Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿคท๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ!?
๐Ÿ‘ฉ๐Ÿปโ€๐Ÿ”ฌ๐Ÿ‘ฉ๐Ÿปโ€๐Ÿ”ฌ๐Ÿ‘ฉ๐Ÿปโ€๐Ÿ”ฌ
 
Kumbe amegeuka kuwa kadhi mkuu?
Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu.

Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe.

Naomba kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu hii migogoro ya BAKWATA na wahusika anisaidie kuelewa vizuri ili tuwajue wahujumu wa mali za Waislamu.
 
Shukuru...
Rais Muislam moja ya shghuli zake ni kuingilia polisi wasikamate Waislam?

Au watendaji Waislam serikalini kazi zao ni kuwahangaikia Waislam kuona wanapata fursa sawa na wengine?
Hiyo ndio rehematil Lil Alamin, hiyo ndio kazi ya mchunga kusaidia The helpless
 
Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu.

Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe.

Naomba kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu hii migogoro ya BAKWATA na wahusika anisaidie kuelewa vizuri ili tuwajue wahujumu wa mali za Waislamu.
WA KWANZA NI SHEIKH UBWABWA HUYU ALICHOMOA VYOYOZI VYOTE KWENYE MJENGO WETU
 
Yawezekana ilikuwa ni deliberate way kufanya wauze mali ili ushawishi upungue. Baada ya kutaifisha kuonekana kigumu, wengine wakinyang'anywa shule na hospitali wakaachiwa kidogo.

Ila nchi ambazo dini ina utajiri mkubwa huwa utengamano wake unasumbua kama ilivyo Uturuki
  • Kimsingi ni aibu 'mtoto' kuwa na hela na ushawishi kuliko 'baba'.
  • Bila ya kuwavuruga uchumi waumini wangeota kiburi sana. Waliomsaidia Nyerere ktk hili walifanya vyema.
 
Ndio mtazamo wangu kwa nchi zote duniani kama nilivyocomment hapa.
Dini kuwa na nguvu sio tatizo kwa Uturuki, tatizo ni makundi ya kidini kuwa na utajiri. Gulenists wanakuwa na jeuri kwa kuwa ni matajiri wanamiliki uwekezaji mkubwa. Na haohao ndio walimsaidia Erdogan kuingia madarakani mwaka sijui 2001 ule.

Mpinzani mkuu yule Kemal KฤฑlฤฑรงdaroฤŸlu na chama chake cha Nationalists siwaelewi ni secularists au non-secular. Sipendi Uturuki iwe non-secular kama Kemal Ataturk angewafanya vile wasingefanya maendeleo makubwa hivi.

Sijaona nchi non-secular ina maendeleo makubwa hata iwe na mapato kiasi gani. Tena nchi ikiwa theocratic ndio kabisaa matatizo unless muwe na dini moja yenye kama 90% ya population hao 10% mtanyanyasa wajilipue.

Uturuki naona itabaki kuwa secular na raia wanapenda hivyo.
 
Mmi ni
Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu.

Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe.

Naomba kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu hii migogoro ya BAKWATA na wahusika anisaidie kuelewa vizuri ili tuwajue wahujumu wa mali za Waislamu.
Muislamu ila bakwata ni mbwa tena mbwa koko
 
Attachments

  • FB_IMG_1682447025497.jpg
    FB_IMG_1682447025497.jpg
    45.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom