Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

Mkuu We Unachotakiwa Kufanya Ni Kufata yaliyo Mema Na Kuacha yaliyomabaya.
Hayo Mambo Wachie Viongozi wao Ndo Wahusika Na ndo Maana wakateuliwa Kwa ajili ya Hizo Issue
Kufatilia Mambo Yasiyokuhusu Kwenye Uislamu Ni dhambi
 
Mkuu We Unachotakiwa Kufanya Ni Kufata yaliyo Mema Na Kuacha yaliyomabaya.
Hayo Mambo Wachie Viongozi wao Ndo Wahusika Na ndo Maana wakateuliwa Kwa ajili ya Hizo Issue
Kufatilia Mambo Yasiyokuhusu Kwenye Uislamu Ni dhambi
We jamaa mbona unanitisha? Kwa hiyo ufisadi uendelee nikae kimya tu!!?
 
Msingi wa hoja yangu ni pale ambapo bakwata imevikwa/imejivika koti la kuwa taasisi muwakilishi wa waisilamu wote TANZANIA hasa mbele ya shughuli nyingi za dola. Kwa mantiki hiyo unaleta mkanganyiko Kwa jamii isiyojua sana mambo ndani ya uisilamu na pengine kudhani kuwa bakwata ndio taaswira ya uisilamu na waisilamu nchini jambo ambalo kwa namna unavyoeleza hapa inaonekana sio kweli.
 
Huyu Sheikh alikamatwa?
Kinyungu,
Alikamatwa.
Huyo si wa kuitwa, "Huyu Sheikh."

Heshima yake ni kubwa kupita kiasi.
Yeye ndiye aliyekuwa nyuma ya pazia akiwaongoza Waislam katika kupambana na ukoloni.

Alikuwa Mufti wa Tanganyika na mjumbe wa TAA Political Subcommittee 1950.

Hii ndiyo kamati iliyoandika mapendekezo ya katiba yaliyowasilishwa kwa Gavana Edward Francis Twining.

Sheikh Hassan bin Ameir ana mchango mkubwa sana kwa mafanikio ya TAA, TANU, Julius Nyerere na uhuru wa Tanganyika.
 
The Phy...
Waislam hawashughulishwi na BAKWATA kwa miaka mingi sana sasa.
 
Sawa mkuu.

Je anaundugu na yule Mufti aliyekuwepo kabla ya Mufti Simba? Hemed Bin Jumaa Bin Hemed?
 
Sawa mkuu nashukuru kwa darasa. Huyu Sheikh Hemed Bin Jumaa ndiye alimrithi Sheikh Hassan bin Ameir?
Kinyungu,
Nafasi ya Mufti haikuwako baada ya kukamatwa Sheikh Hassan bin na kuvunjwa kwa EAMWS.
 
Kinyungu,
Nafasi ya Mufti haikuwako baada ya kukamatwa Sheikh Hassan bin na kuvunjwa kwa EAMWS.
Hapa nakupata Sheikh Mohamed. Sasa baada ya Sheikh Ameir kukamatwa ina maana umma wa Waislam haukuwa na Mufti au uongozi wa Kitaifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…