu hii migogoro ya BAKWATA na wahusika anisaidie kuelewa vizuri ili tuwajue wahujumu wa mali za Waisilamu.
Mtaa wa Ufipa lilikuwa shamba la BakwataIle chang'ombe karibia nusu vimeuzwa viwanja vya waislamu .ila wahusika ni hao hao viongozi wanaoneana aibu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ko ulifanyaje mkuu ulinunua hadi nyumba ya mnyaziKuna mahali niliwahi kwenda nikawaambia jamaa nataka.ninunue eneo including msikiti wakakubali.
Sijaielewa unakusudia kusemaje...alipoingu madarakani😳😳😳 akapelekewa 🤔🤔 na lundo😞😞😞lafaili la migogoro...!
Nipolipoingia madarakni,!?
Nilikimbia sana.Ko ulifanyaje mkuu ulinunua hadi nyumba ya mnyazi
Mimi nimeuluza ndugu kama unaijua hiyo sababu nisaidie kuiweka hapaUkitaka kujua hii migogoro ya ardhi ya Bakwata basi nakushauri kwanza ujue kwanini baadhi ya waislam hawampendi Sheikh Ponda
Kwa nini hao waliofanya hii hujuma wasisomewe albadilKimsingi mali za Bakwata zimeuzwa au kufisidiwa na Bakwata yenyewe. Hata Magufuli alipokuwa Waziri wa Ardhi alipokea kesi ya kiwanja alichouziwa Manji. Alikuja kukuta kimeuzwa na wenyewe.
Ole wako usingetokea uzi huu ningekuitaMtaa wa Ufipa lilikuwa shamba la Bakwata
Ni hivi, mali za Bakwata zinauzwa na viongozi waliopo, sasa wanapoingia viongozi wapya wanadai mali hizo zimedhulumiwa.Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waisilamu.
Akasema kwa bahati mbaya nilipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe.
Naomba kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu hii migogoro ya BAKWATA na wahusika anisaidie kuelewa vizuri ili tuwajue wahujumu wa mali za Waisilamu.
Yawezekana ilikuwa ni deliberate way kufanya wauze mali ili ushawishi upungue. Baada ya kutaifisha kuonekana kigumu, wengine wakinyang'anywa shule na hospitali wakaachiwa kidogo.Hiyo ndiyo kazi na malengo ya kuundwa bakwata,palikua na viongozi Wala hawakuwa waislam mule
Kama ni hivyo kwa nini wanaisumbua Serikali si wasameheane tu au wadaiane wao kwa wao!!Ni hivi , mali za Bakwata zinauzwa na Viongozi waliopo , sasa wanapoingia viongozi wapya wanadai mali hizo zimedhulumiwa